tendo la ndoa

  1. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi na nyie wake zenu wanawapa unyumba kwa kunung'unika kama huyu wangu?

    Tumsifu Yesu Kristo. Huyu mke wangu kila nikimuomba unyumba atalalamika mara aseme "Baba J" umeanza usumbufu wako. Mara aseme kachoka, mara aseme yuko Period kumbe sio kweli, mara aseme hajisikii vizuri, mara aseme ana usingizi. Yaani mimi tendo la ndoa napewa kama hisani wakuu. Je, na nyie...
  2. ebidada

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

    Naomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je unapata ugumu gani kushiriki tendo la ndoa na mkeo pindi anapokuwa na mtoto mchanga?

    Habari zenu wakulungwa. Ukiwa kama baba,mara baada ya kupata mtoto na mkeo,ni ugumu gani huwa unaupata kuweza kushiriki tendo la ndoa na mkeo pindi mnapokuwa mnalea mtoto wa miezi 2 hadi miaka 2. Hiki ni kipindi ambacho watoto wachanga wanahitaji muda mwingi sana kuwa na mama zao kiasi kwamba...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania si binadamu pekee wanaofanya tendo la ndoa kwa starehe baadhi ya wanyama hawa pia wanafanya hivyo

    Toka zamani nilikuwa najua wanyama wote hufanya tendo la ndoa kwa ajili ya kuzaliana tu. Kumbe si kweli. Tafiti zinaonyesha kuna baadhi ya wanyama kama dolphins na sokwe ambao pia hufanya tendo la ndoa kwa sababu za kijamii, kuimarisha mahusiano, kupunguza migogoro, na inaaminika pia kwa...
  5. Stability

    JamiiForums Tanzania Wadada wavumilieni waume zenu. Baada ya kuvuka miaka 35 ile nguvu kupeleka moto huwa inaanza kushuka, sio kwamba amekuchoka ila ni engine

    Kidume akishavuka 35, ule uwezo wa kutafuna jagina sio tena ule wa 18-35 ndio maana hata sugar mamy huwez mkuta ana tembea na jamaa wa 35+, huwa mara nyingi ni vijana wa 20s. Kwahiyo acheni visa, endelea kumkatia kiuno na makebo kama kabinti kaamiaka 21 ili apate amsha amsha engine iwe turbo.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mkoa wa Njombe Wanatozwa Fedha na wake zao kupata tendo la ndoa

    Diwani wa Kata ya Ramadhani, Erasto Ngole amesema kumekuwepo na changamotoya kijamii katika eneo hilo ambapo baadhi ya wanawake wanadaiwa kuwatoza fedha waume zao kabla ya kuwapatia tendo la ndoa. Ngole amesema hadi sasa ofisi yake imepokea jumla ya kesi tano zinazohusiana na suala hilo, hali...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nachoka sana baada ya tendo la ndoa, nifanyeje?

    Wakuu naombeni ushauri wa kitaalam pengine Kuna changamoto ya ugomjwa inanisumbua bila Mimi kujua. Iko hivi: Mimi ni kijana wa miaka 36 na nina kitambi cha wastani flani tu. Nina mke na mtoto mmoja. Tatizo langu ni kuwa siku hizi huwa nachoka sana mara baada ya tendo na mgongo kuuma. Pia...
  8. muzi

    JamiiForums Tanzania Sababu ambazo hufanya wanandoa kunyimana tendo la ndoa kwa makusudi, changamoto zake na madhara yake

    SABABU 10 AMBAZO HUFANYA WANANDOA KUNYIMANA TENDO LA NDOA KWA MAKUSUDI, CHANGAMOTO ZAKE NA MADHARA YAKE Katika maisha ya ndoa, tendo la ndoa sio tu suala la mwili bali pia ni daraja la ukaribu wa kihisia, kuaminiana, na kuimarisha upendo kati ya wanandoa. Pale ambapo mmoja wa wanandoa anaanza...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanabembeleza sex kwenye ndoa why? Upendo umeisha ama?

    Yes. Their own houses. The same house where they pay the rent. The same house where they pay the children's school fees. The same house where they buy the food everyone eats. Yet at night, the husband is negotiating like a tenant. “Baby please, I have been asking since yesterday.” If a...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Muda wa wastani wa tendo la ndoa Duniani: Ecuador yaongoza wanatumia dakika 24, Pakistan ya mwisho wanatumia sekunde 42

    Wakuu Nimekutana na ripoti zilizotolewa mtandaoni zinaonesha tofauti kubwa za muda wa wastani wa tendo la ndoa kati ya nchi mbalimbali duniani. Kulingana na orodha, Ecuador inaongoza kwa kuwa na muda mrefu zaidi wa wastani wa ngono, ambao ni dakika 24, ikifuatiwa na Cameroon (dakika 23.5) na...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupeana tendo la ndoa

