miundombinu

  1. M

    Zanzibar ipewe kipaumbele kwenye miundombinu

    Zanzibar ndio lango la utalii nchini. Nashauri pesa nyingi ipelekwe huko kuendeleza miundo mbinu ya barabara, airport na hotel
  2. L

    Kampuni ya China kupata kandarasi ya kujenga Uwanja Mpya wa Soka Tanzania ni mwendelezo wa ushirikiano katika kuboresha miundombinu

    Katikati ya mwezi Machi serikali ya Tanzania ilitangaza kuwa Kampuni ya Uhandisi wa reli ya China (CRCEG) ilishinda zabuni na kupata kandarasi kujenga uwanja mpya wa soka mkoani Arusha, na kusaini makubaliano na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania. Uwanja huu utakuwa ni sehemu ya...
  3. BARD AI

    Hali ya Mazingira na Miundombinu ikoje katika eneo lako kutokana na Mvua zinazoendelea?

    Ripoti mbalimbali zinaonesha maeneo mengi ya Nchi yanakabiliwa na Mvua zinazoendelea kunyesha na kuathiri shughuli mbalimbali za kila siku ikiwemo Miundombinu Hali ikoje katika eneo lako na je, kuna usalama?
  4. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yajipanga Kurejesha Miundombinu ya Barabara Iliyoathiriwa na Mvua Mkoani Rukwa

    SERIKALI YAJIPANGA KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOATHIRIWA NA MVUA MKOANI RUKWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali imejipanga kuhakikisha inarejesha miundombinu ya barabara ya Kasansa - Muze - Mtowisa - Ilemba - Kaoze - Kilyamatundu (km 180) iliyoathiriwa kwa kiasi...
  5. Roving Journalist

    Mvua ilivyoharibu miundombinu ya Barabara Sumbawanga - Rukwa, Waziri Bashungwa atembelea

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali imejipanga kuhakikisha inarejesha miundombinu ya barabara ya Kasansa - Muze - Mtowisa - Ilemba - Kaoze - Kilyamatundu (km 180) iliyoathiriwa kwa kiasi kikubwa na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo tofauti tofauti nchini. Bashungwa ameeleza...
  6. JanguKamaJangu

    Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko afichua orodha ya matendo ya uhujumu wa miundombinu ya TANESCO

    Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu 1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi imefunguliwa, maana yake ile Transfoma imekufa mafuta yamesha chukuliwa’’ 2. ‘’Mwezi wa tatu tarehe...
  7. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Ujenzi Yajipanga Kufanya Matengenezo Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua na Kupunguza Foleni

    WIZARA YA UJENZI YAJIPANGA KUFANYA MATENGENEZO MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA NA KUPUNGUZA FOLENI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) itajikita katika kufanya matengenezo makubwa katika maeneo...
  8. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara Kufungua Fursa Mafia

    UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KUFUNGUA FURSA MAFIA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuifungua wilaya ya Mafia kwa kujenga miundombinu bora ya barabara ili kuchochea fursa za...
  9. Roving Journalist

    Kamati ya Miundombinu yasisitiza wakandarasi wazawa kupewa kipaumbele

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeisisitiza Serikali kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa miradi na kuendelea kutafuta ufumbuzi wa changamoto za Wakandarasi hao ili kutoa fursa ya ushindani na Wakandarasi wa nje katika upatikanaji wa zabuni. Hayo yameelezwa...
  10. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yasisitiza Wakandarasi Wazawa Kupewa Kipaumbele

    KAMATI YA MIUNDOMBINU YASISITIZA WAKANDARASI WAZAWA KUPEWA KIPAUMBELE Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeisisitiza Serikali kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa miradi na kuendelea kutafuta ufumbuzi wa changamoto za Wakandarasi hao ili kutoa fursa ya ushindani...
  11. J

