boniface mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kesho Tar. 16/10/2026 tunaiomba serikali imzuie Mwabukusi kuingia ofisini kutokana na shutuma zinazomkabili

    Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania. kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali )...
  2. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Law organisations stand in solidarity with TLS President Boniface Mwabukusi and call for protection of the independence of the legal profession

    Lawyers for Lawyers, together with the undersigned lawyers’ associations, bar associations and legal professional organisations, expresses our solidarity with Advocate Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi, President of the Tanganyika Law Society (TLS), and expresses our grave concern...
  3. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Taaluma ya Uwakili Tanzania uko hatarini? | Uchambuzi wa kina kuhusu kesi ya Rais wa TLS Boniface Mwabukusi na Matamko ya kimataifa

    Wanabodi, Wadau wa Sheria, Watetezi wa Haki za Binadamu na Utawala wa sheria wote ndani ya JF, Nimeona mjadala huu unaanza kuenea, hasa baada ya taarifa ya pamoja iliyotolewa na mashirika mbalimbali ya kimataifa na kikanda ya mawakili. Nataka niwaeleze kila kitu kwa undani, bila kujificha, ili...
  4. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Taaluma ya Uwakili Tanzania uko hatarini? | Uchambuzi wa kina kuhusu kesi ya Rais wa TLS Boniface Mwabukusi na Matamko ya kimataifa

    Wanabodi, Wadau wa Haki za Binadamu na Utawala wa sheria wote ndani ya JF, Nimeona mjadala huu unaanza kuenea, hasa baada ya taarifa ya pamoja iliyotolewa na mashirika mbalimbali ya kimataifa na kikanda ya mawakili. Nataka niwaeleze kila kitu kwa undani, bila kujificha, ili tujue kinachoendelea...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Msajili wa Vyama, sajilini vyama vya Gen Z, msipofanya hivyo wataunda Vikundi vya Waasi!

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuongeza usajili wa vyama vipya ili kutoa nafasi kwa kizazi kipya kushiriki katika siasa. Mwabukusi amesema vijana wanapaswa kupewa fursa ya kuwa na vyama vinavyoendana na mitazamo na...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

    Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika. TLS iliwahi kuongozwa na...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi: Hongera Shaheen, Usipojisimamia Utasimamiwa.

    Matukio ya Oktoba 29, 2025 yalikuwa mauaji ya kinyama, ya kifashisti na shambulio kubwa dhidi ya raia wengi wasio na hatia. Huu ni ukweli ambao historia itaendelea kuubeba, na hakuna propaganda wala upotoshaji unaoweza kuufuta. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba badala ya kutafakari kwa kina...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

    Wanabodi TAARIFA KWA WANACHAMA KUHUSU SHAURI LILILOFUNGULIWA DHIDI YA RAIS WA TLS WAKILI BONIFACE ANYISILE KAJUNJUMELE MWABUKUSI KWENYE KAMATI YA KITAIFA YA MAWAKILI (NATIONAL ADVOCATE COMMITTEE) Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa masikitiko makubwa linawajulisha...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Tunahitaji ukweli uliokamilika waliotekwa wako wapi? Na wa 'Mauaji ya Halaiki' ya Oktoba 29, 2025

    Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola na taasisi za usimamizi wa uchaguzi kutoa majibu ya haraka kuhusu kile alichokiita "Mauaji ya Halaiki" na upotezwaji wa miili ya raia uliotokea Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa taifa haliwezi kupona...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rasmi Kesi iliyofunguliwa na TLS kupinga amri ya IGP kuzuia watu kutoka nje Oktoba 29 imetupiliwa mbali na Mahakama Kuu

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilifungua kesi mahakamani kupinga amri ya Mkuu wa Polisi (IGP) ya kuzuia watu kutoka nje (curfew) wakati wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025. Lakini, Mahakama Kuu imeiamua kuitupa kesi hiyo kapuni bila hata kuanza kuijadili. Hizi ndizo sababu tatu (3)...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi: Iundwe Tume huru ya kulichunguza Jeshi la Polisi

    Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana. Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama. Soka na wenzake uchunguzi...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Boniface Mwabukusi: Matamshi ya Lissu yalikuwa na Uhaini ndani yake turudi mezani yanazunguzika

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na picha (graphic) inayosambazwa kwenye vikundi vya Facebook ikimnukuu Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Boniface Anyisile Mwabukusi Picha hiyo inadai kuwa Rais huyo amesema matamshi ya Tundu Lissu yana viashiria vya "uhaini" na kwamba...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nikumuona Boniface Mwabukusi akiendelea kukaa pamoja na waliomteka na kumuua Mdude Nyagali naishiwa nguvu.

    Mtu mwenye moyo wenye nyama lazima uwe na maumivu kiasi cha kutokuwa na ushirikiano na wauaji waliomchukua mtu uliyekuwa unatembea nae masa 24 na kufanya harakati. Kwa nini uende kwenye ufunguzi wa siku ya sheria nchini? Unasimama na kuhutubia bila kutaja habari za Mdude Nyagali.
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais wa TLS: Kila anayatakiwa kuwajibika awajibike kwa maslahi mapana ya Taifa letu, viongozi msizungumze kutonesha mioyo ya wananchi

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Vurugu zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kuonyesha dissatisfaction, hakuna kura iliyopigwa kuanzia saa 4

    Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi akizungumza katika mahojiano na Jambo TV leo Januari 9,2026 amesema kuwa Vurugu za Oktoba 29 zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kwa sababu wananchi hawakuridhia michakato ya zoezi hilo. Pia amedai kuanzia saa nne asubuhi hakuna kura zilizopigwa akieleza...
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Kuiba ngoma ya kijiji inaweza isiwe tatizo bali pa kuipiga kwa amani bila wanakijiji kukusikia!

    Anaandika Wakili Boniphace Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X: Kuiba Ngoma ya Kijiji ina weza isiwe tatizo, changamoto kubwa ni kutafuta mahali pa kuipigia kwa Amani bila wanakijiji kukusikia (Msemo wa wahenga). HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI ndiyo pekee vitatutoa hapa tulipo katuka mkwamo huu...
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi: RC Chalamila Stop that!..Yatosha sasa, wewe ni mmoja wa hamasisha vurugu kabla, wakati na baada ya 29/10

    =============================================== CHALAMILA STOP THAT!? NASISI HATUTABAKI KIMYA TENA INATOSHA SASA... Mkumbusheni Albert Chalamila yeye ni mmoja wa wahalifu waliochochea vyombo vya dola kutumia nguvu zilizokithiri dhidi ya Raia. Aelewe kwamba hatutaendelea kuvumilia yeye...
  18. Ileje

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Boniface Mwabukusi ahoji kuhusu kijana aliyehongwa bilioni tano na Mabeberu

    NINAFIKIRI KIJINGA!? 1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume cha Katiba na Sheria? 2.Baada ya Hapo kijana huyu asiye mzalendo kwa manufaa ya mabeberu akaiagiza...
  19. Ileje

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Boniface Mwabukusi: Viongozi acheni kudogodesha mauaji mliosababisha!

    Viongozi wajiepushe na Kauli za Kudogodesha mauwaji waliyoyasababisha kwa kutokuwajibika kwao. Walipuuza Mazungumzo na kudhihaki kila jitihada ya Mashauriano. Watu waliwaona na kutambua Maiti za ndugu zao kwenye picha na mitandao ya kijamii wakiwa wameuawa wana kwenda Mochwari miili hamna bado...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Kutisha mawakili wanaotoa msaada wa kisheria ni kubaka na kunajisi mfumo wa utoaji haki

    Anaandika wakili Boniface Mwabukusi,,, Narudia tena .Hapa tulipofikishwa na utepetevu wa vyombo vya maamuzi pamoja kwa kuharibu demokrasia,uwajibikaji na Utawala wa sheria hatuwezi kutoka kwa Propaganda za tunaonewa wivu? Sijui tuna raslimali chache au nyingi au sijui uzalendo! au sijui dada...
Back
Top Bottom