moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa kike miaka mitano huko Moshi na wengine watano wakila miaka 30 jela akiwamo wa dawa za kulevya

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania Katika kipindi cha Septemba 2026 hadi Oktoba 14, 2026,jeshi hilo la polisi mkoani kilimanjaro liliwakamata na kuwafikisha...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Makuburi tunalalamikia Moshi wa Kiwanda cha Mkapa Export

    Wakazi wa Makuburi, ninaomba msaada kuhusu moshi unaotolewa na kiwanda cha Mkapa Export kuanzia asubuhi hadi usiku, unatuathiri sana sisi wakazi, lakini mpaka sasa hatujaona hatua zozote za kutusaidia. Kinachotushangaza ni ukimya wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, ambaye tunatarajia...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Moshi yazindua Mfumo wa E-Ardhi huduma popote, Wananchi 890 wapimiwa ardhi

    Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Ndugu Godfrey Mnzava, amekabidhi hati 50 za ardhi kwa Wananchi wa Kijiji cha Koresa, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Mfumo wa Ardhi Kliniki Kidijitali, maarufu kama “E-Ardhi Huduma Popote.” Uzinduzi huo umeenda sambamba na utoaji wa elimu kwa...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Haki Imetendeka, huko Moshi Manispaa, sasa kutakuwa na amani,na Tabasamu la Rais Samia litaonekana! Bado Afisa habari wa Manispaa

    Haki imetendeka! Sasa wa kuhamisha Moshi Manispaa, ni Afisa habari wa Moshi Manispaa, Bwana Rama. Huyu ndiye mtengeneza majungu,fitina na elimu yake ina shida! Msipo mhamisha,mapema,kazi yake ni kuharibu wakurugenzi wapya wanaporipoti tu. Huyu ni mtumishi hatari sana na amedumu kituo hicho...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu utoaji huduma katika Zahanati ya Mkolowony Moshi DC

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC. Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa wagonjwa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni taarifa kwamba mtu huyo anahusika hata katika kutoa sindano kwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatuelewi nauli rasmi ya usafiri wa umma Arusha - Moshi ni sh ngapi? LATRA toeni ufafanuzi

    Baadhi ya wasafiri wanaotumia usafiri wa umma katika njia ya Arusha – Moshi – Arusha tumekuwa tukikumbana na changamoto kuhusu utofauti wa bei ya nauli inayotozwa na watoa huduma. Katika nyakati mbalimbali, imeonekana kuwa baadhi ya abiria hutozwa nauli tofauti, huku viwango vikibadilika kati...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Hataki Maeneo Yote ya Wazi ya Moshi Manispaa Kupatiwa Hati za Umiliki?

    Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mgogoro waibuka Moshi Club ,wanachama watoa siku 14 kwa menejimenti

    MOSHI Moshi Sports Club imeingia kwenye mvutano wa kiutawala baada ya wanachama 16 wa klabu hiyo kuwasilisha malalamiko kwa Trustees, wakidai kuwa uchaguzi wa viongozi haujafanyika kwa mujibu wa masharti ya katiba ya klabu. Wanachama hao, kupitia barua yao, wanasema kutofanyika kwa uchaguzi...
  9. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mbunge jimbo la Moshi mjini Ibrahim Shayo alia na mkandarasi mradi wa TACTIC,amuomba Mwanri amtimue akidai hana uwezo

    Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya chama Cha Mapinduzi (CCM),Ibrahim Mohamed Shayo amemuomba Naibu Katibu mkuu ccm Taifa Agrrey Mwanri kuingilia kati ujenzi wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa miundpmbinu ya Barbara na miferji ya maji ya mvua kwenye kata nane kati ya 21 za Manispaa ya...
  10. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi kuwa kariakoo hapo baadae asema Diwani Haji Fundi Haji siku ya usafi wa mazingira

    Msikilize Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji akiwasihi wananchi na wafanyabiashara Kata ya Bondeni kuimarisha suala la usafi wa mazingira huku akiweka mikakati ya kuifanya kata hiyo kuwa kariakoo ya baadae
  11. min -me

