hitilafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania WhatsApp imepata hitilafu kwa sasa

    Jana usiku saa 5 nilikuwa nashindwa kutuma picha, kila nikituma inaniandikia ''Retry'x Je, kuna mtu anayepata ujumbe wa "Retry" anapojaribu kutuma picha kupitia WhatsApp? Watumiaji wengi wameripoti hitilafu hiyo kuanzia jioni, ambapo picha na mafaili yanashindwa kutumwa huku baadhi ya ujumbe...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hilary Mremi: Ndege ya Precision Air ilipata hitilafu ya kiufundi Julai 19, 2026, abiria wametafutiwa usafiri mwingine leo Julai 20, 2026

    Akizungumzia hoja ya Mdau wa JamiiForums.com kuhusu abiria kukwama Mkoani Kilimanjaro kwa takribani Saa 24, Meneja Masoko wa Precision Air, Hilary Mremi amesema “Ndege yetu ilipata hitilafu ya kiufundi na jitihada za kuendelea na safari yao zilifanyika, asubuhi ya leo (Julai 20, 2026)...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza kuundwa kwa kamati ya Uchunguzi wa hitilafu ya Gridi ya Taifa

    📌 Taarifa ya Kamati itaiwezesha Serikali kuchukua hatua ili tatizo hilo lisijitokeze tena. Waziri wa Nishati, Deogratius J. Ndejembi (Mb.), amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu kuunda kamati ya uchunguzi itakayobaini chanzo cha hitilafu...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kutisha ya Oct29 ni matokeo ya hitilafu ya mfumo

    Mfumo unapopata hitilafu madhara kama mauaji ni jambo linalosubiriwa. Kama hitilafu isiporekebishwa tutegemee hatari zaidi
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Taa za eneo la Tripple A haziwaki kutokana na hitilafu, Tunaomba radhi, tutafunga vifaa vya kisasa

    Jana Aprili 21, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Taa za Barabarani zilizopo Sakina Triple A / Arusha Technical College hazifanyi kazi kwa zaidi ya miezi minne hali inayoongeza hatari ya usalama wa watumiaji”. Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Taa za Barabarani za Sakina Triple A ni zaidi ya miezi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya umeme kukatika huduma kusimama Hospitali ya Sekou Toure yasema kulitokea hitilafu kwenye chanzo kikuu cha umeme

    YAH: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HITILAFU YA UMEME KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SEKOU-TOURE Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou Toure inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan kupitia ukurasa wa Jamii Forums, zikidai kuwa hospitali imekumbwa na...
  7. Morning Joy Motors

    JamiiForums Tanzania Fahamu Dalili 5 Muhimu Zinazoashiria Hitilafu Kwenye Engine Bearing Zako

    Na Morning Joy Motors Kama ukishindwa kugundua haraka dalili hizi ambazo zinaashiria hitilafu kwenye engine bearing za gari yako basi soon, itakulazimu kulipa gharama kubwa za matengenezo au hata kubadili engine nzima na kuweka mpya kabisa. Nini Husababisha Engine Bearings Kuharibika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ndege ndogo ya Fly Zanzibar yatua kwa dharura Uwanja wa Abeid Amani Karume baada ya hitilafu katika mfumo wa gia

    Ndege ndogo ya Fly Zanzibar yatua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (AAKIA) baada ya hitilafu ya gia ya kutua Ndege ndogo inayomilikiwa na Fly Zanzibar ilifanya kutua kwa dharura kwa hali ya kushtua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Kulikuwa na hitilafu ya mfumo wa maji Stendi ya Mabasi Nyegezi (Mwanza), huduma imerejea

    Stendi ya Mabasi Nyegezi ni moja ya wateja wakubwa wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) na Mamlaka imeweka utaratibu wa kufanya ukaguzi wa huduma na miundombinu yake mara kwa mara. Palitokea hitilafu katika mfumo wa usambazaji maji kwa muda mfupi mwishoni mwa wiki...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TANROADS yatatua hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeshughulikia kwa haraka hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama, na kwa sasa barabara hiyo inapitika kama kawaida. Asubuhi ya leo Machi 24, 2025 majira ya saa 12:30, maji kutoka milima ya Kitumbi na...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hitilafu kubwa ya umeme yaikumba Kenya, umeme wakatika maeneo mengi ya Nchi

