kushindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Atukuzwe Mungu

    Mwanamme kushindwa kutungisha mimba

    Salam ndugu zangu wanaJF, JF imekuwa na msaada mkubwa sana kwangu. Leo nimekuja na kuomba msaada, je mwanamme kushindwa kutungisha mimba tiba yake ni Nini? Vipimo vya hospital vinaonesha sperm hazina speed na sio matured. Naomba msaada kwa mtu ambaye anajua matibabu ata ya kienyeji...
  2. A

    KERO Tanroads na Mkandarasi wa Barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji Kushindwa Kutekeleza CSR badala yake kusababisha Kero kwa Wakazi wa Mtaa wa Tumaini

    April 24, 2025 Liliwekwa jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Barabara ya kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa Kilomita 41, ambapo jiwe hili liliwekwa na Raisi wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi. Kazi imefanyika vizuri sana ila Changamoto Kubwa Mtaa Wetu wa Tumaini umeelekezewa Maji kiasi kikubwa...
  3. Dr Arshavin

    Tabia Zako: Ufunguo wa Mafanikio au Kushindwa

    Kitu kinachokufelisha wewe kuyafikia malengo yako na mafanikio yako ni TABIA ZAKO! The Mind Game Control Wengi wetu tunapenda kulaumu uchumi, serikali, ndugu zetu, au hata bahati mbaya pale mambo yanapoenda kombo. Lakini ukweli mchungu ambao huenda hutaki kuusikia ni huu: Wewe ni matokeo ya...
  4. A

    Arudi kwa mzazi mwenzie baada ya miaka 15 ya ndoa

    Miaka kadhaa nyuma nilikuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi ya kijana mmoja kwenye kanisa nililokuwa ninasali hapa Dar. Upekee wa hii ndoa ni misuguano na mabishano yaliyokuwepo kati ya kijana na familia yake hasa mama yake na dada zake. Sababu ya mabishano ni dada anayetaka kuolewa na kijana...
  5. Waufukweni

    PostGE2025 Mwabukusi: Si kweli Vurugu za Oktoba 29 zilisababishwa na 'Gen Z' ni sababu za Wazee kushindwa kuwajibika

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema hayo Mei 11, 2026, wakati akiwasilisha uchambuzi wa chama hicho kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu 2025. "Vilevile swala la ukiukwaji wa haki za binadamu, Tume...
  6. L

    Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Kushindwa Kuwa Na Vitega Uchumi Kwa Miaka 34 Na Kuishia Kuombaomba Tu Michango Inayoishia Kutafunwa hovyo

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni Lichama La Hovyo sana kuwahi kutokea katika Taifa letu. Ni lichama lisilo na mbele wala nyuma. Ni lichama ambalo halinaga Dira wala Muelekeo. Limejaa na kusheheni Viongozi wasio na Maono wala Dira wala Muelekeo wala mipango wala mikakati ya mbele. Ni Lichama...
  7. R

    Maandamano yazuka Peru Wananchi kutoamini mchakato wa uchaguzi unaoendelea

    Uchaguzi wa urais nchini Peru uliofanyika Jumapili, 12 Aprili 2026, umechochea maandamano baada ya changamoto kubwa za kiutendaji kusababisha maafisa wa uchaguzi kuchelewesha kuhesabu kura na kuongeza muda wa upigaji kura hadi leo Aprili 13, 2026, hali iliyochochea mashaka makubwa kuhusu...
  8. M

    Aibu ya Propaganda: Baada ya kushindwa kudanganya kifo cha Netanyahu, Iran wamekuja na nyingine ya Marekani kuwalipa Dola Bilioni 6.

    Taarifa zinazosambaa kwamba Marekani imekubali kuilipa Iran dola bilioni 6 ni propaganda za zinazorejelea tukio la zamani lililotokea Septemba 2023 kipindi Biden akiwa Rais wa Marekani. Dola Bilioni 6 zilikuwa sehemu ya makubaliano ya kubadilishana na wafungwa, ambapo Marekani ilitoa ruhusa...
  9. DogoWaNjombe

    Kilimanjaro: EX-Wife auza kiwanja cha mama mkwe baada ya aliyekuwa mumewe kushindwa kuhudumia Watoto

    Bibi mwenye umri wa miaka 66 anayefahamika kwa jina Julia Albin mkazi wa Tarafa ya Useri wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya eneo lake lenye makazi yakudumu kuuzwa kwa amri ya mahakama, kutokana na mwanae kushindwa kutoa matumizi kwa...
  10. Webabu