    Kisaikolojia, mwanaume ambaye hapati tendo la ndoa anaweza kuwa na changamoto kadhaa zinazohusiana na akili na hisia, ingawa kila mtu ni tofauti. Sababu kuu ni za kisaikolojia ni: 1. Shinikizo la akili na stress • Stress ya kazi, shule, au maisha ya kila siku inaweza kuathiri uwezo wa mwanaume...
  12. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Faida za tendo la ndoa kiafya Post hii inawahusu wanandoa tu

    Faida za tendo la ndoa kiafya Post hii inawahusu wanandoa tu.. Kufanya sex kunasaidia kuzuia saratani ya kizazi. Kufanya sex kunazuia kuziba kwa mirija. Kufanya sex kunapunguza mafuta mwilini. Kufanya sex kunapunguza calories. Kufanya sex kunapendezesha ngozi kwani mishindo 2 ni sawa na...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Wanandoa, acheni mazoea kwenye Tendo la Ndoa

    Wanandoa, acheni mazoea kwenye tendo la ndoa. Peaneni kila utamu unaostahili. Kuna katabia fulani ambacho ni kibaya sana kwa wanandoa, na ndicho kinachoharibu pia mahusiano mazuri kwenye ndoa — kuleteana mazoea, tena kwenye mambo ambayo hayataki mazoea kabisa. Mfano, kwenye tendo la ndoa...
  14. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Nimetimiza mwaka mmoja leo bila kushiriki tendo la ndoa kuna madhara kiafya?

    “Leo natimiza mwaka mzima bila kufanya tendo la ndoa 😅 afya bado iko stable, pressure ipo sawa, moyo unadunda vizuri 💪🏽 sijui huu ni ushindi au mateso wakuu?”
  15. kyagata

    JamiiForums Tanzania Upige konyagi,ushushie na karanga za kukaanga kisha upande kwenye kiuno cha mtoto wa watu,unaweza kushtakiwa ICC kwa uhalifu wa kivita

    Wakuu Leo nilikua na off yangu,nikasema ngoja nishtue nyagi ndogo huku napiga taratibu na karanga za kukaanga. Nikaona upweke unanizidia, Nikachukua simu nikacheck mawindo yangu mawili matatu moja likatiki,oyaa toka saa 9 mchana niko kifuani mwa huyu mtoto wa kisambaa,nimemchakata vilivyo,hapa...
  16. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kupungua kwa heshima na furaha kwenye mahusiano yako

    Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linaloathiri wanaume wengi, mara nyingi bila wao kujua, hadi pale hali inapokuwa mbaya na kuanza kuathiri heshima na furaha ya ndoa. Kupitia dalili hizi, unaweza kutambua mapema ishara za tatizo hili na kuchukua hatua kabla halijawa sugu. Soma kwa makini hadi...
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Hivi mnawezaje kukaa wiki, miezi hata mwaka bila kufanya tendo?

    Rasmi nimeshindwa kabisa kustaafu hizi mambo daah yaani mwili unataka kila siku nichakate . Naweza chakata hata mara tano afu sichoki wakuu hii ni kawaida kweli?? kukaa siku moja bila kuchakata ni mtihani Wakuu nyie mnawezaje kukaa wiki, mwezi bila kufanya tendo la ndoa??
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anatokwa damu kila tukifanya tendo la ndoa

    habari zenu,,, naombeni ushauri wenu wataramu wa afya,, yapata mwezi sasa tangu nianze kuishi nae rasimi kama wana ndoa. amekua akitokwa na damu ukeni kila ninapo shiriki nae tendo la ndoa mwanzozi nilidhani itakuwa ameingia period pasipo kujua na nilipo muuliza alidai nayeye anawaza kama...
  19. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kwa mwanamke huimarisha afya yake

    Mwanamke asiposhiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu anaweza kukumbana na mabadiliko ya kimwili kama vile ukavu wa uke, kupungua kwa uimara wa sakafu ya fupanyonga, na kupungua kwa ulainishaji asilia, na mabadiliko ya kihisia kama vile kuongezeka kwa mfadhaiko, hasira, wasiwasi, upweke, na...
  20. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Kugusana gusana kwa wanandoa sio kwa tendo la ndoa pekee

    Baadhi ya wanandoa hutomasana pale tu wanapotaka kufanya tendo la ndoa. Huo sio upendo bali ni shughuli. Upendo wa kweli huambatana na kushikana shikana mikono bila sababu na hukumbatiana kwa sababu tu. Mguse mpenzi wako - bila sababu. Mdada, mkalie kwenye mapaja huyo mubaba wako mkiwa...
Back
Top Bottom