makamu

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Makamu ajaye sasa awe Msabato au Mlokole

    Madaraka makubwa zaidi ya juu Tanzania katika vyeo viwili vya juu kabisa vya nchi yamekuwa yakikaliwa na yakipokezanwa kati ya Uislamu na Ukatoliki tu, ni wakati sasa wa kuvunja utaratibu huo makamu wa Rais atoke angalau kutoka kwa Wasabato, Walokole au Anglicana.
  2. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais ni Mchengerwa

    Mohamed Mchengerwa ni Waziri mwenye kifua kipana. Ni Waziri mchapajazi kuliko mawaziri wote. Hakika Nafasi ya Makamu wa Rais inamtosha sana.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais makamu wa Rais ni John Mongela

    Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu. Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko
  4. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nchemba kuwa Makamu wa Rais na Makonda kuwa Waziri Mkuu

    Mwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM" Uamuzi alishauamua tokea akiwa Zanzibar na ni Washirika wake wachache sana aliowajuza; mmoja-wao ni Abeid" Anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi: Mahojiano na Jambo FM

    https://youtu.be/HbPhXOsTTJI?si=hS_Hj3UZBVvvtJij
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mh Rais makamu wako ni John Mongela

    Mhe. Rais mtanzania namba moja kuwa makamu wako ni John Mongela. Wengine wanaofuatia ni Innocent Bashungwa, Dotto Biteko. Usiende nje ya hapo. Mama niajiri nitakusaidie
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Makamu ajaye atakuwa kama Dolly tu

    Nchi ya Tanzania sasa ni koloni la wanzanzibari makamu wanaotaka ni kama awe Dolly la kukaa na kuzubaa na kula rojorojo. Yaani mtu akisema nchi ipiganie katiba ni tatizo tujiulize kwanini na tunaenda wapi?
  8. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Narudia tena, Kuna Rais Afrika Mashariki atajiudhuru na sio Makamu wake.

  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Habari ya makamu kujiuzulu ipostiwe kwenye mitandao ya kijamii?

    Wakuu, Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media? Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa. Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and...
  10. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Kwanini taarifa za kifo cha Mpishi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais zimefichwa?

    Ofisi ya Makamu wa Rais ilitangaza msiba wa mtumishi wake, Bi. Kulwa L. Ngusa, aliyekuwa akihudumu kama Mpishi katika Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kulwa alifariki dunia Agosti 21, 2026, majira ya saa 12:00...
  11. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Kujiudhuru kwa Makamu wa raisi ni hiyari yake au amezungukwa na je nini kinafuata!? Soma ufunuo huu...

  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wakili Yesaya: Makamu wa Rais akijiuzulu, Rais anatakiwa kuteua jina jipya ndani ya Siku 14

    Johnson Yesaya, Mwanasheria kutoka Taasisi ya Sheria na Wakili - Jungu la Sheria Tanzania anaeleza kuwa: Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 50(4): Makamu wa Rais akijiuzulu, kiti chake huwa wazi. Rais anatakiwa, mapema iwezekanavyo na ndani ya siku zisizozidi 14...
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ajiuzuru;Tulimpata Mtanganyika kweli kweli dhidi ya haramu.

    Kifo cha mpishi wake kilimshtua sana,lakini kabla ya hapo,kitendo cha kuchomwa matako kwa mtu aliyejitokeza kukemea kutukanwa kwake,nacho kilifikirisha sana. Ndugu Nchimbi ni mwanafunzi aliyeiva wa Mwalimu Julius Nyerere,matendo yake yanataja lipi giza na ipi nuru,aliita koleo ni koleo na...
  14. YoungPastor

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kumpata makamu wa Rais

    Kwa mujibu wa Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 50(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Rais anapojiuzulu na nafasi yake kuwa wazi, utaratibu wa kisheria wa kupata mtu mwingine unakuwa kama ifuatavyo: Uteuzi Ndani ya Siku 14: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mara paaap Mbowe ndio Makamu wa Rais

    Utasemaje hayo yakitokea!? Mara paaap Nchimbi yuko na Lissu kwenye madai ya Katiba Mpya!
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kama barua ni ya kweli, Makamu wa Rais awe Dkt. Migiro

    Ikiwa ni kweli kuhusiana na hizi taarifa kuhusu kujiuzulu kwa makamu wa Rais Dkt. Nchimbi, mtu anayefaa kwa uzoefu na uwezo alionao kupewa nafasi hiyo naona Dkt. Migiro, katibu Mkuu wa CCM kwa maslahi mapana ya Taifa.
  17. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Raisi kujiuzulu nini chanzo?

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Emmanuel Nchimbi, ametangaza uamuzi wa kustaafu siasa na utumishi wa umma. Nchimbi amesema leo, Agosti 25, 2026, amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha kuhusu uamuzi huo pamoja...
  18. polokwane

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  19. Isenye

    JamiiForums Tanzania Nadhani ni kweli Rais Samia na makamu wake hawaivi

    Kwa sisi wataalamu wa ramli chonganishi,iko hivi leo kwenye uzinduzi wa bwawa la kufua umene lililojengwa na Hayati Magufuli, high table walikua wamekaa Samia na Nchimbi..Nchimbi akawa anajifanya kumchekesha Samia kinafiki ila Samia akawa hana muda nae kivile.. So naamini ni kweli hawa viongozi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Liberia: Aliyekuwa Makamu wa Rais atuhumiwa kwa utakatishaji fedha na usafirishaji wa madawa ya kulevya

    Liberia imemfungulia mashtaka aliyekuwa Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Jewel Howard-Taylor, kwa tuhuma za usafirishaji wa dawa za kulevya, utakatishaji fedha na makosa mengine, ikiwa ni sehemu ya uchunguzi kuhusu mtandao wa kimataifa wa biashara ya dawa za kulevya, Wizara ya Sheria ilisema...
Back
Top Bottom