masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,172
Dr Philipo Mpango, Makamu wa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
DR MPANGO ATISHIA KUJIUZULU NAFASI YA MKAMU WA RAIS KISA MRADI WA MAJI...
www.matukiodaimamedia.co.tz
Hili limenifanya nifikiri: Something is not right!
Mradi husika ni mkubwa lakini ni almost obscure kitaifa maana impact yake ni kanda fulani tu ya nchi na hauna national impact.
Sasa mradi mdogo kitaifa hauwezi kuvuta hisia ya Mkamu wa Rais kutishia kujiuzulu-haya ni maoni yangu.
That is unless there is an underlying situation.
Makamu wa Rais ni kiongozi wa juu kabisa baada ya Rais. Sasa kujiuzulu au kutishia inatupa message gani?
Je, anahisi katengwa
Je, hasikilizwi kwenye Baraza la Mawaziri
Je, kuna Mawaziri wanamdharau?
Je, maelekezo yake hayatekelezwi?
Je, ana communication nzuri na Rais?
Je, ...Je............Je?
Huu ni muda wa matayarisho ya mwaka wa uchaguzi, timu ya Mama Samia iko pamoja kweli?
Kwa vile na mimi ni mdau tu wa nchi hii inaitwa Tanzania, Je na mimi nina kiherere?
Watabaruku!