Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Wananchi kutambua kuwa hatua ya maridhiano iliyofanyika visiwani humo siyo mwisho wa safari bali ndiyo mwanzo wa kufanya kazi katika kujenga nchi.
Akizungumza leo Septemba 22, 2026 visiwani Zanzibar wakati...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa vijana kupata elimu, ujuzi, ajira na fursa za kujiajiri ili kutumia uwezo na vipaji vyao katika kuchangia maendeleo na ukuaji wa uchumi wa Zanzibar.
Rais...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Serbia kuongeza uwekezaji nchini Tanzania, akisisitiza kuwa wakati umefika kwa urafiki wa muda mrefu wa zaidi ya miongo sita kati ya Tanzania na Serbia kutafsiriwa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasili leo, tarehe 30 Agosti 2026, jijini Belgrade, Jamhuri ya Serbia, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano Maalum wa Ngazi ya Juu wa Kumbukumbu...
DKT. MWINYI AIPONGEZA UVCCM KWA KUIPA CCM USHINDI MKUBWA UCHAGUZI MKUU 2025
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kazi kubwa na ya...
DKT. MWINYI: SMZ KUJENGA NYUMBA 5,000 ZA MAKAZI UNGUJA NA PEMBA NDANI YA MIAKA MITANO
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inakusudia kujenga nyumba 5,000 za makaazi kwa wananchi wa Unguja na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua tena Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR.
Uteuzi huo unaanza tarehe 06 Novemba, 2025.
Mheshimiwa Makamu wa Pili wa Rais ataapishwa...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema huduma za Water Taxi zimeanza rasmi visiwani Zanzibar, ikiwa ni hatua ya kuboresha usafiri wa baharini, kuvutia watalii na kuongeza ajira kwa wananchi.
Akizungumza alipowasili katika Bustani ya...
Mgombea Ubunge Jimbo la Donge Zanzibar kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Sadifa Juma Hamisi akizungumza na wananchi kwenye Kampeni inayofanyika Septemba 18, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar, amesema kuwa Wagombea Urais Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussein Mwinyi wanafaa kuendelea...
Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ameir, ambaye pia ni mgombea Ubunge Makunduchi, amesema, "Tumeshuhudia ongezeko la ajira kwa vijana katika sekta tofauti, hasa kwenye sekta ya uchumi wa bluu. Pia, tumeshuhudia mapinduzi ya uchumi wa watu, hasa kwa mtu mmoja mmoja."
Wanachama 453 wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Septemba 15, 2025 wakibainisha kuvutiwa na uongozi wa mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Mwakilishi wa wanachama hao Faki Ali Juma amesema wameamua kujiunga na CCM...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib amesema Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amefanya mambo kubwa hivyo anafaa kuendelee kuiongoza Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefungua rasmi Soko na Kituo cha Mabasi cha Kisasa Chuini, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Katika hotuba yake, Rais Dkt. Mwinyi ameagiza kuimarishwa kwa usafi, kuzuia biashara nje ya maeneo...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa mkono wa Eid El Fitr kwa Wananchi wenye mahitaji Maalum wakiwemo Yatima, Wajane, Wazee na watu wenye ulemavu katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar, tarehe 31 Machi 2025.
Aidha, Rais Dkt.Mwinyi baada ya kutoka...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Benki ya Dunia kwa Msaada wa kiasi cha Dola Milioni 100 kwa ajili kuimarisha Miundombinu ya Sekta ya Afya hapa nchini.
Rais Dkt.Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza na Mkurugenzi Muendeshaji wa Benki hiyo...
"Napenda nichukue fursa hii kutoa wito kwa ndugu zetu nyote mliopo hapa, wananchi wote, wanaCCM, wapenzi, wakereketwa kuna jambo moja bado hatujalifanya vizuri nalo ni kujitokeza kwenda kuga kura siku yenyewe ya uchaguzi, tumefanya uandikishaji haitoshi sasa tuna kazi ya kwenda kuwatoa watu...
"Tumekuja mbele yenu kutoa shukrani kwa wajumbe wa mkutano mkuu kwa uamuzi ule ambao ulikuwa ni wa busara sana, sasa wapo wa vyama vingine ambao kwakweli wao hayawahusu wanaingilia utaratibu wa chama cha mapinduzi, tunasema haya hayawahusu wanaCCM waliamua kwa makusudi na walikuwa na sababu za...
Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya mapokezi na utambulisho wa mgombea pekee wa urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, yatakayofanyika Februari 15, 2025, visiwani Pemba.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
Wakuu
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kikiongozwa na Mwenyekiti wake Comrade Oddo Mwisho kimefanya Maandamano ya amani yenye lengo la Kupongeza na kuunga mkono Azimio la mkutano mkuu Maalum wa CCM Taifa ambalo liliwachagua na kuwapitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa Jamhuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.