ushamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga aliyemshambulia kocha wa Gaborone Utd akamatwe. Caf waifungie Yanga. Ushamba na upuuzi kama huu ni aibu kwa taifa letu

    Mimi ni shabiki wa Yanga ila sijafurahia kitendo hiki ambacho kwa karne hii ya leo watu wamestarabika. Huwezi kumshambulia mtu kwa ngumi hadharani bila ya kosa lolote mpia umeisha na timu imeshinda. Caf waifuingie Yanga isiendelee na mashindano. Ni upuuzi na upumbavu kuwa na timu zina...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania RC Chacha ameonesha Ushamba na Ufala katika hili.

    Huyu RC kabisa anakaa kuongelea suala la kipuuzi kama hili kwenye kusanyiko la watu? Kutongozwa na mwanamke anaona ni big deal na hadi kushirikisha police? Watu wenye akili wanamtizama na kuona ana utoto na ufala tu. Angeweza mblock huyo mwanamke na maisha yakaendelea. Au angemu ignore tu wala...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua location ya Body Massage ya bei chee aniambie, nataka kutoa ushamba na Ku relax pia

    Sisi wapori Pori huku tunapambana na Jembe la mkono, tumepata mauzo ya mazao yetu. Sasa nataka kurelax kidogo na kutoa ushamba, nasikia huko Dar kuna vyumba vya kufanyiwa maseji ya mwili mzima, Mteja ananufaika kwa kukandwa kandwa viungo, kunyoshwa misuli na kujisikia mwili Una mapumziko na...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Yanga kuokoteza makombo ya Simba ni Ushamba au Upashkuna wa Michezo?

    Klabu ya Yangu 10-8-2026 imemsajili mchezaji wa Simba ambaye hakuna na namba na ameshuka kiwango Sulemani Mwalimu, kwa milioni 150, Nyumba mikocheni na Subaru forester na mshahara wa milioni 15 kwa mwezi kma zilivyopenyezwa za ndani japo hazijadhibitishwa na chanzo huru. Yanga inaonyesha vile...
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Sijui ndio tuwaite washamba au limbukeni wa magari?

    Asubuhi ya leo nimetoka nyumbani Mapinga kuelekea kazini. Kama kawaida nikakunjia Boko Magengeni kuelekea njia ya Mbweni JKT ili nikatokee Ununio hadi Kunduchi kuelekea Mwenge kwa njia ya kuingilia Clouds Media. Nilikuwa na Escudo langu edition ya Singapore, niko kwenye mwendo wangu wa kawaida...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushamba gani huu? Unatongoza mwanamke wa baa kwa kumnunulia Chocolate!

    Huu ni upumbavu Unakuja baa kwa ushamba wako unaagiza Absolute Vodka alafu unatoa chocolate ya 5000 na kumpa muhudumu. Muhudumu ambae kila mtu anamla kirahisi kama vile kula pipi ya kijiti ya watoto wa chekechea ambayo inaliwa na kila mtoto.
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kuna namna unaweza vaa watu wakakudharau, wakakuona una ushamba au utoto mwingi.

    Kuna fashion... Acha zipite. Kuna mitindo au mambo yaache yapite. Ukiwa na umri wa kuanzia 30s na kuendelea unatakiwa ukue kiakili pia na kimtizamo. Uvaaji flani unaweza kufanya watu wakuone haupo serious. Una ushamba mwingi au ulimbukeni. Mtu mzima kabisa unaweza vaa hivi? Ni utoto na ushamba.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Huu utamaduni wa wasanii wa Bongo Flavour kutoboa pua na masikio na kuchora Tattoo: Ni Ushamba au Ujanja?

    Mimi sielewi huu utamaduni wameutoa wapi Hawa wasanii wa kiume wa Bongo Flavour. Sikuhizi naona ndiyo fashion Kila msanii wa kiume lazima atoboe masikio aweke helleni kubwa masikioni kama Mwanamke na lazima aweke kipini kwenye pia. Hii mambo imekaaje wajuba??? Au ndiyo tuseme Ma-Anko...
  9. Street brain

    JamiiForums Tanzania Vitu gani mtu akiposti mtandaoni unaona ni ulimbukeni na ushamba

