mwenyekiti wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Hai amsweka ndani Mwenyekiti wa CCM Tawi la Bomang’ombe, Mbunge Mafuwe amtoa kwa dhamana

    Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro,Hassan Bomboka ameripotiwa kuagiza kukamatwa na kuwekwa ndani kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Tawi la Bomang'ombe Bi,Agnes Kimaro huku kukiwa na wingu zito kuhusu sababu hasa za kiongozi huyo kutoa amri hiyo . Mwenyekiti huyo alikamatwa na kuswekwa...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, ndugu Alhaj Adam Omari Kimbisa kwa kuzifanya wilaya zote za mkoa wa Dodoma kua ngome kuu za CCM Tanzania

    Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma. Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Shinyanga ataja sababu ya Dk Nchimbi kufukuzwa CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga, Mabala Mlolwa amesema kitendo cha aliyekuwa Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwataka Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya hakikuwa sahihi, kwani tayari ilani ya uchaguzi ya chama hicho ilishaahidi kushughulikia suala hilo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni mchakato wa aina gani hutumika kumpata mwenyekiti wa CCM

    Nimekuwa najiuliza hivi huwa mwenyekiti wa CCM taifa anapatikanaje Ni kina nani hupiga kura na ni kipindi gani huchaguliwa nijuzeni wagombea huchukua fomu kwa nan na ni nani msimamizi wa uchaguzi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Simiyu: Ukistaafu pumzika waache waliopo madarakani, mimi naweza kushindana, mume wangu ni tajiri

    Kauli za Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shamsa Mohammed kuhusu uwezo wake wa kifedha pamoja na nafasi ya viongozi wastaafu ndani ya chama zimeibua mjadala miongoni mwa wanachama wa CCM na wadau wa siasa. Katika video inayosambaa mitandaoni, Shamsa alizungumza kuhusu uchaguzi ujao wa ndani wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Chatanda ikemewe, imeonesha dharau kwa Mwenyekiti wa CCM

    Natumia jukwaa kuelezea kauli tata ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Chatanda na kumtaka aliyoitoa kuomba radhi kwa kauli hiyo na akemewe. Sina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika kazi zake za kukiimarisha Chama lakini kauli zenye mashaka daima lina chimbuko la kusudi la kauli...
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM achota mke wa mtu; wananchi wamemkataa

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CCM huko Kilimanjaro (Chugga) amemrubuni mke wa mtu na kumuoa (bibi harusi). Kufuatia kadhia hiyo, wananchi wa eneo hilo wamecharuka vibaya sana wakimtaka mwenyekiti huyo awajibike kwa ukware wake wa kuchukua wake za watu mara kwa mara huku akijua...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo Februari 25, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma, tarehe 25 Februari, 2026.
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Brenda Rupia: CHADEMA hatuitambui Tume. Haiwezekani Mwenyekiti wa CCM awe kiongozi alafu aliowachagua watoe msimamo tofauti na alioutarajia

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata aliowachagua hao walioko kwenye tume ni Mwenyekiti wa CCM
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea ni kubaya, vikundi vya uasi vinakiri kuhusika na mauaji ya mwenyekiti wa CCM na polisi, hii sio tamaduni yetu watanzania, this must stop

    Kama unatumia mitandao nadhani umewaona TFF (Tanganyika freedom fighters) wanakiri kuhusika na kumkata kata mapanga mwenyekiti wa CCM kijiji cha mkoani Mbeya na kumshambulia polisi hadi kifo. Sikuwahi kufikiria hata siku moja tutafikia huku na cha kushangaza nimesoma baadhi ya comments...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupigana hadharani ni kosa la jinai. Mwajibishe Msukuma kama Mwenyekiti wa CCM

    Ni hayo tu kwa leo. Kupigana hadharani ni kosa la jinai. Amekidhalilisha chama chako. Hiyo ni aibu yako! Mwajibishe!
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM (Singida): Acheni kumnyanyasa Samia, tangu achaguliwe mnamzuia kufanya kazi

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Martha Mlata, amesema kuwa tangu kumalizika kwa uchaguzi wa Oktoba 29 kumekuwepo na hali ya kumnyanyasa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kiasi cha kumsononesha na kuathiri mazingira ya kufanya kazi kwa utulivu. Mlata ametoa kauli hiyo leo...
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ruvuma: Spika Mussa Zungu anataka mtoto wa Jenista Mhagama kupendekezwa Ubunge jimbo la Peramiho?

    "Mkuu wa Mkoa uko hapa, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi upo hapa na Nyota Mtoto wetu yupo hapa. Nafikiri nikisema hivyo mmenielewa. Mmenielewa? Nyota ya mtoto wetu yupo hapa, nawashukuru sana Familia. Dodoma niliwaambia mshikamane, mpendane. Hiki ni kipindi kigumu kwenu." Spila wa Bunge la...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia anarudisha Fomu ya Uchaguzi Mkuu muda huu Agosti 27, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Z2GEtzscmaY https://www.youtube.com/watch?v=2cTVOqAW2xg Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akirudisha fomu ya Uchaguzi Mkuu Tanzania katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Tanzania (INEC) Dodoma, leo tarehe 27 Agosti, 2025.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM ni kama pambo tu haelewi yote

    Mwenyekiti wa CCM ni kama pambo tu haelewi yote. Mfano inawezekana haija ambiwa kwamba CCM wanapata data za NIDA kinyume cha sheria. Tekateka imeundwa na wateule wake. Kuna wateulewake wanaenda kuomba pesa kwa wafanyabiashara kwa mgongo wake. Kwasababu ya upole upole na kupuuza mambo Rais...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

    Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Msafara wa Magari...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wana CCM mnauhakika Chadema Imekufa? Basi ruhusuni mkitano yao na mmfungulie Lissu

    Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa! Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM ampigia kampeni mgombea mmoja kabla ya kura za maoni

    Wakuu Hali ya kushangaza imejitokeza katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro baada ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Wanguba Maganda na Katibu wa Kata Machame kumpigia kampeni kinyume cha taratibu Aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo la Hai Mkoani Kilimanjaro Saashisha Elinikyo Mafuwe. Kupitia video...
  19. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
Back
Top Bottom