kagera

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbors Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometer.On September 10th 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on April 11, 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Karagwe: Watu wengi hawajaweza kuunganishiwa umeme kutokana na gharama ya kununua nguzo

    Ukitaka kuunganishiwa umeme, unatakiwa kununua nguzo kwa gharama ya Shilingi 300,000 kwa kila nguzo. Ikiwa utahitaji nguzo zaidi, utalazimika kulipia kila nguzo kulingana na mahitaji. Gharama ya kuunganishiwa umeme ni Shilingi 150,000. Kwa hiyo, kwa kiasi kikubwa, watu wengi hawajaweza...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Hati nne zatolewa katika Mafunzo ya Mfumo wa e-ardhi Kagera

    Tukielekea ukingoni mwa mafunzo ya mfumo mpya wa Ardhi kidijiti mkoani Kagera, wataalamu wa sekta ya ardhi wameanza kuonesha matokeo ya ujuzi walioupata kwa vitendo, ambapo hadi sasa hati nne za umiliki wa ardhi zimetolewa kupitia mfumo huo na wananchi husika wametaarifiwa kuzifata hati hizo...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ardhi Kagera watoa elimu ya mfumo wa e-Ardhi kupitia redio

    Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Kagera, Bi. Florida Busheni, akiwa ameambatana na wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, mapema leo tarehe 18 Septemba 2026 ametoa elimu kwa wananchi kupitia Redio Vision iliyopo Bukoba, mkoani Kagera, kuhusu ujio wa mfumo mpya wa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Mwigulu Nchemba: Maveterani wa Vita ya Kagera wataanza kulipwa mwaka huu wa fedha

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978. Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka Mara kadhaa Wadau mbalimbali wamekuwa wakihoji kuhusu malipo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kagera: Mkataba wa mabilioni ulisainiwa kujenga kingo za Mto Kanoni, lakini hakuna kinachoendelea

    Julai 2025 ulisainiwa Mkataba wa ujenzi wa kingo za Mto Kanoni, ulioko katika Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera na kukabidhiwa kwa mkandarasi wa kigeni, Kampuni ya Shandon Luqiao Group Company Limited, inayofahamika kama Shandong, kwa gharama ya Shilingi bilioni 21.3. Mradi huo ni sehemu ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa Shule ya Msingi Rugu, Wilaya ya Karagwe - Mkoa wa Kagera

    Kuna ubovu wa miundombinu ya Shule ya Msingi Rugu iliyopo Kata ya Rugu, Tarafa Nyaishozi, Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera, hii shule ni kongwe ila uchakavu wa miundombinu unatisha sana. Tunaomba uongozi uliangalie kwa jicho pana na waweze kuikarabati naona tangia inchi ipate...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kagera: Familia yadai kijana wao kupigwa na Polisi, na kulazwa Bugando hospital Mwanza

    Familia ya Frank Stanley, mkazi wa Rwamishenye Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, imelalamikia tukio la mwanao kudaiwa kupigwa akiwa mikononi mwa Polisi na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando jijini Mwanza. Familia hiyo inasema ilipata wakati mgumu kumpata kijana wao tangu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Gari la kusafisha pikipiki kutoka Dodoma Hadi Ngara Kagera.

    Nahitaji usafiri wa gar kwa ajili ya kusafirisha pikipiki kutoka Dodoma kwenda Ngara - Kagera.
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Msije shangaa mkaambiwa vita vya kagera walikuwa ni wa znz ndio walipigana na washaweka vipindi.

    Sina ya kuongea mengi ila maandalizi yameanza na mtaambiwa kuwa znz ndio walikuwa wanampigania samia kipindi cha uganda kipindi cha mwalimu vita ya kagera. Watawekwa wanawake wengi wengi kwenye vipindi kama script inavyotaka. Hii miujiza nimevujisha na teyari watu wa pesa ndogo ambao...
  10. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ukimwi ulianzia mkoa wa kagera?

    Tusaidiane wajuzi na wanahistoria kagera ndio ilikuww mkoa wa kwanza kuleta maambukizi ya ukimwi tanzania
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Maveterani vita vya Kagera hawajalipwa hadi leo, Je ahadi ya Serikali ilikuwa ni siasa ya maneno matupu?

