Makamu wa Rais: Zanzibar hakuna Amani, kuna Ukimya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,247
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar , Othman Masoud , ambaye pia aliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar , amenukuliwa akieleza kwamba , kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu .

ZANZIBAR HAKUNA AMANI, KUNA UKIMYA

"Kilichopo sasa Zanzibar ni kimya; na si amani; kwa sababu kila mtu ana wasiwasi—na mtu anapokuwa na wasiwasi ukisema ana amani sio kweli."

Screenshot_2024-03-12-00-06-39-1.png
Screenshot_2024-03-12-00-07-18-1.png
 
Wazanzibar kwa sasa wametulia, Zanzibar hakuna njaa njaa za kijinga kama zamani, mikopo waziwazi, sasa kwanini tusitulie yarab!, zinginezo hizo chokochoko ati.
Muwashukur walipa kodi wa bara, mmekua kama ndege wao wanakula bure tu au kwa kujipitisha kt majalala ya huku bara na kuchukua kilichobaki.

Haturuhusiwi kuwa na Ardhi zbar ila nyie mpaka ifakara mna mashamba kabisq na haswa mkiwa huru kufanya shughuli zenu, kigambon karibia itaitwa pemba.

Deni la umeme mlifutiwa at the expense ya wabara, tukilipa kodi mnakinga kopo mnapewa, mmama anavuna bara na kuleta huko zbar mle vya bure.

Kifupi hacheni mbwembwe nyie wabaguzi kinga kopo.

Ila mwisho kwa sasa huku bara tunapata hata malaya wa kizanzibar mpaka malaya wa kipemba na hawana wateja, so wameshusha bei mpaka 500
 
Huyo ni mchochezi tu, amani zanzibar ipo tele, na inapiga hatua kubwa kimaendeleo, hapo awali maendeleo ya Zanzibar yapokuwa yakisuasua kweli palikuwa na tafrani.
Sema naye alipewa huo.umakamu basi tu kichwa chake sio kizuri sana
Hata alipokuwa mwana sheria mkuu wa serikali alikuwa hajielewi kama yuko serikalini au ni mtu huru tu kama wa mtaani anayeweza bishia hata serikali

Hapo alipo hata hajielewi kama ni kiongozi wa serikali sio.kiongozi wa chama cha siasa
Haelewi kabisa yupo hapo kama kiongozi wa serikali. Zanzibar hakuna makamu wa Raisi hapo poleni.
 
Hapo unaongelea maslahinya ccm ila kama unazungumzia Maslahi ya Nchi na Zanzibat utaungana naye.
 
Ukweli usemwe tu. Mwinyi anafanya kazi nzuri sana Zanzibar. Ukiondoa mzee Karume Mwinyi anafatia. Mwinyi anaeijenga hasa Zanzibar huo ndio ukweli. ACT wakiwa hawajajipanga Zanzibar 2025 itaambulia 20%
Kazi anajitahidi ila kusema Anaweza kushinda Kwa Haki hilo ni Uongo.

Zanzibar ni ya wapinzani hata Yeye anajua
 
Muwashukur walipa kodi wa bara, mmekua kama ndege wao wanakula bure tu au kwa kujipitisha kt majalala ya huku bara na kuchukua kilichobaki.

Haturuhusiwi kuwa na Ardhi zbar ila nyie mpaka ifakara mna mashamba kabisq na haswa mkiwa huru kufanya shughuli zenu, kigambon karibia itaitwa pemba.

Deni la umeme mlifutiwa at the expense ya wabara, tukilipa kodi mnakinga kopo mnapewa, mmama anavuna bara na kuleta huko zbar mle vya bure.

Kifupi hacheni mbwembwe nyie wabaguzi kinga kopo.

Ila mwisho kwa sasa huku bara tunapata hata malaya wa kizanzibar mpaka malaya wa kipemba na hawana wateja, so wameshusha bei mpaka 500
Mkuu;

Unakosea, unachosema sio kweli. Kwa sababu Zanzibar wanachopata haki yao kwa mujibu wa makubaliano ya muungano!

Kama chao wanakitumia vizuri kwa maendeleo yao, hamna shida! Wewe omba au dai mgao wa Tanganyika!

Maana mgao wa Tanzania ni wa pande zote!
 
Back
Top Bottom