Tetesi: Mwinyi kugombea Urais wa JMT mwaka 2025 makamu wake kuwa Dkt. Titus Mlengeya Kamani

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,398
3,907
Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa kutangulia mbele za haki

Isingewezekana Samia kuendelea kuwa Rais wa JMT Kwa sababu yeye ni miongoni mwa wanaodhaniwa kuwa kwenye kundi linalobeba watu fulani hivyo basi akiendelea kutawala Kuna mgawanyiko mkubwa Sana utatokea kwenye chama na nchi ambao utakuja kukipasua chama na nchi vipande vipande

kwa nini Mwinyi?
Mwinyi aliandaliwa mapema sna kulingna na kariba yake ya kutokuwa na kundi kwa sababu yeye ni mtu makini anayetenda haki na anaaminika Sana na ni mtulivu wa kiwango cha Hali ya juu hivyo basi Rais mwinyi atakuwa kiunganishi mkubwa wa nchi, chama na serikali.
 
Samia ameshachoka kuongoza nchi, kwa sasa nchi inajiendea tu kama vile haina kiongozi wa serikali, mawaziri wanashindana kujitengenezea utajiri jwa kutupiga kwenye miradi feki mbalimbali wanayobuni na hayupo wa kuwaadhibu.

- Nina wasiwasi na hiyo nafasi ya VP kama haitakwenda kwa mwanamke safari hii, maana siku hizi wanajidai wameamka sana.

Calibre ya mtu kama Mwinyi utaona kabisa hawahitaji chawa, kwa uwepo wake chawa wote watapotea automatically, uwepo wa chawa unachangiwa zaidi na uvivu wa kiongozi husika kwenye kutekeleza majukumu yake, hivyo anawaachia wajinga wamjibie badala yeye ndie atoe majibu, matokeo yake mambo ndio yanazidi kwenda hovyo.
 
Watanzania tunataka Rais mwenye uwezo wa kuikwamua nchi yetu kiuchumi. Rais mwenye uwezo wa kama au zaidi ya Rais Mkapa atatufaa sana. Mwinyi hana uwezo huo.... Na hatutaki urais wa familia
 
Samia ameshachoka kuongoza nchi, kwa sasa nchi inajiendea tu kama vile haina kiongozi wa serikali, mawaziri wanashindana kujitengenezea utajiri jwa kutupiga kwenye miradi feki mbalimbali wanayobuni na hayupo wa kuwaadhibu.

- Nina wasiwasi na hiyo nafasi ya VP kama haitakwenda kwa mwanamke safari hii, maana siku hizi wanajidai wameamka sana.

Calibre ya mtu kama Mwinyi utaona kabisa hawahitaji chawa, kwa uwepo wake chawa wote watapotea automatically, uwepo wa chawa unachangiwa zaidi na uvivu wa kiongozi husika kwenye kutekeleza majukumu yake, hivyo anawaachia wajinga wamjibie badala yeye ndie atoe majibu, matokeo yake mambo ndio yanazidi kwenda hovyo.
Sasa wewe unataka kina Lucas mwashambwa, Dotto magari na Mwijaku wakale wapi?
 
Kwa mambo anayo fanya kule Zanzibar, una taka azamishe meli kabisa ??

Kwanza Mwinyi mwenywe kule anayendesha nchi ni si mkewe , yule mwanamke hua hajifich anaonesha waz uchu wa madaraka richa ya mmewe kua na wadhifa mkubwa, yupo kama mke wa K, wamejawa tamaa ya pesa za masikini ili kuvimbisha matumbo yao na watoto wao, ndo itakua marayangu ya kumpigia kura yeyote mpinzani hata awe mwijaku kuliko hao watu
 
Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa kutangulia mbele za haki

Isingewezekana Samia kuendelea kuwa Rais wa JMT Kwa sababu yeye ni miongoni mwa wanaodhaniwa kuwa kwenye kundi linalobeba watu fulani hivyo basi akiendelea kutawala Kuna mgawanyiko mkubwa Sana utatokea kwenye chama na nchi ambao utakuja kukipasua chama na nchi vipande vipande

kwa nini mwinyi?
Mwinyi aliandaliwa mapema sna kulingna na kariba yake ya kutokuwa na kundi kwa sababu yeye ni mtu makini anayetenda haki na anaaminika Sana na ni mtulivu wa kiwango cha Hali ya juu hivyo basi Rais mwinyi atakuwa kiunganishi mkubwa wa nchi, chama na serikali.
Hii Tanganyika mme ifanye ya kisultani.
Kwamba ya kurithishana?
 
Back
Top Bottom