mbalimbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Shamba ekari 113 linauzwa Mufindi, linafaa kwa mazao mbalimbali

    Habari wakuu, "Ukitaka mali utaipata shambani" Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Iringa, hususani wilaya ya Mufindi ni injini ya horticulture inayokua kwa kasi sana Nyanda za Juu Kusini. Kuwa sehemu ya wawekezaji wa eneo hili la kimkakati. Kwa anayehitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli Nembo mbalimbali za michezo ni Free mason?

    Je, kuna ukweli wowote kwamba nembo za vifaa vya michezo (kama vile Nike, Adidas, Puma, au nyinginezo) ni ishara za Freemason. Je ni (conspiracy theories) na uvumi wa mitandaoni ambao hauna ushahidi wowote wa kihistoria au wa kisheria au kuna ukweli? Ukweli kuhusu nembo hizo umejikita katika...
  3. Red black

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakatoliki hawana kipengele cha kuombea waumini wenye shida mbalimbali kama kufungua milango ya ridhiki, magonjwa, majini, uchawi?

    Dark psychology and manipulation.
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kauli mbalimbali za kujifariji, kujikubali na kuringa na kitambi chako

    Kitambi sio laana, ni baraka Kitambi kiheshimiwe na watu wote. Kitambi hakiumi Kitambi si mzigo
  5. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wanaosumbuliwa na matatizo mbalimbali

    Nikisema matatizo mbalimbali Namanisha matatizo kama ya kiafya, magonjwa ambayo umezunguka hospital zote madaktari hawaoni tatizo, sijui UKIMWI, magonjwa ya kansa, magonjwa ya hatari hatari, mengine ya Siri, pia mambo ya kiroho, kusumbuliwa na vitu vya ajabu ajabu, familia inapitia ama...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Sisi Wakurya tunasema 'Utajiri wa Heche , ni Biashara zake mbalimbali ikiwemo Madini. LEMA na Genge lako mnajisumbua

    Tunaomjua HECHE, tunasema,Pesa za HECHE ni za Haki na Halali.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi sehemu mbalimbali na connection ya kazi

    Habari, naomba nianze kwa kuomba radhi kwa usumbufu. Ningependa kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye uhusiano wa kikazi au mtandao unaoweza kunisaidia. Naomba msaada wenu, wakuu. Nina miaka 23, na nina elimu ya chuo kikuu
  8. Red black

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Picha mbalimbali za Ndege wanaopatikana ulimwengu

    I real love birds
  9. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Picha za machawa mbalimbali wa mama

  10. L

    JamiiForums Tanzania Marekani Yakunjua Makucha Yake.Yawawekea Vikwazo Vikali Maafisa Mbalimbali Wa ICC . Yaapa Kupambana Na Mahakama Hiyo Hadi Kieleweke.

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema kuwa Kama Nchi na kama Taifa tunapaswa kujitoa kwenye Mahakama hiyo ambayo kwa sasa imepoteza mwelekeo,kukumbwa na kashifa mbalimbali ambazo zinaondoa sifa kwa Maafisa wake wa kuendelea kuaminika mbele ya Macho na jicho la kisheria katika kutoa Haki. Ni...
  11. E

    JamiiForums Tanzania EPL isharudi Msimu 202627, JamiiForums Fantasy League imerejea. Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali

    Habari za siku nyingi , EPL isharudi Msimu 202627 , JamiiForums Fantasy League imerejea . Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali zilizopo nchini . JamiiForums Fantasy League bado ni just for fun na kukujengea uwezo wa kushinda kwenye ligi mbalimbali na...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Project mbalimbali za kuibomoa CHADEMA zimefanikiwa kiasi gani?

