simamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Lissu kifungoni, tuji kumbushe anacho simamia

    Ya kwamba Lissu yuko korokoroni, kwa makosa gani sasa Ya-Rabi? Lissu si ndiye huyu? Tutupie video zake kama kumbukumbu za mwana wa nchi hii aliye mzalendo kweli kweli. Lissu hapaswi kuwa kifungoni bali kuwepo kwenye safu za uongozi kwenye ujenzi wa Taifa letu lililo Bora zaidi.
  2. D2050

    Waziri wa nishati simamia Mafuta yapatikane

    Kumekuwa na hali mbaya ya upatikanaji mafuta hasa ya petroli katika miji mingi hapa nchi. Manispaa ya Songea sheli kubwa zote hazina mafuta yapata siku 5 sasa. Hii hali inahatarisha uchumi wa wananchi kwasababu sehemu walizokuwa wanaenda kwa 1000 kwa pikipiki saizi wanatumia 2000. Foleni kwenye...
  3. Z

    Waziri wa elimu simamia watu wa TCU, wanaelekea kuharibu mfumo wa elimu ya juu

    Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa TCU na hasa baada ya Magufuli (RIP) kuwapokonya kazi ya kudahili wanafunzi waliyojipachika. Kwa ufupi hapo Magufuli alishauriwa vizuri maana walishaanza kufanya biashara na vyuo vikuu na hasa vyuo binafsi (private). Sasa yaonekana hawana mwongozo wa kazi zao...
  4. robinson crusoe

    Spika Tulia Ackson simamia ubora wa bunge na michango yao Hii ni aibu nyingine

    Ni aibu nyingine imejitokeza bungeni kwa mbunge kuisimanga nchi jilani. Bahati mbaya anapoongozwa na Mbunge mwenzake haoni sababu ya kuona kosa lake. Lakini anapoonywa na Waziri, anakubali kurekebisha kosa. Kuna mambo matatu; Kwanza Mbunge hajitambui kabisa! Pili mbunge haoni sababu ya...
  5. robinson crusoe

    Waziri wa Elimu simamia utawala katika vyuo. Wanafunzi wanaumizwa na elimu inaanguka!

    VETA, NACTE na TCU ni vyombo ndani ya wizara hii. Kulikuwa na malalamiko na matukio ya wanafunzi kunyanyaswa kingono. UDOM na Uhasibu Arusha vimekuwa ni mfano wa wazi. Hata hivyo hatujasikia Wizara ikisema lolote juu ya matukio kama hayo pamoja na jamii kuyasikia tena na tena! Nimefanya...
  6. B

    Katibu wa Sekretariati ya Ajira simamia haya

    ASALAAM, KATIBU MKUU aliyekuwa secretariate ya ajira tunaomba ayangalie haya kipindi cha daudi yalisimama vizuri sana. Tunamuomba ayasimamie haya: 1. Usaili unapangwa zigzag tu mwanzoni tulikuwa tunfanya usaili kwa siku tatu mfululizo mfano tar 10,11,12 ili hata kama mtu umechukua loji uweze...
  7. YEHODAYA

    Dr Alinda Mashiku: Mtanzania anayeongoza kitengo cha NASA kinachosimamia Satelite zisigongane angani

    Wakati wanaume Tanzania hujisikia sana kuwa matraffic Barabarani kuongoza Magari Kutana na Mama mtanzania Dr Alinda Mashiku anayefanya Shirika La NASA Marekani anayeongoza Sattelite duniani zisigongane Angani .Wanawake wanaweza Huyu akija Tanzania Traffic waongoza magari Wanaume lazima wakimbie...
Back
Top Bottom