    Nadhani watu wengi hawajui maana(logic) ya neno POST. Kupost ni kuonyesha WATU, sio kwa ajili yako. Kwahyo kila unachopost ni kwa ajili ya watu sio wewe, na ndio maana kuna sehemu ya watu kucomment. Kwahyo kabla hujapost chochote jua kabisa kuwa unapost kwa ajili ya watazamaji, na watakutafsiri...
  10. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yarudi hewani

    Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki. Updates Naona mtandao umezuiliwa tena, mamlaka bado hazisomami.
  11. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuongea na watu huku kashika kiuno ni ushamba na kiburi cha kike

    Nimeona mjadala mkubwa wa Gen Z huko Tiktok kuhusu hii picha ya mtu aliyekuwa akiwananga huku akiwa amewashikia kiuno. Vijana wanaulizana, kwani anatuchukuliaje? Ilikuwa ni lazima aongee akitutaja sisi huku akiwa ametushikia kiuno? Vijana wa kiume walienda mbali zaidi( ila mimi huko sitafika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna huu ushamba unaoonekana ni kujiamini ! Mpo sehemu watu wa aina tofauti ila kuna baadhi ya njemba zitaanza kuongea kilugha

    Katika maeneo ya kazi, viwanjani, au kwenye mikusanyiko ya watu kutoka sehemu mbalimbali, kunaweza kutokea watu ambao huanza kuzungumza lugha zao za asili tena mbele ya wenzao wengine. kisaikolojia watu wanapoanza kuongea katika lugha abayo wenzao hawaijui hutafsiriwa kama kujitenga, kuwaongelea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Afrika wana tatizo kubwa la ushamba wa kuonesha ubabe kwa raia, kama mtu kakosea akamatwe sio sawa kumpiga au kumdhalilisha hadharani.

    Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Maturity ni pale unapogundua kufukazana na mademu ni ushamba na self exploitation

    Sex ni tamu ila haimanishi ndio mwisho wa hamu zote. Watoto wanadatisha lakini haimanishi ndio ujizime data. Nafsi yako inastahili zaidi ya kuhangaishana na milupo ila mtalimbo wako unakuaminisha hauwezi ishi bila matako. ++JASUSI COHEN++
  15. Saoka

    JamiiForums Tanzania Kuvaa kitu kipya kikiwa na label yake ni ushamba au fashion??

    Wadau nisaidieni hili Hivi kuvaa raba na haka kalebo ka plastic ni ushamba au ndo fashion yake Wataalam wa fashion tupeni uzoefu wenu
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuwananga / Kuwasema vibaya Yanga SC kwakuwa tu wamechangia CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu na Unafiki uliovuka mipaka

    Leo Yanga SC wameichangia CCM ambayo ndiyo inatengeneza Serikali Wapumbavu, Washamba na Wanafiki wote mmekasirika mbona hiyo hiyo Serikali inayoundwa na CCM ikiipa Yanga SC msaada wa Ndege kwenda Kucheza Mechi zake za Kimataifa huwa hamchukii tena huwa mnafurahi na kukenua hovyo na kila Kona...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mtu kuagiza vinywaji kwa sifa Nni ulimbukeni na ushamba au ni normal?

    Eti ukienda bar hata ndio Una hela ila umeagiza mezani azam energy ya can,black and white,Serengeti lite 21.hivi kwa uelewa wako unahisije ukijipata NI lazima uweke bango kama hivo?
  18. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania Kufumania, wivu wa mapenzi na drama kama hizo ni ushamba wa karne ya 21

    Nimejaribu kufatilia kwa muda sasa na pengine ni sahihi kabisa na baadhi ya jamii za kale zilielewa haya mambo in deep tofauti kabisa na wanaojiita wasomi wenye madegree na maPhD ya kileo. Jamii kama Wamaasai hawa viumbe wako soo real katika swala la kuzagamuana na kula mbususu.Imagine mwanaume...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mabango ya Samia kwenye mpira ni ya nini sasa kama sio ushamba?

    Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana. At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi. Kenya hakuna bango...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushamba unavyoleta Usumbufu kwa watumia barabara Dodoma

    Dodoma inakuwa kwa kasi nzuri lakini kumekuwa na changamoto ya washamba wengi. Kutokana na kuwa Makao Makuu kuna watu wengi wanahamishwa kutoka vimiji vidogo wanakuja na ushamba mwingi sana. Mtu anapaki gari katikati ya Barabara bila kujali watu wengine wanapata taabu kiasi gani. Kama huyu...
Back
Top Bottom