Hii ni aibu kubwa sana badala ya kudili na taifa letu kuwa na uzalishaji mwingi na wa uhakika ili umeme ushuke bei na sekta binafsi iweze kukua kwa uzalishaji kuongezeka. Waziri wa nishati anawakatisha tamaa sekta binafsi na kutamka bila aibu mgao utakuwepo .
Kama njia za kusafirisha umeme...
Nashangaa sana tanesco walitangaza kipindi cha nyuma siku kumi za mayengenezo kwamba zikiisha hakuna tena mgao, lakini cha ajabu Mwanza mgao wa Umeme haujawai kuisha mpaka leo, umeme unakatika saa mbili asubuhi unarudi saa kumi na mbili jioni, pengine unakatika saa kumi na mbili jioni...
TANESCO kama kuna mgao basi tupeni taarifa kuliko kukata kata umeme bila watu kujiandaa.
Siku ya tatu now huku Bunju B mnakata umeme asubuhi unarudi almost saa kumi na mbili na nusu.
Waziri akiulizwa oh, nipe week mbili za matengenezo, sijui kufikia March kutakuwa hakuna mgao lakini hakuna...
Habari za majukumu!
Kuna mgao unaendelea hapa Arusha, Umeme unakatwa asubuhi unarudi saa moja kasoro usiku. Tanesco kwanini wasituambie shida ni nini?
Mlituaminisha mgao uliopita ni sababu ya kufanya maintenance, ni juzi tu mkatangaza maintenances zimeisha sasa hii ni nini?Nadhani kuna mahali...
Msemaji wa Tanesco ndugu Mwambene amesema ukarabati wa vinu vya gesi huko Songosongo umefikia 30% kufikia leo.
Mwambene amesema ndani ya siku 10 hali ya umeme itarejea kama kawaida kwani hata sasa mgao umepunguzwa sana.
Source: ITV habari
Bilionea wa wa madini ya Tanzanite na Ruby bwana Laizer amesema anasikitishwa sana na kitendo cha umeme kukatika kila mara na kupelekea washindwe kuendelea na shughuli zao za uchimbaji kama walivyojiwekea kwenye mpango kazi wao.
Ameiomba serikali kutafuta namna ya kupambana na kuondoa kabisa...
Nduguzanguni Serikali waliibuka nakusema hakutakuwa na mgawo wa umeme ambao walikuwa wameutanganza kwasema ni kwa sababu washapata mbinu mbadala utaosaidia kuwezesha upatikanaji umeme kuwa wakutosha.
Nimeshangaa jana wmetukatia kuanzia saa 10 Jioni wamerudisha saa 4 na nusu Usiku hii imekaaje...
Akiwa bungeni, Naibu waziri wa Nishati, Stephen Byabato ametangaza kusitisha mgao uliotangazwa awali kwa madai kwamba hauhitajiki baada ya kufanya utafiti huku wakiwa wamepokea maelekezo kutoka kwa Rais Samia kwamba mgao usiwe mkali kama ilivyotangazwa.
Kupungua kwa matumizi ya umeme, mvua...
Mgao wa umeme upo tokea Makamba awe waziri!
Ila nauliza kwa sisi watu wa Temeke jana tokea asubuhi umeme haukuwepo maeneo mengi ya Temeke wakarudishwa jioni baada ya saa kama moja wakakata tena!
Sasa nauliza huu mgao rasmi uliotangazwa na MAHARAGE ndio huu umeshaanza sasa au utakaoanza...
Ni takrbani Masaa nane toka saa 3.20 usiku hadi hivi sasa alfajili tuko gizani bila Tanesco kutoa taarifa yoyote kwa Wananchi
[emoji819]Watanzania wanalala gizani huku viongozi wakishindwa kuwajibika kwa matatizo yayotokea.
[emoji819]Mtu wa kwanza kuwajibika katika hili ni Waziri anayehudumu...
Nikishangaa sana, suala la umeme kukatika hovyo hovyo tena siku nzima,kwa hapa shinyanga mjini,limekithiri sana tangu waziri wa nishati aondolewe na kuwekwa Makamba.
Hata wakati wa JK haikuwahi kuwa hivi.Kwa sasa hali imezidi sana kwani hata siku kama ya leo ambapo wananchi wengi wanafuatilia...
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.
Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;
1. ENEO HUSIKA...
cheo
gani
haraka
hii
kazi
kiongozi
leo.
luku
maana
maharage
maharage chande
makamba
maoni
mapendekezo
mateso
meneja
mgaomgaowaumeme
mnazingua
muda
mwanza
sana
shida
tanesco
ubabaishaji
uhuru
umekatika
umeme
unakatika
ushauri
wajinga
wizara
Kila ikifika asubuhi wanakata Umeme na kuurudisha jioni kwa siku ya 4 mfululizo TANESCO hata kama ni mgao ni mgao gani wa hovyo hivi?
Hili shirika ni la hovyo sana
Mwezi uliopita baada taifa letu kupata taarifa kuwa kuna upungufu wa umeme kiasi cha Mw 345 taifa letu liliwekwa tayari kwa ajili ya kuanza kuzalisha umeme kwa njia mbadala badala ya maji.
Kila Mtanzania alijua wazi kuwa sasa mambo ya IPTL, Dowans na Richmond yanarudi na waTz walishajua wakati...
Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi.
Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
Taarifa ya Msigwa ni kwamba TANESCO wanazalisha megawat 1,609. Matumizi yetu ni megawat 1,273. Hivyo tuna ziada ya megawati 336.
Tunaambiwa kuwa ukame umesababisha kupungua megawati 280!
Hii ina maana umeme uliopungua kutokana na unaotajwa kuwa ni ukame, haumalizi hata ile ziada ya umeme...
Waziri wa Nishati, January Makamba amelielekeza Shirika la Umeme (TANESCO) kuhakikisha kwamba pamoja na kadhia ya umeme inayoendelea, Shirika hilo lisijiingize kwenye kukodi mitambo ya dharura kutokana na historia mbaya ya mitambo ya aina hiyo kuwa na gharama kubwa kwa Serikali na kugubikwa na...
Mgao wa maji na umeme unaoendelea hapa nchini umeitikisa hospitali ya KCMC inayotegemewa na zaidi ya watu millioni 15 nchini na imelazimika kusitisha baadhi ya huduma kama vile upasuaji, uzalishaji wa mitungi ya Oxygen n.k.
=======
Moshi. Makali ya uhaba wa maji na umeme usipime. Hivi ndivyo...
Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje.
Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower.
Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia...
Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji.
Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8.
Source: ITV habari