gridi ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Dkt. Doto Biteko: Mradi wa JNHPP unatarajiwa kuingiza Megawati 235 katika Gridi ya Taifa mwezi huu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo Februari 19, 2024 amewasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi mkoani humo. Ziara hiyo pia itahusisha ukaguzi wa miradi mbalimbali ya umeme mkoani humo. Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, Dkt. Biteko amepokelewa...
  2. M

    Tanesco yatangaza hitilafu, Mikoa iliyoungwa Gridi ya Taifa kukosa umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo. “Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
  3. Roving Journalist

    Awamu ya Pili ya maandalizi ya kupokea umeme kutoka kwenye mitambo yakufua Umeme JNHPP kuingia Gridi ya Taifa Januari 13-21, 2023

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuhusu awamu ya pili ya kuunganisha kituo kipya cha kupoza umeme cha 400kV Chalinze na njia ya msongo a kilovoti 220 inayoanzia Luguruni hadi Morogoro. Kazi hii itakapokamilika itaongeza uwezo wa kituo cha 400kV Chalinze kupokea Umeme...
  4. chiembe

    Tuwe na umeme wa gridi ya taifa, lakini pia tusisahau kuwa na vyanzo vya kikanda, kwa sasa shida ikitokea sehemu moja, nchi nzima inaathirika

    Nadhani sasa ni muda muafaka kuwa na gridi za kikanda. Kalemani alikuwq ananichekesha alipokuwq anakaza fuvu kufunga mitambo ya mafuta kwa badhi ya mikoa. Usalama wa umeme ni usalama wa taifa. Hatuwezi kuuweka usalama wa nchi nzima kwenye njia moja bila ya kuwa na njia mbalimbali. Inatokea...
  5. B

    Nishati Lutheran (DKK) Investment ya Ijangala, Makete Yaingiza Umeme KW360 Ktk Gridi ya Taifa

    MRADI WA UMEME WAKAMILIKA Wakazi 4,500 kunufaika na umeme wa gridi Makete, Njombe Tanzania. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) wakati wakiwasha mitambo ya umeme wa mradi huu uliokamilika. Mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Ijangala, kijiji cha...
  6. Stephano Mgendanyi

    Dola Bilioni 1.9 Kuimarisha Gridi ya Taifa Nchini

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa Serikali imetenga fedha kiasi cha Dola za Marekani bilioni 1.9 kwa ajili ya miradi ya kuimarisha gridi ya Taifa kwa kipindi cha miaka minne. Makamba amesema hayo wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka 2022/2023 kwa...
  7. F

    Hili la TANESCO kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa, halina dalili za upigaji?

    Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo vya uzalishaji umeme. Hii gharama ya kuufumua mfumo itakuwa kubwa mno. Atakayeumia ni mlipa kodi...
  8. Longoshe

    Kigoma waharibu miundombinu ya umeme ya gridi ya taifa

    Wilaya za Kakonko, Kibondo, Kasulu na Buhigwe mkoani Kigoma hazina huduma ya umeme, baada ya watu wasiojulikana kufanya hujuma katika miundombinu ya umeme kwenye kijiji cha Itumbiko wilayani Kakonko. Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Kigoma Mhandisi Jafari Mpina amesema...
  9. The Sunk Cost Fallacy

    Hatimaye Mkoa wa Kigoma Wapata Umeme wa Gridi ya Taifa

    Bila shaka Kazi inaendelea.. Kwa mara ya kwanza Mkoa wa Kigoma umepata rasmi Umeme wa Gridi ya Taifa baada ya Kazi nzuri ya Wizara ya Nishati. Hii itasaidia kusimwa kwa mitambo ya mafuta na kupata wawekezaji rasmi wa viwanda vikubwa. Ikumbukwe kampuni ya Intracom ya Burundi ilisema inakusudia...
  10. J

    Waziri Makamba: Tutaweka mchanganyiko wa Umeme wa Maji, Gesi, Upepo, Jadidifu na hata Nyuklia kwenye Gridi ya Taifa

    Waziri wa Nishati January Makamba amesema wanakusudia kuweka mchanganyiko wa uhakika wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa. Makamba amevitaja vyanzo mbalimbali vitakavyozalisha umeme huo kuwa ni Maji, Gesi, Jadidifu, Upepo na Just. Waziri Makamba amesema hata chanzo cha Nyuklia kinaweza kutumika kama...
Back
Top Bottom