wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Waishio Nchini Uganda na Kura za 2027 - Pukose Asema "Watakaowazuia Watauawa"

    Mbunge wa Endebess, Dkt Robert Pukose, amezua mjadala baada ya kutoa kauli kali kuhusu Wakenya wanaoishi Uganda na wanaotarajiwa kuvuka mpaka kushiriki uchaguzi wa 2027. Katika hotuba iliyoripotiwa Oktoba 2, Pukose alisema kuwa yeyote atakayejaribu kuwazuia Wakenya hao kuingia nchini kupiga...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanaweza kununua Hisa za Dangote kwa kiasi cha Ksh. 490 kupitia NSE

    Wakenya huenda wakapata nafasi ya kuwekeza katika Dangote Petroleum Refinery kupitia Nairobi Securities Exchange (NSE) kwa kutumia Global Depositary Receipts (GDRs), mpango ambao bado unasubiri idhini ya mamlaka husika. Kupitia mpango huo, hisa moja itauzwa kwa takriban Sh49, huku kiwango cha...
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Wakenya waenda mahakamani kuzuia mradi wa kusafisha mafuta wa Dangote

    Zaidi ya wakazi 130 wa Chandavai, Kaunti ya Lamu nchini Kenya, wamefungua kesi mahakamani wakitaka kusimamishwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Aliko Dangote, kwa kile wanachoeleza kuwa ni kuharibiwa kwa ardhi ambayo familia zao zimeishi kwa vizazi kadhaa. Wakazi hao wanadai kuwa...
  4. Lavit

    JamiiForums Tanzania Wakenya wameweza vipi kuwa na lipa namba mpaka kwa boda boda na wauza mboga?

    Habarini wakuu? Kuna hili suala la cashless economy ambalo limekuwa likipigiwa chapuo mahala pengi duniani, ila kwa jirani zetu Kenya wameweza kulifanya kwa vitendo! Hawa jamaa ukifika kwao kila mahali kuna lipa namba, kuanzia boda boda, wamachinga barabarani, wauza mboga mpaka daladala! Yaani...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei ya Gas Yapanda: Wakenya Kujiandaa Kulipa Zaidi Kuanzia Oktoba

    Bei ya kupikia kwa kutumia gesi ya LPG inatarajiwa kupanda nchini kuanzia Oktoba 2026, huku ongezeko hilo likihusishwa na kupanda kwa bei za kimataifa za propane na butane—gesi kuu zinazotumika kutengeneza LPG. Kwa mujibu wa data ya Saudi Aramco, bei ya butane ilipanda kwa 25.8%, kutoka...
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya semeni ukweli sasa! Tanzania inawasaidia sana; Tanzania yaipiku Saudi Arabia kwa Wakenya nchini Tanzania wakituma KSh1.5 Bilioni nyumbani

    Tanzania imeipiku Saudi Arabia kwa mara ya kwanza kama chanzo cha fedha zinazotumwa Kenya na diaspora, huku Wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tanzania wakituma nyumbani shilingi bilioni 1.52 (pesa za Kenya) kwa mwezi Agosti 2026 tu. Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Kenya(CBK), Wakenya...
  7. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Saudi Arabia Imepiga Marufuku Ajira kwa Wakenya?

    Saudi Arabia Imepiga Marufuku Ajira kwa Wakenya? Ubalozi wa Kenya Watoa Ufafanuzi
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania Yaweka Mandatory Travel Insurance ya Sh5,700 kwa Wageni, Lakini Wakenya na EAC Wako exempted

    Tanzania imeanzisha mandatory travel insurance kwa wageni wanaoingia Mainland Tanzania, hatua ambayo itaongeza gharama ya safari kwa baadhi ya international visitors. Chini ya Insurance (Inbound Travel Insurance) Regulations, 2026, foreign visitors wanaolengwa watalipa USD44, takriban KSh5,700...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Hivi wakenya walianzisha na kupigia upatu sheng lao kutokana na kutojua Kiswahili au kutaka kukiua?

