Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa
Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
Historia ya nafasi ya Makamu wa Rais nchini Tanzania imebadilika sana tangu Muungano wa mwaka 1964. Tanzania ilianza ikiwa na Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili, mfumo ambao ulihusisha kwa karibu nafasi ya Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano. Mwaka 1995 mfumo huo ukabadilika...
Mbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe?
Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima?
Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio?
Labda mie na uelewa wangu Duni
Na hata kama atapigiwa kura na bunge na kupitishwa...
Kuna wakati taifa linapofika mahali ambapo siasa inakuwa si tena suala la uwezo, uadilifu na historia ya mtu, bali ni suala la nani yuko karibu na nani na nani anaweza kupewa nafasi gani. Kinachotokea sasa kinapaswa kutufanye tujiulize: Je, tunapima viongozi wetu kwa viwango gani?
Kwa wale...
Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa.
Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya.
Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanayo nafasi ya kihistoria kumuidhinisha Mhe. Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hii ni baada ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kupitisha jina lake tarehe 26 Agosti...
Paul Christian Makonda ni mwanasiasa mashuhuri na mwenye ushawishi mkubwa nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anahudumu kama Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na pia ni Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini. Aliteuliwa katika nafasi hiyo ya uwaziri na Rais Samia Suluhu Hassan mnamo Januari 8...
1. Julius Nyerere
Abeid Karume
Rashidi Kawawa
Aboud Jumbe
Ali Hassan Mwinyi
2. Ali Hassan Mwinyi
Joseph Warioba
John Malecela
Cleopa Msuya
3. Benjamin Mkapa
Omar Ali Juma
Ali Mohamed Shein
4. Jakaya Kikwete
Ali Mohamed Shein
Mohamed Gharib Bilal
5. John Magufuli
Samia Suluhu Hassan...
Cheo cha makamu wa Rais ni cha pili kwa ukubwa nchi hii, si vizuri kumweka kijana anayewaza kuwa Rais kwa maana hakuna tena cheo chini ya hapo.
Ukiangalia Prof. Mark Mwandosya, Dr. Harrison Mwakyembe wanafaa sana, shida arrogance ya wanyakyusa!
Ukienda ukanda wa Rukwa kuna mzee anaitwa Kimathi...
Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani...
PhD ya Uchumi toka University of Gothenburg, Sweden, Mkatoliki mfia dini, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenye maono kwa taifa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima.
Anamuweka
1. Mtu atayeweza kumcontrol
2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030
3. Mkristo hasa awe Mkatoliki
4. Mtanganyika
5. Mwanaume
6. Mkubwa kiumri kuliko yeye
7. Muongeaji sana (Propaganda)
Hii Nafasi ilikuwa ikitumika kama Nafasi ya kumpooza uchungu,mzanzibari yoyote AMBAE atagombea uraisi zanzibari na akakatwa na halimashauri kuu ya ccm baada ya kubaini yakuwa mgombea aliyekatwa alikuwa miongoni mwa wagombea lakini wenye vinasaba vya kutoupenda muungano WA Tanganyika na...
Baada ya Dr Emmanuel Nchimbi kubwaga manyanga (kutema mbungo), Ramli chonganishi zinapigwa sana kutabiri nani atachukua nafasi yake
Pamoja na uharamu wa serikali hii, lakini by all means necessary nafasi ya VP mwingine haramu ni lazima ijazwe..
Hawa hawawezi kuwa na sababu anuwai za kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.