Mapya yameibuka katika sakata la video inayodaiwa kutengenezwa ili kumshinikiza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu. Anadaiwa kuwataka walioitengeneza waache kumtishia kuachia video nyingine na badala yake wamlete hata mwanamke ambaye picha yake inadaiwa kutumika kutengeneza video hizo...
Mnamo mwaka 1987 Nchini uingereza kuliibuka tetesi kwamba Idara ya ujajusi wa ndani MI5 kupitia kwa maafisa wake walihusika katika mpango wa kumdhoofisha aliekuwa waziri mkuu "Harold Wilson", na kumlazimisha Kuondoka Madarakani kwa kujiuzulu.
Jina la Spy Catcher Linasomeka moja ya vitabu...
Hili ndio swali ninalojiuliza na pia ni hatari ninayaiona iwapo hilo litatokea japo hatuombei ila tusisahai kifo ni wakati wowote na kws yoyote.
NB: Kama yuko kwenye depression na ana magonjwa ya kiutu uzima kama vile pressure au kisukari, basi risk inaongezeka na hii ni hatari zaidi...
Nimesikia mahala Mwenyekiti wa CCM akijinasibu kuwa Katiba hii ya CCM yq mwaka 1977 inafaa kisa tu wameweza kumfukuza Nchimbi uanachama na kuweka makamu mwingine. Huu ni uongo na uzandiki.
Hii Katiba haifai hata kidogo . Ni katiba ambayo haikutungwa na wananchi bali ilitungwa na wanaCCM...
Kitendo cha kumfukuza kazi mfanyakazi anayejiuzulu kwenye ajira ni uswahili. Mhe. Nchimbi apewe haki yake kwenye ajira ya serikali badala ya kuendeshwa na kanuni za CCM.
Wanabodi,
Wakati wengi wengi bado tumepigwa shock na bumbuwazi kwa kilichotokea haswa hii double tragedy ya VP. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, hili ni bandiko la kuwaelimisha watu na kuwasisitiza tuwe na heshima kwa viongozi wetu, kwasababu licha ya kujiuzulu mwenyewe na kufukuzwa CCM kwa...
Kama na sisi tunaweza kumfanya makamu wa Rais ajiuzulu kwa amani kabisa ni dalili kuwa na sisi tumepevuka. Mambo kama haya hayapatikani sana nchi za Afrika bali Ulaya, NKorea, Japan na nchi nyingine za mbele huko. Pale Uingereza ndani ya miaka 10 wamejiuzulu viongozi wao wakuu zaidi ya 4...
Kwamba nitastahafu siasa kuanzia tarehe 4 Septemba, 2026
Nawaza tu, kama notisi ilikubaliwa, je huyu mwamba ni bado Makamu wa Raisi mpaka 4 September 2026 au kwa kufutwa kwake uanachama amefukuza wakati akiwa kwenye notice period.
Wabobezi, wanazi na vilaza ni wengi, ila wote maoni yetu...
Wanabodi
Tangu jana nilipoiona ile Taarifa kwa umma ya VP kujiuzulu, nilipata shock sikuiamini nikiamini ni fake news, mpaka leo nilipoiona Taarifa ya Ikulu, ndio nimeamini!.
Nilipata shock kwasababu niliamini he is the best that we have for 2030. Hata hivyo, licha ya kujiuzulu, kwasababu...
Mtangazaji wa Radio 47 Kenya, Captain Emmanuel Mwashumbe, ameibua maswali kuhusiana na uamuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kutangaza kujiuzulu na kustaafu siasa kuanzia Septemba 4, 2026.
Akizungumza kwenye kipindi chake, Captain Mwashumbe ameeleza kushangazwa na hatua...
Uamuzi wa Makamu wa Rais Dk. Emmanuel Nchimbi wa kutangaza kujiuzulu nafasi yake umezua mjadala mzito huku hatua hiyo ikitazamwa kama dharau ya wazi na kukosekana kwa heshima kwa mamlaka ya ofisi aliyokuwa akiitumikia.
Badala ya kuonekana kama uamuzi wa kawaida wa kiongozi anayepumzika lakini...
Nchimbi hata mara moja hajazungumzia CCM na amesema anajiuzulu siasa maana yake ni kwamba kapiga dongo CCM kwa kiasi kikubwa.
Sasa kama wewe bado upo CCM jiulize kusudi lako hasa ni lipi! Kwa serikali hii ya wanzanibari pekee na machawa
Wakuu,
Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media?
Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa.
Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and...
Kama kuna jambo moja ambalo Samia linamshinda katika uongozi wake, ni kuwa na uwezo wa kuona mbali katika baadhi ya maamuzi yake na kuletea kujijengea maadui wengi sana wa kisiasa. Kwa mfano, hadi sasa, hawa huwezi tena kuwaita watu wa Samia, pamoja na wale wanaowaunga mkono
Dr. Nchimbi...
Hatimaye, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amejiuzulu wadhifa wake baada ya miezi ya tetesi, mijadala ya kisiasa na mashambulizi yaliyokuwa yakimlenga ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Taarifa ya kujiuzulu kwake imetumwa kwenye akaunti zake za X...
NI Tanzania tu ambapo wananchi wanakaa kimya pale ambapo watetezi wa haki zao kama kina Ben Saanane, Ali Kibao, Luhaga Mpina, Tundu Lissu, Job Ndugai, Hamphrey Pole Pole au hata Dr. Nchimbi, wanaondolewa katika uongozi, kutekwa na kuuwawa au kufunguliwa kesi za mchongo na watu wanakaa kimya tu...
Utake usitake barua yako ya kujiuzulu itakuwa hadharani.
Hayati Spika Ndugai, Makamu wa Rais mstaafu Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu wa CCM mstaafu Daniel Chongolo wote walijiuzulu kwa barua.
Anayefata atakuwa nani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.