Kiti Karaka Riwai (12 September 1870 – 21 January 1927) (also known as Kiti Karaka, Catherine Clark, Kate Clark, Kitty Clark, Kiti Karaka Te Ao Ahitana, or Kiti Ashton) was a New Zealand tribal leader. She was born in Ruapuke Island, Southland, New Zealand in 1870, to parents Arapetere Karaka (Albert Clark) and Mary (née Owen).Of Māori and Moriori descent, she identified with the Kāti Māmoe iwi. Her first husband was Riwai Te Ropiha, a Moriori of the Chatham Islands, with whom she had nine children before divorcing in the early 1900s. Her second husband was Te Ao Ahitana Matenga (Joseph Ashton) of Ngāti Kahungunu, with whom she had one child, Joey Ashton.She helped build the meeting house in Wairua in the 1890s. She died in Greytown in 1927.
Tanzania imetangaza azma ya kuwania nafasi ya uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha 2029–2030.
Akizungumza wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mjadala wa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la...
Ndugu zangu Watanzania,
Hata Hayati Baba Wa Taifa Amewahi kusema na kuandika katika kitabu chake cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania cha Mwaka 1994 ya kuwa Ukimtikisa Rais Wa Nchi unakuwa Umeitikisa Nchi yaani Huwezi kumtikisa Rais wa Nchi na Nchi ikabakia Salama.
Unaweza kumtikisa...
Fursa zinapotokea ni kuzichangamkia haya sasa tafuteni wagombea mapema ila kaeni mkijua kuwa.👇🏼👇🏼
CCM NDO TANZANIA YENYEWE
CCM NDO MLEZI WA AMANI YA TAIFA LETU.
CCM NDO CHAMA PEKEE KINACHOSTAHILI KURA
CCM NDO CHAMA PEKEE ambacho return ya kura zetu tunaiona wazi wazi
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Kamishna wa IEBC Ann Nderitu amesema kuwa kwa sasa hakuna sharti la jumla linalomtaka aspirant kuwa na degree ili kuwania nafasi hizo katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Ufafanuzi huo unatokana na maamuzi ya mahakama yaliyobatilisha baadhi ya vifungu vya Section 22 of the Elections Act vilivyoweka...
Kila akifungua kinywa chake yanatoka maneno ya Shari tupu. Vitisho, kejeli, malalamiko, manung'uniko nk. Hakuna tena neno la faraja kutoka kinywani mwake.
Hivi ni dalili kuwa hana amani moyoni au ni tatizo la kisaikolojia?
“KAFITI HATOSHI ILEMELA?”KAULI YA RC MWANZA KWA KAFITI “KUKALIA KITI NUNUSU”.
Siku chache zilizopita Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, alitoa kauli yenye mashaka na utata ndani yake kuhusu Mbunge wa Ilemela Kafiti William.
Kauli ya mkuu wa mkoa ilikuwa hivi, nanukuu maneno yake,” wewe sasa...
Bunge la Senegal limemchagua Waziri Mkuu wa zamani, Ousmane Sonko, kuwa Spika mpya. Hatua hii inaweza kumpa jukwaa lenye nguvu kubwa la kutoa upinzani kwa Rais Bassirou Diomaye Faye.
Spika wa zamani wa bunge hilo, El Malick Ndiaye, alijiuzulu Mei 24, 2026 hatua ambayo wachambuzi wa mambo...
Speaking during the funeral of Ann Nyatoro Ndung’u, the mother of the East African Legislative Assembly (EALA) Member of Parliament, Nairobi Senator Edwin Sifuna and the Linda Mwananchi lead, delivered a direct message concerning President Ruto ahead of 2027 poll
"There is no other formula...
Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali
Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi
Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho...
Bila ubishi Kapembe anachukua kiti cha uenyekiti.
Manunga alitumia pesa tu ambazo zilimpa uenyekiti bila ridhaa ya madiwani.
Leo ametimuliwa. Hata uchaguzi ukirudiwa sasa hivi Kapembe anashinda.
Maenye pichanya bungeni ikionesha alipokaa aniwekee hapa.
Najaribu ku imagine alivyokaa huko kajampa nani na kigonga meza!
Same like yule atakavyo kuwa amevaa uniform ya jela ya ICC
Kama habari inavyojieleza, Makonda hakustahili kuwa Waziri kamili, kwanza hana uzoefu wa kutosha bungeni, pili amehudumu unaibu Waziri kwa miezi michache tu. Tatu wizara yenyewe haiendani na itikadi za Makonda
Makonda ni mtu wa shurti na nguvu hasa napotoa matamko yake, wizara ambayo ingemfaa...
Kama yote haya yanatokea kwa ushauri wa wanaomzunguka, basi watu hao wakimshauri abadili katiba, hawezi pinga zaidi ya kukubali hilo wazo na kulifanyia kazi.
Hawawezi kuungana kumpiga kwasababu ya ubinafsi wa kupenda vyeo na uogo uliowatawala .
Kitu pekee kinachoweza kutuokoa, ni labda...
Tuliona tuliyoyaona Zimbabwe ya Mugabe wa ZANU PF na Morgan Tsvangirai wa MDC, tuliyajua pia ya Venuzuela ya Hugo Chavez kabla ya Nicolas Maduro na baada ya Nicolas Maduro-Venezuela: Populism, Petro-State na Mporomoko wa kiuchumi. Huenda tuliona ndivyo sivyo na pengine zilikuwa ni taswira zaidi...
Kiti kina tafsiri nyingi lakini majumuisho yake ni
Ukuu
Utawala
Enzi
Mamlaka
Uongozi
Niliwahi kuleta simulizi hapa ya "KITI HAPIGWI" Nitaweka link yake kwenye reply
Ndani ya familia kuna kiti cha baba(sijawahi kuona kiti cha mama) pengine chake ni kigoda kwakuwa hata kiimani anatambulika kama...
Kuna Mbinyo unabinywa kwa nguvu. Kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia Oktoba 29 mpaka Novembee 4 20205 wakamatwe na kufikishwa The Hague Uholland. Mtuhumiwa wa kwanza anatajwa kuwa Rais Samia na wenzake.
Je , wakikamatwa na ICC nani anatakiwa kukalia kiti cha...
Katika ukumbi huu ndipo kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilikutana kuanzia Januari 26-28 mwaka 1967 mkoani Arusha na kupitisha Azimio la Arusha na kutangazwa rasmi Februari 5, 1967.
Na hiki ndicho kiti alichokalia Mwalimu Nyerere akiwa Mwenyekiti wa kikao hicho na pembeni yake ni kiti cha...
Yule mdunguaji, ambaye anawadungua Kunguru na Makinda yao akiwa kusikojulikana, jana amempopoa 'Tyson' kuwa eti kwenye kazi yake ya kusaidia kubeba kiti, alipigiwa chapuo na mtu mumoja ambaye hata hivyo Mdunguaji hakumtaja kwa jina.
Kama ilivyo ada, tangu mdunguaji aanze kuwapopoa Kunguru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.