    Akizungumza Bungeni leo Mei 19, 2026, Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amezua mjadala kuhusu kucheleweshwa kwa malipo ya posho kwa Maveterani wa Vita vya Kagera "Mimi jimboni kwangu, wazee hawa wapo. Wengi wao, umri wao ni baina ya miaka 70 mpaka 90. Vikongwe. Lakini taarifa nilizonazo...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kagera Kuingia Gridi ya Taifa: Umeme wa Uhakika

    📍Ngara, Kagera ▪️Serikali yaanza utekelezaji wa mradi wa umeme kuunganisha Mkoa wa Kagera kwenye Gridi ya Taifa ▪️Waziri Ndejembi aweka jiwe la msingi la njia ya kusafirisha umeme Kyaka - Benaco Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa njia ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wakulima wa Miwa, Wilbroad Cyprian asema “Mazungumzo yanaendelea na Kagera Sugar kuhusu malipo ya Wakulima wa Miwa

    Suala la Wakulima wa Miwa kutolipwa stahiki zao kutoka Kampuni ya Kagera Sugar, ambapo ilielezwa kuwa walitakiwa kulipwa tangu Desemba 2025, mmoja wa wadau wa karibu wa Wakulima wa Miwa ameelezea kinachoendelea. Hoja ya Mdau ~ Kiwanda cha Kagera Sugar kilipe madeni ya Wakulima wa Miwa, wana...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RUWASA: Kata ya Nyaishozi na Kitongoji cha Akajiji (Kagera) wanapata maji, pampu ilikatika, imerekebishwa

    Kaimu Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Wilaya ya Karagwe, Eng. Justo Mtabuzi amesema Kata ya Nyaishozi ina Vijiji vitatu ambavyo ni Nyaishozi, Lukale na Nyakayanja, miradi hii ipo chini ya Chombo cha Utoaji Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii kiitwacho LUNYANYABIRWA...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera

    Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera awe Chakula Cha Mamba. Miaka hiyo tunaimba hizo. Tuliamini mtu mbaya ni Nduli Idd Amin Dada tu. Kumbe Nduli Idd Amin Mama Kashata naye roho mbaya muuaji. Chakula Cha Mamba (CCM) HAWAFAI KABISA KUSIKITIKIWA. HAO SI BINADAMU NI WANYAMA WA KUPEWA...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kagera: Serikali iingilie kati, Wanafunzi wa Rubafu Secondary School wanapewa adhabu kali sana

    Kuna shule mpya ya Serikali Mkoani Kagera, Halmashauri ya Bukoba Vijijini inaitwa Rubafu Secondary School ipo Kata Rubafu. Ilifunguliwa ili kuwapunguzia mwendo Wanafunzi wanaotokea Vijiji vya Kyamalange na Rubafu ambao walikuwa wanatembea mwendo mrefu kwenda Katale Secondary School. Mkuu wa...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Upuuzi wa Khamenei Lakin baada ya vita ya Kagera alitukopesha mataifa yote yakiwa yametutenga! Ila bado alikuwa mwema kipindi hicho

    Israel na Iran si Maadui Bali Tatizo viongozi Tena Israeli halisi inapaswa kuwashukuru na kuwaenzi Wairani. Maana zamani hizo za wakati wayahudi wanatawaliwa na babeli (Iraq), mfalme wa Persia/Iran kwa Jina la Cyrus alivamia na kuwatwanga wababeli/Iraq na kuwashinda. Wakati huo Babeli ilikuwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuzorota kwa huduma za Tiba na Matunzo kwa WAVIU mkoa kwa Kagera kuanzia January 2026

    Habari, Ninaishi na VVU na ninatumia ARV tangu 8 February 2015 katika Kituo cha Afya Katoro Bukoba vijijini. Kwa taaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini. Kuanzia mwezi wa pili mwaka 2026, sisi WAVIU tumeanza kupata shida ya kuzorota kwa huduma. Kwa mfano...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kagera: Operesheni ya Daka Fursa na Samia (VIDAFUSA) imeanza kwa kishindo

    Operesheni maalum inayoendeshwa na UVCCM mkoa wa Kagera, iliyopewa jina la Vijana Daka Fursa na Samia [VIDAFUSA] imeanza kwa kishindo katika wilaya ya Kyerwa jana tarehe 20 Februari 2026 kwa kupitia makundi ya vijana walionufaika na mikopo ya halmashauri ya 10% kwa kusikiliza mafanikio na...
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa Jeshini kwa Meja Jenerali Gaguti awe balozi na pia kuondolewa kwa RC wa Kagera Hajjat Fatma ni maandalizi ya kustaafu au ni mambo mengine?

    Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi. Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa). Meja...
Back
Top Bottom