kugombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama ishu ni vurungu za Oktoba 29, tume ya Jaji Chande ilisha msafisha Lissu. Wahusika wakuu ni CCM waliokatwa na waliopinga Samia kugombea.

    Kwamba kauli ya no reform no election ndio ilisababisha vurugu sio kweli. Au kauli ya Lissu kuwa tutakinukisha? Wananchi waliingia barabarani wakipinga ufisadi, utekaji na kukataa uovu waa CCM mtandao. Hakuna mahala walitamka kuwa Lissu ndio amaewachochea kwa kauli zake.
  2. Ponjoro namba moja

    JamiiForums Tanzania Kwanini, nauliza kwanini wahindi hawapewi nafasi kugombea Urais?

    Bana sikiliza. Nchi hii haina ubaguzi wa rangi, dini au ukabila! Ssa wana JF hebu kumpa mimi rejesho , kwa nini sisi wahindi hapana kumpa nafasi gombea urais nchi hii? Ze Ponjoro
  3. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Kikatiba, uhaini haumnyimi mtu sifa za kugombea urais wa nchi

    Kama atakutwa na hatia ya uhaini na kupewa msamaha wa Rais atakuwa na sifa za kugombea udiwani, ubunge, urais na cheo kingine chochote. Kama lengo ni kumzuia kugombea urais tumnyonge au tumwache aozee jela. Nimesoma Katiba ya JMT hasa ibara ya 39 inayoeleza sifa za urais. Mambo yanayoweza...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haikumpendekeza Migiro kugombea ukatibu mkuu wa UN

    Alhamisi wiki hii kikao cha mchujo wa kumpata katibu mkuu mpya wa UN, kuchukua nafasi ya Antonio Guterez, kinaanza kufanyika. Katika mchujo huo Afrika inawagombea wawili baada ya Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje wa Uganda, Olara Otunu ( 75) kupendekezwa na nchi yake. Mwingine ni aliyewahi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchange: Mnyika aliacha kugombea Ubungo mwaka 2015 kwasababu hakukubaliana na ujio wa Lowassa CHADEMA

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mwanaharakati wa kisiasa, Habibu Mchange, amedai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, aliamua kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa CHADEMA kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka ulifanya kosa kubwa sana kugombea ubunge kupitia Act wazalendo huku ukijua ni chama kisichofaa

    Nakushauri kwa madini uliyonayo utubu dhambi zako na ufanye uchaguzi sahihi. Mtu alie makini hawezi kukaa kwenye chama kama Act Wazalendo. Unajenga hoja za msingi lakini watu wanakudharau sababu ya kuwa upo na kibaraka wa CCM mwenye makunyanzi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kugombea urais 2030: Wananchi tunataka tuwajue

    Hivi karibuni kumejitokeza maneno eti Kuna watu wameshaanza kampeni za chini chini kutaka kumrithi Rais aluyepo. Ombi Letu ni Moja tu, kama Kuna mtu anawajua watu hao basi tuwataje hapa tuwajue.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: USA inaweza ”kuzichapa" Russia na China ikizuka vita kugombea Venezuela?

    China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia. Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi! Denmark anaimudu maana anataka kuinyakua Greenland for security reasons!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Guinea-Bissau yapitisha katiba inayomzuia Rais wa mpito kugombea uchaguzi

    Utawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau, umepitisha Katiba ya mpito ya miezi 12 ambayo inawazuia Rais wa mpito na Waziri Mkuu kugombea katika uchaguzi ujao, wiki mbili baada ya maafisa wa Jeshi kufanya Mapinduzi ambayo yaliisimamisha Katiba. Kwa mujibu wa Shirika la habari la Reuters, hati hiyo...
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mapenzi ninayoyaona kwa watu katika msiba wa Raila Omolo Odinga, mara zote 5 za kugombea urais alishinda

    Mapenzi haya sijawahi ona katika maisha yangu! Huyu alipendwa na 99% ya wakenya. Mungu nipe uhai nione maziko ya hawa wetu!
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Samia anatuchanganya. Kaamua tena kugombea na Ubunge?

    Aiseee... Nadhani anafikiria sana kuwa yeye ni Mbunge na hilo ndo angalau anaona ni saizi yake.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wasema wangeandamana na kugoma kabisa Kushiriki Uchaguzi kama CCM isingempitisha Rais Samia Kugombea Urais.

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM isingempitisha Rais Samia kugombea Urais Mwaka huu. Wanasema kwa kuwa Ni Rais Samia pekee ndiye...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Khamis Mgeja ashauri hukumu ya Malisa aliyofungua kupinga Rais Samia kugombea iwe fundisho kwa CCM

    SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kuifuta kesi ya Kikatiba ya Kupinga uteuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais Oktoba 29 2025, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kutaka kesi hiyo iwe fundisho kwa wana CCM wengine. Kada huyo wa CCM, Khamis Mgeja...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwalunenge achukua fomu kugombea ubunge Mbeya Mjini

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi Patrick Mwalunenge Amechukua rasmi fomu ya Kuomba kuteuliwa na tume huru ya Taifa Ya uchaguzi kugombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm Mwalunenge Amechukua fomu hiyo siku chache baada ya kuteuliwa na Chama chake kukiwakilisha katika...
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Bilionea aliyepitishwa kugombea Singida Kaskazini

    Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania. Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika. SASA WEWE UNAYESEMA WANANCHI HAWATUKUBALI, UNABISHA ULIKUWEPO?
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEC apitishwa na CCM kugombea Ubunge

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la Butiama. Soma pia GE2025 - Aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi kipindi cha...
  17. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania CCM: tulioshindwa maoni na tusioteuliwa kugombea ubunge, wawakilishi na udiwani

  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Luhaga Mpina hana sifa kikatiba na kikanuni kugombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani 1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4): "Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CCM watamwandama Mpina kuhakikisha anazuiwa kugombea ili mgombea wao asipate mpinzani yeyote

    Derby ya Samia na mpina haiwezi kutokea kwa sababu ni derby ngumu Mpina hata asiposhinda lakini atawahenyesha sana kwa kuwaeleza wapiga kura fact ngumu ambazo mpinzani mwingine kwa waliopo Sasa hawezi ! Mpina huwezi kumhonga Wala kumzuia kuongea lolote !! Samia na timu yake sasa wanaweza...
  20. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tujiandae kisaikolojia kusikia Mpina ameondolewa na Tume kugombea urais

    Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali. Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed...
Back
Top Bottom