spika

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. robinson crusoe

  #COVID19 Tusaidiane kumpata Spika na mstaafu Kikwete wakachanjwe. Itatusaidia

  Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti? Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye...
 2. Komeo Lachuma

  Huyu ndo Spika wa Taifa la Tanzania! Nioneshe Kiongozi wako nitakuambia Tabia zako

  Unakunywa maji ya mtaro wa maji machafu. Halafu unaanza kuharisha na kuugua tumbo unamtafuta Mganga nani kakuroga. We unaa akili kweli? Mnategemea kupata Hoja za maana au akili katika mazingira haya?
 3. Z

  Spika Ndugai ni Mbunge au rais wa nchi fulani?

  Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani. Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge...
 4. chagu wa malunde

  Spika Ndugai, hamkuona uvuvi wa bahari kuu unaweza kulipatia taifa mapato kuliko kuwakakamua wananchi?

  Nimeshangazwa sana na kauli ya spika wa bunge la JMT kupigia chapuo tozo za miamala ya simu kwa madai kuwa eti ni muhimu kwa maendeleo ya jimbo la Kongwa na taifa letu. Mbaya zaidi anadai eti hana uhakika kama kuna vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kuwakamua wananchi kupitia tozo za miamala ya...
 5. K

  Ushauri: Wabunge bila kumuondoa Spika/Naibu Spika hamtaheshimika kwa wananchi na hata Rais

  Waheshimiwa wabunge mmekuwa mkiburuzwa na kiti cha Spika bila kujua yeye hana chakupoteza 2025. Kwani ni automatic ni mstaafu. Hivyo anajikomba kwa Rais kuwa mstaafu mtarajiwa mwema huku akiwaharibia ninyi. Ushauri: Pigeni kura za siri zakutokuwa na Imani na kiti cha Spika/Naibu wake ili...
 6. dudus

  Kinga ya Kutoshtakiwa Spika na Naibu Spika na Utamaduni wa Mabunge ya Commonwealth

  Wadau! Kama mjuavyo, kikatiba ni Mh. Rais wa nchi pekee aliyekuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Lakini kwa siku za hivi karibuni listi imeongezwa kidogo ambapo MR, WM, JM, Spika na NS nao wana kinga ya kutoshtakiwa hata watakapokuwa wamestaafu. In short, ni "kinga ya maisha". Kama tunavyojua...
 7. MAHANJU

  Spika Ndugai ni kikwazo cha Maendeleo Tanzania

  Huyu kama kiongozi na sauti ya bunge amekaa kimya wanapitisha sheria na mipango inayowaumiza watanzania bila huruma, wabunge wanaohoji anawatisha kuwa wasipopitisha bajeti bunge litavunjwa na hawatarudi. Huyu ni kikwazo na tatizo kubwa nchini. Niwaombe Makada wenzangu wana CCM, tunakoelekea...
 8. K

  WAANDISHI WA HABARI;Hojianeni na Spika Ndugai.Malalamiko ya wananchi chanzo bungeni.

  M/kiti wa jukwaa la waandishi wa habari ratibu kuwe na mahojiano na Spika Ndugai na waandishi wa habari kujibu manung'uniko ya wanachi kuhusu Muhimili huu kupoteza maana halisi. Vipo vyanzo vingi vya tuhuma zenye ukakasi kupitia kiti chake, Mfano kuwatisha wabunge kupitisha bajeti. Kuapa...
 9. K

  SPIKA; Kwa mara ya kwanza bajeti kupita bila kupingwa. Wananchi kwa mara yakwanza wanaandamana kwenye mitandao kukupinga

  Kelele ni nyingi kuhusu kodi za mafuta na tozo za matumizi ya simu. Mwananchi analalamika. Mbunge anaipongeza kwa asilimia 100%. Je mbunge anamsimamia mwananchi aumie nakumsifu serikali amuumize mwananchi? Bado miaka 4 tuendelee kwenye mitandao kulalamika? Au Kijiji/kata umwite mbunge eneo...
 10. Big Eagle

  Spika Ndugai anapoonya ulevi wa madaraka wakati yeye yako juu ya katiba unamchukuliaje?