    Kamati ya Miundombinu yasisitiza Wakandarasi wazawa kupewa kipaombele

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeisisitiza Serikali kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa miradi na kuendelea kutafuta ufumbuzi wa changamoto za Wakandarasi hao ili kutoa fursa ya ushindani na Wakandarasi wa nje katika upatikanaji wa zabuni. Hayo yameelezwa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yataka Maeneo ya Viwanja vya Ndege Yawe na Hatimiliki

    KAMATI YATAKA MAENEO YA VIWANJA VYA NDGE YAWE NA HATIMILIKI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuhakikisha inasimamia upatikanaji wa hatimiliki za maeneo ya Viwanja vya Ndege vyote nchini ili kudhibiti uvamizi katika maeneo hayo na kupelekea ucheleweshaji wa utekelezaji...
  13. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge ya Miundombinu Yakagua Barabara ya Noranga - Itigi

    KAMATI YA MIUNDOMBINU YAKAGUA BARABARA YA NORANGA- ITIGI, YAAGIZA MRADI UKAMILIKE KWA WAKATI. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia mkandarasi kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa barabara ya Noranga-Itigi (km...
  14. J

    Kamati ya Miundombinu yawasili Singida kukagua miradi ya Sekta ya Ujenzi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.Selemani Kakoso (Mb) imewasili wilayani Itigi Mkoani Singida na kupokelewa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, leo tarehe 12 Machi 2024. Kamati hiyo ikiwa Wilayani hapo itakagua na kutembelea miradi ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aagiza Timu ya Watalaam Kurejesha Miundombinu Lindi

    BASHUNGWA AAGIZA TIMU YA WATALAAM KUREJESHA MIUNDOMBINU LINDI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Eng. Aisha Amour kupeleka timu ya wataalam mkoani Lindi itakayohakikisha inasimamia urejeshwaji wa miundombinu yote ya barabara na madaraja...
  16. BARD AI

    Rushwa huathiri Utoaji na Upatikanaji wa Huduma Bora katika Afya, Elimu, Miundombinu na Utawala Bora

    Ufisadi katika utoaji wa huduma umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi. Inaathiri sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na afya, elimu, miundombinu, na utawala wa umma. Nchini Tanzania, ufisadi katika utoaji wa huduma unaonekana katika njia kadhaa: Rushwa...
  17. Pfizer

    Tanga: UWASA yazindua Hatifungani ya kwanza Afrika Mashariki ya Miundombinu ya Maji yenye thamani ya bilioni 53.12

    Tanga: Hatifungani ya kijani ya miundombinu ya maji yenye thamani ya Shilingi bilioni 53.12 imezinduliwa na Mamlaka ya Maji Tanga, taasisi ya serikali inayojitegemea. Hatifungani hii ya kwanza katika historia ya masoko ya mitaji nchini na ukanda wa Afrika Mashariki, inalenga kugharamia mradi wa...
  18. BARD AI

    Tanzania yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 988 na Benki ya Dunia kuboresha miundombinu ya Dar

    Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia zimesaini mkataba wenye thamani ya Euro milioni 361.1 (sawa na takribani shilingi bilioni 988.093) kwa ajili ya kutekeleza Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuendeleza Miundombinu Dar es Salaam {Dar Es Salaam Metropolitan Development Project Phase II (DMDP II)...
  19. J

    TANAPA: Mwarobaini wa miundombinu korofi Serengeti wapatikana

    Kamishna Kuji atoa maelekezo mahususi Serengeti Na Edmund Salaho/Serengeti. Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA Juma Kuji leo amefanya ziara ya kukagua miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Serengeti na kuiagiza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Serengeti kushughulikia mara moja maeneo korofi ya...
  20. Influenza

    Kutokana na kuendelea kuharibika kwa miundombinu ya barabara kwa mvua, Waziri wa TAMISEMI aagiza marekebisho kwa fedha za dharura

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameuelekeza Wakala wa barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia Bilioni 40 fedha za dharura kukarabati miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua za Elinino zinazoendelea kunyesha...
Back
Top Bottom