Hunas or Huna (Middle Brahmi script: Hūṇā) was the name given by the ancient Indians to a group of Central Asian tribes who, via the Khyber Pass, entered the Indian Subcontinent at the end of the 5th or early 6th century. Huna Kingdom occupied areas as far as Eran and Kausambi, greatly weakening the Gupta Empire. The Hunas were ultimately defeated by a coalition of Indian princes that possibly included the Indian king Yasodharman. He and possibly the Gupta emperor, Narasimhagupta, defeated a Huna army and their ruler Mihirakula in 528 CE and drove them out of India. The Guptas are thought to have played only a minor role in this campaign.The Hunas are thought to have included the Xionite and/or Hephthalite, the Kidarites, the Alchon Huns (also known as the Alxon, Alakhana, Walxon etc.) and the Nezak Huns. Such names, along with that of the Harahunas (also known as the Halahunas or Harahuras) mentioned in Hindu texts, have sometimes been used for the Hunas in general; while these groups (and the Iranian Huns) appear to have been a component of the Hunas, such names were not necessarily synonymous. Some authors suggest that the Hunas were Ephthalite Huns from Central Asia. The relationship, if any, of the Hunas to the Huns, a Central Asian people who invaded Europe during the same period, is also unclear.
Gujars are sometimes said to have been originally a sub-tribe of the Hunas.In its farthest geographical extent in India, the territories controlled by the Hunas covered the region up to Malwa in central India. Their repeated invasions and war losses were the main reason for the decline of the Gupta Empire.
Ewe mhitimu wa kodi hii ni nafasi njema kwako'
(i). Unapenda kupata uzoefu ili uanze kutengeneza pesa kwa kutatua matatizo ya wafanya biashara na makampuni mbalimbali.
(ii). Unahitaji kupata uzoefu kwenye taaluma yako ili uaminiwe na waajiri pindi unapoitwa kwenye interview.
(iii). Tumia career...
Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta...
Kwa kweli ujenzi unafanyika pamoja na hali kuwa ngumu lakini ukitoka nje ya mji kidogo sites huku materilas yanasambazwa hadi unajiuliza hawa wennye sites zao hela wanapata wapi au wanatengeneza wenyewe yaani kiufupi nchi inapigwa kwa kweli hibi watu wanapata wapi hela!hela inapatikanaje...
Niliwahi kuleta mada hapa miezi kazaa nyuma wale kijana wa miaka 26 na mtu mpenzi mtoto ana miaka 29,
1.Sasa yule mdogo wangu anasema akijaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana wenye miaka 25 kushuka chini wanaishia kugombana pia wanamkataa sana haswa hawa wa 18-25 anasema wanaomba hela...
Huyu jamaa nakumbuka alitaka-ga kumwoa mtoto wa Obama. Nadhani ni CIA au FBI ndo walimfanyia mtima nyongo. Sasa kuna pesa kama Bilion 2 alitumiwa watu wamepita nazo na pia 80 million yake wamegawana watu wakubwa sana nchini pamoja na wakuu wa shule wote nchini.
Kuna Wachaga na Makanisa...
Hii kitu ipo na Sisi wanaume
Mambo mengi kichwani unawaza wa kwambia mbanga zako lakini unaona huwenda yeye akawa anapanga nzito kuliko wewe.
Mmkaa meza moja mnakunywa nyagi wanaongea Kwa furaha lakini wewe unajitahidi uwe pamoja nao kiakili lakini daah Moyo na akili vinakataa unajilazimisha...
Wakuu Kuna app imeanzishwa tz ambayo ipo playstore na app store inaitwa tapchap hapa wanakutana kati ya mtoa huduma na muhitaji huduma,
Mfano mtu anataka mtu wa kumfanyia usafi,fundi n.k wanakutanishwa na app na kuelewana na muhusika kwenda kufanya kazi husika
BECOME A SERVICE PROVIDER ON...
Wazigua watani zangu wanapenda kusema mwanamke msingi kiunoo. Hii inamaanisha siyo lazima uwe na makebo hapana ila uwe flexible siyo unakutana na binti kiuno kimekauka utafikiri ni ngozi ya kulalilia.
Mishangazi itaendelea kuchukua pointi 3 maana ilishafundwa unyagoni ila nyinyi kizazi cha...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amewavunja watu mbavu wakati akielezea kuhusu umuhimu wa mipango miji katika mkutano wake na watendaji wa mitaa, kata na wenyeviti wa serikali za mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Posta jijini Dar es...
Ukiwa na hela, ukiona watu wamejazana kwenye mahoteli wanakula bata unasema Uchumi unapiga hatua, watu wana pesa. Ukiwa huna hela unasema Hawa raia wanatoa wapi hela wakati hali ni mbaya hivi?
Ukiwa na hela, mafuta yakipanda bei unasema Hii ni hali ya soko la dunia Ukiwa huna hela unakuwa na...
Wanaocheza efootball wanasifa hizi
1. Wanaishi kwenye nyumba za ukoo
2. Wanaishi kwa kutegemea boom
3. Wanaishi kwa hisani ya aviator
4. Wanaishi kwa shemeji zao
5. Hawana akiba hata ya afu 10 ndani, bank au kwenye simu
6. Kubet ndo chanzo kikuu cha mapato
Katika hayo mambo 6 kila mchezo...
Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
awamu
bei
biashara
halali
hata
hii
huna
katika
kazi
kazi halali
kubwa
mafuta
mapambio
mitandao
mtu
nchi
pesa
position
sana
serikali
tanzania
teuzi
uzuri
wakosoaji
wanajua
wanaofanya
wengine
wewe
wizi
wote
Mwendo hujaumaliza bali umeunajisi. Ni heri kufa kuliko kuishi kufanya ubatili kama uliousoma jana mbele ya MUNGU wa Mbinguni.
Heri kufa ukiwa na heshima yako kuliko kufa na aibu kama hii na hela nyingi bank! na mtumwa wa mtawala Muuaji.
Fikiria mtoto wako, damu yako ameptwa na tatizo la kiafya. Matibabu yake ni shilingi laki 8, lakini huna pesa. Unashuhudia kila pumzi yake ikijaa uchungu, bila kuwa na uwezo wa kumsaidia, ni huzuni ambayo inavunja moyo kwa kiwango kisichoweza kuelezeka.
Fikiria familia yako, wakiketi mezani...
Mazungumzo ya wachungaji, mashehe, wanasiasa ni kana kwamba mwanaume kukoswa pesa ni jambo la kujitakia na uzembe.
Mtu wa namna hii hupuuzwa na kushambuliwa kama ni mvivu hata kama ni kipindi cha mpito anapitia.
Hii tabia inawaweka wanaume wenye changamoto za kiuchumi katika hali ngumu sana...
Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka
Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara
Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
Sanaa ya ukunaji ni wachache wamejaliwa nayo .Ukunaji sio lazima uwe dushe kubwa ila ufundi tu Asa utakuta unampatia mwanamke unamkuna vizuri mpaka anaridhika ila huna mavumba huwezi kutatua mambo yake ya kifedha apo unamchanganya sana mwanamke.
Iwapo Jino lako limetoboka /Kuoza kuna Matibabu zaidi ya Matatu Ya Kulitibia na Likabaki imara kwa zaidi ya miaka 15!.
1. Huduma ya kutibu mzizi wa jino Root Canal Treatment (RCT)
2. Huduma ya kujaza kwa dawa ya mda Mfupi/ mda mrefu
3. Huduma ya kuondoa kiini Cha jino
Hizo njia zote tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.