Je mmegundua kuna hali ya utulivu majumbani, makazini, vijiweni, mashuleni n.k.
Arsenal ingeshinda hii wikendi, Man city kufungwa kusingekuwa na hii hali.
Tuzidi kuomba hii hali ya utulivu izidi kuwepo kwasababu wengine pia wakishinda leo usiku kesho amani itatoweka na hakutakuwa tena na...