    Kampuni ya Kusambaza Umeme nchini Kenya imetangaza kutokea kwa hitilafu kubwa ya umeme usiku wa kuamkia leo Disemba 18, 2024 iliyosababisha kupotea kwa nguvu ya umeme nchini kote, isipokuwa maeneo ya Magharibi na eneo la Bonde la ufa kuanzia majira ya saa sita na robo usiku. Kupitia taarifa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Poleni Wakazi wa Kitunda kwa changamoto ya umeme, kuna hitilafu zinazojitokeza katika Miundombinu

    Muda mfupi baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Mtaa wa Kitunda - Machimbo kuna kero ya Umeme kuwa unakatika zaidi ya mara tatu kwa siku, Serikali imetoa ufafanuzi na kuwapa pole Wananchi wanaopitia kadhia hiyo. Mwanachama huyo alidai Wananchi wanapata wakati mgumu ikiwemo...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC: Treni za SGR zilisimama maeneo matatu tofauti kutokana na hitilafu ya umeme katika Gridi ya Taifa

    Majira ya Asubuhi ya leo Desemba 4, 2024, iliripotiwa kuwa Treni ya Abiria ya Kisasa (SGR) iliyokuwa ikitokea Dar kuelekea Dodoma imekwama katika Stesheni ya Kilosa Mkoani Morogoro kwa kilichoelezwa kuwa ni hitilafu ya Umeme na hivyo kusababisha safari hiyo kushindwa kuendelea. JamiiForums...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania MSCL: Ni kweli mtambo wa kubebea mizigo wa MV Victoria ulipata hitilafu ya kiufundi

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA 'CRANE' YA NEW VICTORIA HAPA KAZI TU Mwanza, Tanzania. Kuna taarifa iliyochapishwa na mtandao wa kijamii ikieleza kuharibika kwa mtambo wa kubebea mizigo (crane) wa meli ya New Victoria Hapa Kazi Tu. Taarifa hiyo imeeleza kuwa kadhia hii imekuwepo kwa kipindi cha...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded TANESCO Tabora: Kulikuwa na hitilafu ya transfoma, imetatuliwa, kuhusu Uyui umeme utakatika tena kwa ajili ya matengenezo

    Siku chache baada ya baadhi ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika maandiko ya kulalamikia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutokana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Tabora ikiwemo Kata ya Tura Wilayani Uyui na maeneo mengine ya Manispaa...
  17. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Air Tanzania kutoka Mumbai yapata hitilafu, safari yaahirishwa hadi Novemba 6, 2024

    MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE YA MUMBAI-DAR ES SALAAM 04 Novemba 2024, Dar es Salaam Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai kwenda Dar es Salaam imebadilishwa kutokana na hitilafu ya kiufundi. Kwa kuzingatia kipaumbele chetu cha...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC yaomba radhi kutokana na hitilafu ya umeme katika Treni ya SGR

    TAARIFA KWA UMMA HITILAFU YA TRENI YA KAWAIDA YA ABIRIA KUTOKA DODOMA KUELEKEA DAR ES SALAAM Dar es Salaam, Tarehe 2 Agosti 2024 Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kwa abiria waliosafiri kutoka Dodoma saa 2.15 usiku kuelekea Dar es Salaam Agosti 1, 2024 kwa treni ya mwendo kasi...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba hili la Treni ya SGR kupatwa na Hitilafu za mara kwa mara za Bundi na Ngedere liwekwe katika Michezo ya Kubeti ili tuwe tunapiga Hela

    Manake naona sasa kila Siku tu lazima kuna Taarifa ya Treni ya SGR Kukwama njiani. Iwekwe katika Kubeti tule Fedha.
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Treni ya SGR yazimika tena Morogoro!

    Rais Samia akiwasalimia wananchi katika uzinduzi wa treni Agosti 1, 2024 Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi amezindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba wageni walioshiriki uzinduzi huo wakiwamo mabalozi na viongozi mbalimbali wa kiserikali kutokea...
Back
Top Bottom