    Mkakati au "project" mbalimbali za kisiasa zenye lengo la kuibomoa, kuidhoofisha au kuigawa CHADEMA zimefeli kwa kiasi kikubwa, kwani chama hicho bado kimesimama imara kama nguzo kuu ya upinzani hapa Tanganyika. Hata hivyo, mikakati hiyo imefanikiwa kwa kiasi kidogo kuongeza presha ya kisheria...
  13. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mitaa kwenye mikoa mbalimbali inayoongoza kwa kuwa na walevi wengi wa pombe

    Kimara- DSM Uyole-Mbeya Ccm-Iringa mjini Kiboriloni-Moshi Himo-Moshi Nyegezi-Mwanza Manzese-DSM Tegeta-,Dsm Tabata-DSm Kwa mrombo-Arusha Matejoo-Arusha Majengo-Moshi Sanawari-Arusha Mabibo-Dsm Buguruni-DSm Mbagara-Dsm Mwananyamala-DSm Sinza-Dsm Mbezi Magufuli-Dsm Kigogo-Dsm
  14. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutupia picha mbalimbali na video za Rais wa Tanzania ajaye, Tundu Antipas Lissu ili kumtia moyo kwenye kupambania katiba, utu na haki

  15. L

    JamiiForums Tanzania Venezuela yajiondoa Rasmi ICC. Ni muda muafaka kwa Tanzania nayo kujiondoa kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo na kukumbwa na kashfa mbalimbali

    Ndugu zangu Watanzania, Nchi ya Venezuela Imejiondoa Rasmi kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ya ICC. Mahakama Ambayo Imeendelea kukimbiwa na wanachama mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia kila Uchao. Kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo,kupoteza imani na...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Anadhalilisha “wasomi” wenzie; ndiyo maana ile ya PhD ya Urusi iligoma kukaa kichwani

    Haya ndiyo madhara ya Elimu mbalimbali; Mtu level za akina Bashite na Baba Levo lakini kutwa kuchwa kujikuta kukimbilia tu PhD pasipo kujua uzito wa hadhi hiyo kitaaluma. 🚮🚮🚮
  17. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira, Vyuo, Mikopo na Nyaraka Mbalimbali

    MIMI NITAKUSAIDIA KWENYE MAMBO YAFUATAYO MUDA WOWOTE MIMI NI MTAALAMU NINA UZOEFU WA MIAKA MINGI NITAKUSAIDIA KATIKA MAMBO YAFUATAYO UKIWA POPOTE 🔓 𝙺𝚄𝙵𝚄𝙽𝙶𝚄𝙰 𝙰𝙲𝙲𝙾𝚄𝙽𝚃 𝚈𝙰 𝙰𝙹𝙸𝚁𝙰 𝙿𝙾𝚁𝚃𝙰𝙻 & 𝚄𝚂𝙷𝙰𝚄𝚁𝙸 𝙺𝚄𝙷𝚄𝚂𝚄 𝙰𝙹𝙸𝚁𝙰 𝙿𝙾𝚁𝚃𝙰𝙻 💫Maombi ya Vyuo ( Degree,Diploma & certificate) 💫Kuomba Mkopo wa Elimu ya Juu...
  18. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 JF nimeona , nimejifunza mengi sana. Miaka yenye Sura na Kurasa mbalimbali

    Nimekuwa JF toka 2016. Nimekutana na mambo mengi. Nimewahi pigika vibaya sana na nikaja pata rafiki ambaye hatukuwahi onana ila tumebaki marafiki. Nimewahi chukiwa na watu na kutukanwa nao na mpaka sasa mmoja ni rafiki yangu sana. Alikuja nifahamu akaomba radhi na maisha yakaendelea Humu kuna...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania ELIMU Mbalimbali ndio inafanya Uanaharakati uonekane ni Ugaidi

    Ni lazima kwanza uwe na ELIMU Mbalimbali ndio ikupe ujasiri wa kuwaona Wanaharakati kama Magaidi.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Al-Azhar University imeshika nafasi 10 bora Afrika

    Vyuo vikuu barani Afrika vinazidi kutambulika katika jukwaa la kimataifa, kwa kuchochewa na matokeo yenye nguvu ya utafiti, ushirikiano wa kimataifa, na ushawishi unaokua wa kitaaluma. Kulingana na Mtandao wa Business Insider Africa, huku serikali kote barani zikijitahidi kujenga uchumi...
Back
Top Bottom