    Marekani kushindwa vita kulianza kwa meli zake zilizoingia vitani kwa kishindo kupigwa,ikafuatia kudondoshwa kwa ndege ya F 35 na kupigwa Dimona

    Ile meli ya kubeba ndege ya Abraham Lincolin imekuwa haitajwi muda mrefu japo Marekani imekanusha kuzamishwa kwake. Kwa meli kubwa kuliko zote ya Gerald Ford wamekubali kuwa moto mkubwa ulizuka na ikabidi kuiondosha kwenye uwanja wa vita siku chache kiwanda cha kusafishia mafuta cha Haifa...
  11. A

    German and British intelligence, Iran Haiwezekani Kushindwa Vitu

    Ujumbe ndio huo German and British intelligence, Iran Haiwezekani Kushindwa Vitu sababu hata ushambulie vipi wanauwezo wa kuendelea kutengeneza Hypersonic Missiles. https://youtu.be/YXakMdE7HBw?si=Q5Snggh94ExijJuF
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Baada ya elimu kushindwa kutatua tatizo la ajira, wanawake wengi wanaona mfumo wa haki Sawa ufutwe

    Hamjambo! 1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu. 2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume. 3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k...
  13. Adharusi

    Mohamed Mchengerwa mtu kazi, mtu wa matokeo hujawahi kushindwa jambo tuondolee hili hospital za kitaifa

    Ushauri kwa waziri wa afya ,wakati waziri wa ujenzi anapambana kuondoa foleni kwenye majiji na miji basi waziri wa afya atuondolee foleni hospital za kitaifa MUHIMBILI na Benjamin Mkapa hospital. Serikali imekua na mipango mbalimbali kuhakikisha inainua uchumi kwa kuondoa foleni kwenye miji...
  14. M

    Kwagilwa: Mtendaji Kata ya Kipunguni ‘B’ achukuliwe hatua kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi ipasavyo

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Mtendaji wa Kata ya Kipunguni ‘B’ kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi...
  15. Slobodan Mirosovich

    Uuzaji wa Akiba ya Dhahabu ni dalili mbaya ya kushindwa kwa dola

    Katika uchumi wa dunia akiba ya dhahabu ya nchi (National Gold Reserves) inatazamwa kama ngao ya mwisho ya uhuru wa kiuchumi. Taarifa kuwa nchi yangu Tanzania inapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu ili kufadhili miradi ya miundombinu imenistua sana. Ni jambo linalopaswa kutafakariwa...
  16. O

    Motisha za Uongo kwa Vijana baada ya na Serikali kushindwa Kutatua Mahitaji ya Msingi Tanzania

    Kumekuwapo wimbi la vijana kupeana motisha za ajabu; mara siku hizi hatari kubwa kwa vijana Tanzania si kukosa ajira bali ni kukosa skills, mara AI ndiyo future na vijana wawekeze katika kujifunza teknolojia ya AI, mara dini ndiyo sababu kuu ya umasikini Tanzania; mara wasomi (shule) haina...
  17. Kimbesa11

    TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

    Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa. Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi...
  18. Mbalizi feedstuff

    Hivi SIDO Mbeya ndio wa kushindwa kunichongea spare part hii?

    Nimeshangazwa sana na hawa jamaa wana mimashine mikubwa mpaka ukiingia workshop unaogopa lakini kumbe hamna kitu,niliwapelekea sample ya spare hiyo nichongewe wakasema wanaweza hiyo kazi mwisho wa siku tunaanza kusumbuana mara sijui bits za kutobolea za drilling machine zinavunjika vunjika,je...
  19. Genius Man

    Serikali haramu inang'ang'ania madaraka kwa sababu wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa

    Serikali haramu imesha anguka na kushindwa kuifanya nchi ya kipumbavu wanang'ang'ania madaraka wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa. Wakitoka wote wahusika wakuu ikiwemo wakuu wa majeshi wataburuzwa sana wanatamani wachimbe shimo wajifukie wakimbie mbali. sasa hawa sisi tupo nao sana...
  20. G

    PostGE2025 Hakunaga Ukombozi wa siku Moja, kupoteza pambano sio kushindwa vita. Leo wao wameandamana barabarani badala ya kambini

    Ukisoma historia za ukombozi hazikuwa za siku Moja Wala mwaka mmoja. Sina haja kutoa mifano Iko wazi hata uhuru wa Tanganyika haukutafutwa siku Moja . Jambo Moja watawala wanapaswa wajue huwezi kushindana na wananchi wako mwenyewe ukawashinda. Leo Majeshi yote yamejikuta yanaandamana dhidi ya...
Back
Top Bottom