    Mara nyingi, nasoma maneno kama mzae au mzazi, ngori, na mengine mengi humu Jf. Huwa siachi kushangaa na kujiuliza. Je, wakenya wameunda sheng lao kutokana na kutojua Kiswahili, kukidharau, au kutaka kukiua na kuzalisha kipya? Najua japo si wote, wakenya wanaabudia sana kimombo. Mbona sasa...
  10. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Xenophobia in Kenya: Baadhi ya Wakenya wameamua kuchukua jukumu la kufukuza raia wa kigeni

    Tangu Rais Rutto aseme foreigners wanaofanya kazi ndogo ndogo wanapaswa kurudi kwao kuanzia Jumatatu hii ya juzi, baadhi ya Wakenya walianza kuingia barabarani Jumatatu na kufukuza Burundians warudi kwao kwa sababu wanadai wamejaa maeneo ya mijini wakiuza kahawa, kitu ambacho baadhi ya watu...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania The Bien atoa neno; Wakenya wanaowafukuza waburundi

    Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Bien ametoa ujumbe kwa wakenya wanzake akiwasihii kuhimiza umoja miongoni mwa wa afrika wenzetu. Bien amezungumza hivi kufatia tukio lilotokea hapo Kenya wa baadhi ya raia kutaka waburundi wasio na vibali waondoke nchini hapo, katika ujumbe aliouchapisha Bien...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto awataka Wageni kuacha kufanya biashara ndogo na kuachia Wakenya wazifanye

    Rais William Ruto ameagiza hatua zichukuliwe dhidi ya raia wa kigeni wanaoendesha biashara ndogo ndogo nchini Kenya, akisema nafasi hizo zinapaswa kuwa kwa Wakenya. Akizungumza na wafanyabiashara wa Micro, Small and Medium Enterprises (MSMEs) katika Ikulu ya Nairobi Jumatano, Septemba 2, Rais...
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usalama Nairobi: Tukio la Mchana Linalowafanya Wakenya Kuuliza Maswali

    Hali ya usalama Nairobi inaendelea kuwa mbaya. Video hii inayosambaa mitandaoni inaonyesha mwanamke akipokonywa simu mchana peupe kwenye barabara ya Thika Super highway. Vijana wawili wanaonekana wakimbana kwenye ukuta na kuondoka na simu yake. Ni picha ya wazi ya jinsi uhalifu na vurugu...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia 32 za Wakenya Kupokea Sh11.3 Bilioni Fidia ya Ajali ya Ethiopian Airlines

    Familia za Wakenya 32 waliopoteza wapendwa wao katika ajali ya Ethiopian Airlines Flight 302 mwaka 2019 zinatarajiwa kupokea jumla ya dola milioni 87.3 (takriban Sh11.3 bilioni) kama fidia. Ajali hiyo ilitokea Machi 10, 2019, muda mfupi baada ya ndege hiyo kuondoka Addis Ababa nchini Ethiopia...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto Awakaribisha Wakenya 5,000 Katika Majadiliano Ya Vision 2060

    Rais William Ruto anatarajiwa kuwa mwenyeji wa zaidi ya Wakenya 5,000 kutoka kaunti zote 47 katika mkutano wa kitaifa unaofanyika leo, Jumatano, Agosti 12, 2026, katika KICC, Nairobi, kujadili mwelekeo wa Kenya kuelekea Vision 2060. Mkutano huo unaashiria mwanzo wa ushirikishwaji wa umma katika...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya sisi ni Wakwe muwe na ADABU

    Mhubiri wa televisheni maarufu na mwenye utata nchini Kenya, na mwanzilishi wa Huduma ya Uponyaji ya Salvation (Salvation Healing Ministry) ya Nairobi, Pastor Victor Kanyari, amemkosoa vikali mume mtarajiwa wa mtoto wa Rais wa Kenya, Charlene Ruto, anayefahamika kwa jina la Isaya Yunge, raia wa...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vision 2060 Haiwezi Kujaza Sahani Leo: Wakenya Wanataka Suluhu Sasa

    Mpango wa Vision 2060 umeendelea kuzua mjadala nchini baada ya Rais William Ruto kuuzungumzia wakati wa mkutano na wanahabari, akisema utakuwa dira ya maendeleo ya muda mrefu ya Kenya baada ya kukamilika kwa Vision 2030. Rais Ruto alieleza kuwa mpango huo unalenga kuhakikisha Kenya inaendelea...
  18. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Wasikilizeni wakenya wanavyo ongea juu ya Polepole na Tanzania yetu

    Inasikitisha sana kwa jinsi Taifa letu linavyo zungumziwa nje ya nchi yetu.
  19. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya Watanzania na Wakenya waunganisha nguvu kuisaka familia ya Mafwele Afrika Kusini

    Hajaisha mpaka iishe. Nimepata very classified information kuwa pamoja na Mafwele kutenda makosa makubwa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu( Crime against humanity), alijua kabisa ipo siku atawindwa. Sasa Ili Aishi Kwa amani alihamisha familia yake Uko South Africa. Sasa kama mjuavyo ubaya haudumu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya: Serikali ya Tanzania imepoteza mabilioni ya pesa kwa watu kutokufanya kazi Julai 7, 2026

Back
Top Bottom