kusomea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ameacha ufundi electronics yeye anaenda kusomea udereva daraja c

    Hatumzuii au hatumpingi mtu ila tunampa tu ushauri yeye ataamua aubebe au autupe Kuna mdogo wangu alitoka kijijini juzi kamaliza form4 mwaka jana. Sasa alikuja kama na laki 3.5 hivi lrngo akasomee udereva. Ila kwa upendo tu nikaona nimpe ushauri wa kuchagua. Nikamshauri kuhusu ufundi wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katika kozi hatari za kusomea Tanzania ni za Computer. Kwa jinsi Ai inavozidi kukua ukikosa kazi Serikalini itakuwa ni ngumu sana kutoboa.

    Tatizo ni kasi ambayo AI inabadilisha kazi zenyewe. Hasa ukizingatia kwamba vyuo vingi bado vinafundisha Computer kwa mfumo wa zamani: theory nyingi, practical chache, na walimu ambao walianza kujifunza computer vyuoni muda mwingi ubaoni na kwenye makaratasi. Computer ya 2026 haiwezi...
  3. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu mkubwa wa kusomea Fani yoyote baada ya kumaliza shahada yako.

    1.Truck driving. 2. Heavy Duty machine operator 3.Tafsiri na mkalimani(Chinese) 4.Ufundi Bomba Kijana muhitimu wa elimu ya juu tumia miaka miwili baada ya kuhitimu kutafuta Fani ambazo zitakufanya uishi vizuri huku ukisubiri kazi ya Taaluma yako(academic qualifications) Ahsante
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu unaweza kupoteza muda na pesa kusomea biashara chuoni; ni heri ujifunze kwa kufungua duka dogo au kuwa winga

    Watu wengi wanapoenda kusomea biashara chuoni lakini wakifika wanatamani hata kukimbia, ni majuto. Walichofikiria watakikuta na wanachokikuta ni vitu viwili tofauti. Badala ya mtu ku-focus kwenye biashara, anakutana na mzigo mkubwa wa kozi nyingi kwa wakati mmoja. mfano kila semesta (miezi...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Kuna muuguzi alipelekwa India kusomea robotic surgery, amerudi amepangiwa kukusanya damu

    Mbunge wa Nyasa Mkoani Ruvuma, John Nchimbi ameitaka Serikali kuwapanga watumishi wake kulingana na weledi wao, ili kuepusha kuwapanga maeneo yasiyowahusu na hivyo kuzorotesha ufanisi katika kazi. Nchimbi aliyasema hayo April 17 bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia hotuba ya mapato na...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Umezaliwa Dodoma ukakulia na kusomea Dodoma unaoa ama kuolewa upo Dodoma na kuzaa watoto ukiwa hapohapo. Wagogo mmerogwa?

    Wagogo pamoja na kwamba ni watani zetu ila huu sio utani acheni ufala bana Tz kubwa hii. Mmerundikana kama uyoga fala sana. Halafu mizaramo ndo haishauriki kabisa imetembea sana mwisho morogoro wa kwa waluguru yaani ni chupa na mfuniko. Haya makabila ilitakiwa liwe koloni la wasukuma...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Library ya kusomea

    Habari Wakuu.. Kuanzia kimara hadi mbezi kuelekea kibamba na ukanda huu wote wapi Kuna Library ya kusomea tafadhari .
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna utofauti wa kusomea degree ya Biashara vyuo vya Tanzania na Ulaya kwa mtu ambaye hana msingi wa biashara?

    Kuna wanafunzi wawili wote wamesoma chekechea hadi form 6 Tz. Moja kabaki Tanzania mwengine kaenda Uingereza, wote wanasomea degree ya usimamizi wa biashara Kwao wana hali za kawaida, aliebaki anasoma kwa mkopo wa serikali, wa nje kapata mdhamini. kutakuwa na utofauti wakishamaliza vyuo...
  9. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA SANA KUONA KUNA VIJANA WANAOMBA KUSOMEA KOZI YA UALIMU

    Habarini wadau
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kaka alizinguana na mzee baada ya kukataa kusomea ualimu

    Mwaka 1998 kaka aligoma kabisa kusomea ualimu japo mzee alikuwa alikuwa mwalimu bado hajastaafu. Ukawa mvutano mkubwa mno basi bro akaona aoe Mzee hakutoa mahali na akamtimua yule binti kabisa. Mambo yakawa si mambo mama anasema anasema muache mzee anasema utasepa nae ndoa ikaingia mgogoro...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kozi hizi za degree zimesitishwa kwenye vyuo vifuatavyo, Fanya maamuzi mengine kama ulikuwa na mipango ya kusomea

    Vyuo hivi havitapokeo maombi ya kozi zifuatazo kwa mujibu wa Tume ya vyuo vikuu (TCU) SAUT Mwanza Bachelor of Laws Bachelor of Arts in Sociology Bachelor of Philosophy with Education Bachelor in Tourism and Hospitality Management UDOM Bachelor of Education in Science with ICT Bachelor of...
  12. dogman360

    JamiiForums Tanzania Bora kusomea Degree nyumbani Tanzania halafu Masters Nje kama una uwezo?

    .
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yaelekeza Wanafunzi pia wasomee nyumbani kwa Januari 27 na 28, 2025

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Physics - A, chemistry - B, Hesabu - A, aende kusomea chuo gani na taaluma ipi ya Engineering ?

    Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4 Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee, hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida...
  15. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana...
  16. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Afghanistan yapiga marufuku wanawake kusomea ukunga

    Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo. Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

    Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kuna miaka itafika, kutakuwa na vyuo vya watu kusomea ujinga ili wafanikiwe (foolish skill and management)

    Kwa hali ninavyona mimi! Elimu yetu afrika iko nyuma sana na ulimwengu unavyokwenda kwa kasi! Elimu yetu inakwenda kuwa siyo kitu cha kujivunia tena kuwa nacho maana haitakuwa na msaada kiuchumi! Elimu yetu itakwenda kuongeza utapeli mwingi kwa watu Elimu yetu inakwenda kuwafungia watu...
  19. maelekezo

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa kozi aina yaa Filter Mechanics

    Masada wakubwa kuhus filter mechanics ni kozi inayohusu nini haswaa na ina upana gani kwenye ajira
  20. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kama umefaulu vizuri PCB kasomee Radiology au Doctor of Dental Surgery (DDS)

    Wakuu kwema Ni muda vijana wanaomaliza form six pcb na 1.3 hadi 1.6 kuwaza kusomea udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno (dds) au Radiology (udaktari wa mionzi) kwani itachukua muda mrefu sana kozi hizi kujaa watu mitaani au mahospitalini DDS kwa mfano , katika post iliyopita ya uhitaji wa...
Back
Top Bottom