Mshana Jr | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN
Mshana Jr
Last Activity:
May 23, 2018 at 9:14 PM
Joined:
Aug 19, 2012
Messages:
91,666
Likes Received:
101,235
Trophy Points:
280
Liked:
78,891
Gender:
Male
Birthday:
June 1
Location:
Msata
Occupation:
Mortuary attendant

Share This Page

Facebook Twitter

Mshana Jr

JF-Expert Member, Male, from Msata

Mshana Jr was last seen:
May 23, 2018 at 9:14 PM
  1. Sky Eclat
   Sky Eclat
   mshana jr Tujulishe kidogo habari ya zongo.
  2. w
   wa hapahapa
   mshana jr

   naomba utueleze na elimu ya voodoo.
  3. M
   Mwana Kesho
   Nimefanya utafiti kwenye mtandao na nimepata kuwa wewe ndiye una information nyingi kuhusu mambo ya waganga wa kienyeji. Sijui tunaeza wasiliana kivipi nikueleze tatizo langu nawe unelekeze sehemu ambapo nitapata usaidizi.
  4. Mshana Jr
   Mshana Jr
   Now or never
  5. Mlatinoh king
   Mlatinoh king
   mkuu nina shida kubwa sana, nahtaji utayari wako wa kuifahamu shida yangu na hata kuwa tayar kunipa njia za utatuzi endapo kama Mungu akijalia ukawa na ujuzi na ufahamu juu yake.
  6. Kuchasoni Kuchawangu
   Kuchasoni Kuchawangu
   Habari mkuu. Ni imani yangu unajua mambo mengi juu ya uganga. Mimi nataka unielekeze mganga atakaye nisaidia kupata mali haijalishi masharti yatakuwa magumu kiasi gani..
  7. K
   Kimbori
   Habari Br. Mshana? Je ile TV yenye satellite receiver ndani ina umeme wa AC na DC? Bajeti yangu ni kama laki 4.5 mpaka 5.
  8. linguistics
   linguistics
   Mambo vip mshana jr naomba tu kuuliza nkitaka kupost new thread napress upload haiendi. Nakosea wp? Asante
   1. Mshana Jr likes this.
  9. kuduman201036
  10. Ukwaju
   Ukwaju
   Mshana mbona umenisahau au Whatsaap imejaa No yangu ni 0718-441774
  11. Ukwaju
   Ukwaju
   Mshana naomba uniAdd kwenye ile Group No yangu ya WhatsApp ni 0718-441774
  12. m
   mwasu
   Ninatatizo sana, kila mtu anaeniomba msaada wa kifedha huwa rahisi kumsaidia lakini inakuwa shida sana kurudishiwa pesa niliyomsaidia, tatizo ni nini hili ni kuwa watu wote ninaowasaidia ni matapeli? ahata ndugu wa karibu na marafiki nao mambo ni yale yale, hata kama mtu anauwezo wa kiasi kikubwa inakuwa tatizo, Mshana hili linaniogopesha sana naomba ufafanuzi ni nini hiki?
  13. Ciprofloxacin.
   Ciprofloxacin.
   Mkuu nataka unisaidie dawa ya kuona wachawi.
   1. John W. Mlacha likes this.
   2. J
    John W. Mlacha
    Huyu mpare muongo hana dawa yoyote.
    Dec 29, 2015
    Radhia Sweety likes this.
  14. Mshana Jr
   Mshana Jr
   We can communicate through PM
  15. Mshana Jr
   Mshana Jr
   Pole sana ni mtihani mgumu uliopitia kama hutajali ningependa tuongee kwanza waweza wasiliana nami kwa 0715897077
  16. j
   johnsonlinda650
   Ndugu yangu naomba usaidizi,nina imani kunae atakae elewa uchungu ninao moyoni,nina mpenzi wangu tulopendana sana, miezi ilopita mpenzi kaniita kule Malindi tuzungumze,nilidhania alitaka tupange harusi kwani ilibakia miezi minne tu tufunge pingu za maisha kama tulopanga hapo mwanzo, lakin lo! Nilodhani ndilo kumbe silo, mpenzi kanambia yamekwisha kati yetu kwani amemuona mrembo wa Nairobi,nilipata pigo la moyo ndugu zangu kwani sikumkosea naumwa sana kwani nilifanya juu chini kufanikisha mapenzi yetu, ata kazi niliwacha ndipo niwe na wakati na mpenzi,alikuwa asha nipeleka nyumbani nikawaona wazazi na ndugu zake, vile vile nilikua nimewajulisha jamaa na marafiki wangu,naona maumivu sana moyoni,naomba tafadhali ajuae daktari sugu wa kienyeji anisaidie kukirudisha kikombe changu,nimetafuta msaada kila mahali lakin Kenya matapeli tupu, nawaomba kwa unyenyekevu haswa ndugu zangu wa Tanga nisaidieni,kwani akufaae kwa dhiki ndiye rafiki, nitashukuru sana, asante
   1. Luhanyula likes this.
 • About

  Gender:
  Male
  Birthday:
  June 1
  Location:
  Msata
  Occupation:
  Mortuary attendant

  Signature

  Now or Never...!
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...