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Moshi ni takataka kabisa 🚮

    Kilimanjaro mpaka sasa ilipaswa kuwa jiji🤔 Huu mji umedumazwa na serikali kwa miaka nenda rudi🤔 Sasa hiyo ni stendi gani? Jengo la uchumi hapo stendi wafanya biashara ,wanafanya mpaka baba shop , mtu ananyoa 3000tsh ? Nyie mna akili kweli? Wauza maduka ya simu hapo kwenye ghorofa...
  12. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Elisante Mariki mbaroni ,ni yule house boy aliyefyeka viganja vya mikono yote vya House girl,Marangu Moshi

    Asanteni jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa kazi nzuri iliyotukuka kwa kufanikiwa kumtia mbaroni Emmanuel Elisante Mariki kijana aliyefanya ukatiri dhidi ya ubinadamu kwa kufyeka viganja vya mikono yote miwili ya Scola Bernad binti wa miaka 23 mfanyakazi wa kazi za ndani house girl . Tukio...
  13. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kiti cha plastiki chakatisha maisha ya Kijana Steven Mbomambuzi, Moshi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linachunguza tukio la mauaji ya kijana Steven Karakira Kaaya, (24), Mkazi wa Mtaa wa Boma Mbuzi, Wilaya ya Moshi, Steven alifariki Dunia kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa na watu mbalimbali kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa kiti cha...
  14. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Azania Bank tawi la Moshi na mkakati wa kuwapa vijana elimu ya fedha na kuwawezesha kiuchumi

    Benki ya Azania tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro imeanzisha program ya kutoa elimu ya fedha kwa makundi mbali mbali ikiwamo vijana lengo ni kuwawezesha kuwa na uelewa mpana wa namna ya kutunza fedha Mkakati huo utayasaidia makundi hayo kugeuza elimu hiyo kuwa fursa za kibiashara zinazotolewa...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Moshi Manispaa BILA kuhamishwa, kuna kila dalili (CCM) kukutana na changamoto kubwa zaidi katika Uchaguzi Mkuu 2030

    Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2030, kutokana na malalamiko yanayoongezeka kila siku, kutoka kwa wananchi,viongozi, CCM na...
  16. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Diwani Haji Fundi Haji aelezea furaha yake baada ya kujumuika katika kumwombea Dua makamu wa Rais alipofika nyumbani kwao Moshi Leo hii,amtakia heri

    Ameandika Diwani wa Kata ya Bondeni Moshi mjini Haji Fundi Haji Leo Tarehe 01/09/2026 Nimepata fursa kama sehem ya familia kumpokea na kushiriki kumuombea Dua Mh. Makamu wa RAIS leo nyumbani kwa mama yake kata ya Bondeni-Mbuyuni, Moshi Mjini. Niliungana na Familia ya Shariff Muhdhaar Hussein...
  17. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Chizi aliyechoma moto jengo la mahakama ya mwanzo Moshi mjini mbaroni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja anayedaiwa kuchoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi . Kwa Mujibu wa Taarifa ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro mtuhumiwa huyo ametajwa kwa jina la John Daud, (42), mkazi wa mtaa wa Lengua,Manispaa ya Moshi...
  18. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili achoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi

    Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili ,adaiwa kuchoma moto kwa makusundi jengo la zamani la mahakama ya mwanzo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na ,kusababisha uharibifu mkubwa wa jengo pamoja na nyaraka mbali mbali zilzokuwa zimehifadhiwa ndani ya jengo hilo. Kamanda wa Jeshi la...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu wawili washikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuiba Mita 14 za MUWSA, Moshi - Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wakiwa na jumla ya mita 14 walizoziiba usiku wa kuamkia Agosti 22, 2026 kwenye Mji Mdogo wa Himo. Akizungumza na waandishi wa habari Mhandisi Kija...
  20. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Katika miji niliyotembelea, Moshi ndio mji wa kijani zaidi

    Naongelea Urban Areas, achana na vijiji. Linapokuja suala la maeneo ya mijini sijaona mji wa kijani kama Moshi. Moshi kuna miti aisee. Unajua kama kule Mbeya sehemu walikojenga wakoloni kuna miti mingi na pa kijani sana, lakini mitaa mingi mipya ambayo wabongo tumejenga tumekata miti mno. Ila...
Back
Top Bottom