software

 1. Kiyoya

  Software gani nitume kukonvert audio tape kwenda digital

  Wataalam habari zenu ninaaudio tape za miaka hiyo natafuta namna gani huu music naweza weka ktka digital.
 2. Null Pointer

  Natafuta sehemu ya kufanya kazi part time

  Salaam Wakuu! Poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 30. Ninaishi Dar es salaam. Nimeajiriwa kama Software Developer sehemu fulani. Natafuta sehemu ya kufanya part time nje ya muda wa kazi. Lengo ni kuongeza kipato na pia kupata uzoefu nje ya mazingira ya kazi. Nimesoma degree ya...
 3. I

  Nini tofauti ya Software Engineering na Computer Science

  Hivi nini tofauti ya Software Engineering na Computer Science. Je ni fields tofauti au ni the same? Pia kama ni tofauti ipi ni bora zaid kusoma kozi yake?
 4. defashi

  Software development and graphics design services

  Karibu, Tunatoa huduma zifuatazo kwa bei nafuu: 1. Graphics design a. Logo Design b. Brochure Design c. Banner Design d. Flyer Design e. Products Brand Design f. Software Layout Design 2. Software Development a. Website Design and Development b. Blog Design...
 5. D

  SOFTWARE Shop Software

  Heshima kwema wakuu... Leo, tunawaletea mfumo wa mauzo uliojaribiwa na kufanya vizuri sana kwa wateja wetu. Mfumo huu ni desktop application (Language iliyotumika ni c# na database ni SQLServer 2014). Mfumo ni mwepesi sana kutumia na unatoa ripoti zote za muhimu. Pia tunaongeza vitu...
 6. Kibaba MFS

  alpha - Medical Practice Management System

  A Robust Hospital Management System for Hospitals, Clinics, Pharmacies and Laboratories. So what we are, real? An integrated Information System for managing all ways of a hospital’s operations such as medical, financial and administrative tasks It is a web based Application that works with all...
Top