Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.
Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
asilimia
hata
hizi
huzuni
ila
katika
kushiriki
kuvumilia
kwenda
marekebisho
maswali
mpya
mwelekeo
nchi
shaka
sifa
suala
teuzi
udini
upendo
usawa
uwakilishi
uwiano
waislam
waislamu
wakristo
wananchi
wengi
wote
zaidi ya
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia Anapendwa na Watanzania,anakubalika na watanzania,anaishi mioyoni Mwa Watanzania,ameiteka mioyo ya watanzania,amegusa Hisia za Watanzania.
Kila unapopita iwe ni mitaaani, Vijiweni,Makanisani ,mastendi,kwenye mikusanyiko mbalimbali inayowakutanisha...
Tanganyika na barani Afrika kwa ujumla, mizozo ya kifamilia pale mhimili wa nyumba anapoaga dunia imekuwa kama jambo la kawaida na la kuzoeleka.
Mara nyingi tunashuhudia ndugu wa damu wakisafisha njia kuelekea mahakamani au hata kurushiana makonde, wakigombania namna ya kugawana mali...
Mmoja ya vijana wayahudi waliokuwa katika camps za mateso alizokuwa amejenga hitler kwa ajili ya kuangamiza kizazi cha kiyahudi aliandika hivi ukutani "KAMA MUNGU YUPO BASI ANATAKIWA KUNIOMBA MSAMAHA"
Wamama wanalia sana katika maombi, wameteswa, vizazi vyao vimeharibika ila watesi wao ndio...
Siyo kwamba nawa-miss ex, hapana, bali kila nikiangalia zile style za picha tulizopiga kwa kipindi kile, aina ya mifumo ya zamani ya maisha iliyokuwa tofauti, huwa nabaki natabasamu tu.
Kuna mda ma ex huwa wananipgia simu na kuniuliza "ivi zile picha bado unazo" nawajibu ndiyo, wakisikia hivyo...
Naulizia ule upendo unaopenda toka moyoni Kwa Nia ya dhati.
Ule upendo ambao hauangalii una Nini au we ni nani au ukoje,unaakuangalia moyo wako.
Unaowaunganisha watu Kwa mioyo Yao na sio walivyo navyo.
Ule upendo ambao hata ukiporomoka Hadi 0 mwenzio bado anakwambia nipo nawe.tutatafuta...
Nianze kusema kwamba kuna wanawake wanajua kupenda na huu sio uongo.
Binti nilipomsogelea na kuzungumza nae akacheka sana kisha ndani ya maongezi yetu ya dakika zisizozidi 10 akanifanyia jambo moja la upendo wa pekee sana.
Wanawake wote wenye upendo wa Agape muishi miaka mingi.
Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana)
Binafsi napenda kuwa the center of attention.
Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
Ikumbukwe mimi si mwana ndoa ila natalajia kuingia huko, natamani pia kufahamu uelewa wenu.
Kwa mtazamo wa uchambuzi, mambo yanayosaidia ndoa kudumu yanaweza kuwa:
1. Uelewa wa maana ya ndoa
Watu wengi huingia kwenye ndoa wakifikiri ni mwisho wa safari ya furaha, lakini kwa kweli ni mwanzo...
Yn 14:23 SUV
[23] Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.
Kila mmoja mpaka kufika umri alionao sasa, amewahi kupenda kitu katika maisha yake, hata kama kwa wengine kinaonekana ni kitu cha kawaida...
Kwa heshima na taadhima, habari zenu wanajukwaa. Please, ukipata muda tembelea hayo maeneo matatu nitakayo orodhesha hapa au pia naweza kukukumbusha humu humu kama utakua huna muda ili kujikumbusha yalio muhimu sana katika maisha yako.
1. Hospitali.
Hapa utaona jinsi mwanadamu alivyo dhaifu...
Mimi ni mmoja wa wafanyakazi wa Taasisi ya KIUMA katika Idara ya Elimu.
Kwa sasa, taasisi imekumbwa na mgogoro wa kiuongozi unaodaiwa kuhusisha wanasiasa na mfadhili wa KIUMA. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vijana wamefutiwa mikataba yao ya ajira, huku wengine wakinyimwa kuongezewa mikataba...
Wakuu, inakuwaje?
Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
Kuna watu wanajitoa kwa asilimia 100, wanatoa muda, upendo, na juhudi zote wakiamini siku moja watathaminiwa. Lakini ukweli ni kwamba si kila anayepokea juhudi zako anazithamini.
Mahusiano mazuri hayahitaji ujipoteze ili ukubalike. Mtu anayekupenda kwa dhati atakuheshimu, atathamini uwepo wako...
Basi bwana inasemekana Upendo kafall in love na mume wa mke mwenye watoto wawili. Wakaenda South Africa, Upendo akanogewa penzi. Bwana akamwambia nipo radhi nikuoe mke wa pili, Upendo akakataa akasema ana mashetani yanapandaga hayataki uke wenza.
Wee, bwana akajitosa akalala kwa Upendo siku...
Unalewaje ukisikia neno KUJIPENDEKEZA?
Neno kujipendekeza mara nyingi lina ladha ya dhihaka Ukisema
Fulani naye anajipendekeza sana mara nyingi unamaanisha mtu anajishusha au anajitahidi kupita kiasi ili apate kukubalika, kupewa nafasi, au kupata kitu fulani
Au apate attention
Lakini kuna...
Habari zenu,
Wengine shikamoon.
Si ujanja,wala usistaduu, kwenye kuishi na watu,bali unyenyekevu kama tunavyofundishwa kwenye nyumba za ibada unaweza kutuweka katika mazingira bora na kuwa na jamii makini.
Kwamfano nimechunguzaaa nimegundua wachamungu wengi Wana heshima kwenye jamii kuliko...
Ndugu zangu Watanzania ,
Kiukweli Rais Samia amejaliwa Moyo wa Huruma na upendo sijapata kuona. Ni Mama Mwenye Kuguswa na shida za watu. Ni Mama na Rais Mwenye Upendo wa Agape . Maisha ya Rais Samia hapa Duniani ni Kwa ajili ya Kugusa watu. Anaishi kwa ajili ya kusaidia watu. Amefanyika Baraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.