  Binafsi huwa simuelewi
 11. comte

  Mitandao na CHADEMA 0 vs Spika 2 mechi inaendelea

  CHADEMA na wanaharakati wanamdharau na kupuuza ushauri wa Spika. 1. kwenye suala la akina Mh. Mdee kawashauri nini cha kufanya mnampuuuza nao wanaendelea kubaki bungeni GOOAL. 2. kwenye suala la Mh. Lissu kawashauri nini cha kufanya mkampuuza sasa mnaleta oh Lissu analipwa matilioni- kawambia...
 12. K

  Spika Ndugai, mtumie Katibu wa Bunge kwa majukumu yanayomhusu

  Mh SPIKA, Bunge ni mhimili wenye idara na vitengo ndani ya ofisi ya Bunge. Mh SPIKA, Katibu wa Bunge anaweza kutolea ufafanuzi wa jambo la utendaji wa ofisi ya Bunge inapohitajika kwa waandishi wa Bunge. Mh SPIKA, Mambo ya malipo halali/si halali wajibu watu wa ofisi ya Bunge/Hazina au Katibu...
 13. Nigrastratatract

  Spika adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

  SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME" Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya hivyo kwa kuwa sasa hatua zitaanza kuchukuliwa ikiwemo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge...
 14. Nigrastratatract

  Spika ndugai awaumbua tena Wachonganishi wa Mitandaoni

  SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME" Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya hivyo kwa kuwa sasa hatua zitaanza kuchukuliwa ikiwemo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge...
 15. Replica

  Watu kuuawa kwenye Hifadhi laibuka Bungeni, Spika amwambia Ndumbaro alikuwepo Kagesheki kabla yake Akaondolewa na Kamati

  Leo Spika wa Bunge, Job Ndugai amempiga mkwara waziri wa maliasili na Utalii kutokana na kukanusha vifo kwenye hifadhi nchini, Spika amesema kabla huko nyuma alikuwepo Kagasheki ambae nae alikanusha lakini baadae kamati ya Bunge ikamfanya aondoke ======== Spika wa Bunge la Tanzania, Job...
 16. Q

  Spika Ndugai: Mkiniona naharibu alaumiwe Makinda

  Kauli hiyo ameitoa Bungeni Dodoma, jana jioni Juni 10, 2021, wakati akimkaribisha Bungeni, na kuongeza kuwa Mama Makinda, amekuwa ni mwalimu wake kwa kipindi kirefu tangu alipoingia Bungeni kwa mara ya kwanza. "Mama Makinda amekaa humu Bungeni takribani miaka 40 hii rekodi siyo rahisi na yeye...
 17. Z

  Achana na ombi la Spika, Philip Mpango itisha mkutano na wanaume wa Tanzania

  Tumechoka na hii mikutano ya wanawake na nionavyo sasa ni nchi ktk mashindano ya gender. Samia aendelee na wanawake wenzake, wanaume tuendelee na Philip Mpango! Mkutano wetu hautakuwa na vigelegele, wanamziki na hasa TMK rudini, jiandaeni kuleta burudani.
 18. Sky Eclat

  Spika wa Bunge, Job Ndugai anamuomba Rais aitishe Kikao cha Wanaume tu

  Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Alhamis, bungeni Dodoma, amemwomba Rais wa Tanzania, Suluhu Samia kuitisha Kikao Maalum cha Wanaume pekee ili kuwawezesha kujadilia masuala mbalimbali yanayowahusu. “tunaomba Rais aite mkutano wa wanaume tu.” Nini Maoni yako?
 19. Idugunde

  Spika Ndugai: Tunaomba Rais aitishe kikao cha Wanaume tu

  Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu wakidhani wanaume wapo salama, jambo ambalo si sahihi. "Tutamuomba Mhe.Rais siku nyingine aite...
 20. S

  Wabunge na mavazi yao sio jambo katika Taifa la leo

  Siku ya jana Spika Ndugai alimtoa nje Mbunge mmoja kwa kosa la kuvaa mavazi anayosema kuwa yapo kinyume na maadili ya Bunge , cha ajabu watanzania wengi wakashikilia hili jambo kama vile lina maslahi yoyote kwa taifa , ikifika mbele mpaka NGO moja ikaandika taarifa ya kulaumu kama vile...
Top Bottom