mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Makirita Amani

  Ushauri: Jinsi ya kutenganisha mtaji na faida kwenye biashara Ili iweze kukua

  Rafiki yangu mpendwa Huwa kuna kichekesho kinachosema kila biashara huwa inalipa ukiwa unasimuliwa. Lakini unapoingia ndiyo unakutana na uhalisia ambao hukusimuliwa. Kichekesho hiki kina ukweli nusu na ukweli wenyewe ni kila biashara huwa inalipa, ila inategemea na namna ambavyo mtu...
 2. Sitachoka

  Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

  Bidhaa unaweza toa Mwanza, Morogoro au Dar kuleta Dodoma, faida ya kila box baada ya usafiri ni 6000 kwa carton kama uko tayari nipigie nikupe maisha utanishukuru na utanifikiria cha kunipa kama shukurani baada ya shukurani. Nipigie simu 0621604087 IKO HIVI Kama una hela nenda Dar chukua...
 3. aldeo

  Mwenye Tsh 40m aje aongeze mtaji tuimport Bidhaa kutoka Kenya

  Wanasema mafanikio ya mwanadamu yapo kwenye taarifa au connection Sasa wana Jf Mwenye utayari wa kuzungusha pesa yake ndani ya muda mfupi aweze kurudisha pesa yake na kuamua kuendelea au lah namuhitaji. Ninahusika nakuingiza Bidhaa flani kutoka Kenya kuja Tanzania soko la hzo Bidhaa lipo na...
 4. Forrest Gump

  MTAJI wa 25m: Pharmacy au hardware

  Wanajamii, Najua zote ni best ideas: ●Hardware ya vifaa vidogo vidogo vya ujenzi ●Pharamcy ya kisasa ■LOCATION: Miji mikubwa au miji inayokuwa kwa kasi. Katika maeneo yaliyokuwa na movement kubwa za watu. Naombeni maoni yenu kutokana na uzoefu na uelewa wenu kuhusina idea ipi yenye return...
 5. Equation x

  Jiajiri kwenye hii biashara hata kama huna mtaji

  Najua wengi wana akaunti katika mitandao ya kijamii; sasa ni wakati wa kutumia hiyo mitandao kuingiza pesa. Anza hivi:- No. 1 Tengeneza 'database' ya mambo yote yanayohusu ujenzi Ingia makubaliano na hawa mafundi:-...
 6. Husninyo

  Mwenye mtaji wa milioni 20 na hana business idea

  Hellow... Kuna fursa katika biashara ya kukopesha watu. Kama una mtaji wa milioni 20 na upo interested na hii biashara njo inbox tuyajenge zaidi. Wateja wapo wa uhakika waliochunjwa kabisa hawana longolongo za marejesho. Kama unaogopa risks za business tulia Tuli. Kama una tamaa ya kutajirika...
 7. Replica

  TTCL ina deni la bilioni 403 ilhali mtaji bilioni 243

  Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limelemewa na deni la Sh403 bilioni ilhali mtaji ilionao ni wa Sh243. Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Japhet Hasunga amesema hayo jana Jumatano Oktoba 20, 2021 baada ya kuipitia ripoti ya Mdhibiti na...
 8. AA TANCH TRADING COMPANY

  Biashara za mtaji mdogo ukiwa chuo. Anza kujifunza kuhusu biashara mapema

  Wewe kama mwanafunzi wa chuo, una nafasi nzuri ya kufanya biashara. Kutokana na wingi wa watu waliokuzunguka na kuwa na uwezo wa kujua mahitaji yao. Kwanza inakubidi kutambua mahitaji ya kila siku ya wanafunzi wenzako. Nikimaanisha kuwa mara nyingi mahitaji yako ya kilasiku, ndio mahitaji ya...
 9. AA TANCH TRADING COMPANY

  Biashara 5 bora za mtaji mdogo za kufanya ata ukiwa nyumbani

  Kuanza biashara kunahitaji maandalizi. Nikimaanisha unahitaji kuwa na maarifa flani tofauti kulinganisha na wale uliowakuta ili ata nao pia wajifunze kutoka kwako. Ikiwezekana na wewe uendelee kujifunza kutoka kwao. Kwenye kipengele hiki tutaenda kuangalia namna ya kufungua biashara ukiwa...
 10. Allen loy

  Namna ya kuanza biashara na mtaji mdogo

  Watu wengi wamekuwa wakitamani kuanza biashara lakini wanafikiri namna ya kuanza kwani mtaji wao ni mdogo sana. Usiogope; kuwa na mtaji mdogo au kutokuwa nao kabisa sio mwisho wako wa kutimiza malengo yako. “Usilie juu ya kile ambacho huna; tumia vizuri kile ulichonacho.” Zipo mbinu mbalimbali...
 11. R

  Story of Change Shairi: Amkeni Mwokoe Nyakati

  1. Nawaandikia ninyi vijana, kwa maana mna nguvu, Yalinenwa na Nabii Yohana, akijua mtafuzu, Lakini kumbe hamjafana, fursa mwachezea ka’ fuvu, Tena ujana mwautafuna, paso kuwekeza nguvu, Amkeni mwokoe nyakati, kwani zakimibia ka’ mshale. 2. Eti mshikaji sina ishu, nimeamua kula gudi...
 12. M

  Story of Change Akili na ubunifu ndio mtaji mkubwa kuliko fedha

  AKILI NA UBUNIFU NI MTAJI MKUBWA KULIKO FEDHA Habari za muda huu wanajamii forum leo katika jukwaa hili la story of change nina mada ninayoiwasilisha kwenu naombeni muipokee na ikaweze kubadilisha au kuongezea kile mlichonacho. Kwanza kabisa nianze na hadithi fupi kisha tuendelee na mada yetu...
 13. Inck

  Story of Change Sababu za partnership kufeli katika biashara na mbinu za kutumia ili kudumisha ushirika katika kufanya biashara

  Habarini wanaJamiiForums Ni imani yangu mko salama. Leo napenda kuangazia suala zima la collabo au partnership katika kutafuta mitaji. Kutokana na ugumu uliopo katika kupata mtaji wa kuanzishia biashara, hasahasa kwa wahitimu wa chuo, collabo baina ya watu wawili au zaidi inakuwa ni moja ya...
 14. Haya_Land

  Ni vizuri watu mkawa makini Mtu kama Mh. Mbowe yuko na Mtaji wa watu hivyo kutaka kumpoteza nikujilisha upepo tu.

  Unfortunately hii Serikali inajilisha upepo , kupoteza Fedha na hela za walipa kodi kwa ajili ya kulifuta jina linaoitwa Mbowe ni kujidanganya. Hii ni sawa na mtu kuchota maji mtoni na kuyapeleka baharani. Mbowe yuko na back up ya watu almost Million 30 Tz na nje. Mimi naona hii ligi...
 15. A

  Je naweza kuanzisha mgahawa kwa mtaji wa shilingi ngapi katika jiji la mwanza

  Naweza kuanzisha mgahawa kwa mtaji wa shilingi ngapi katika jiji la mwanza
 16. O

  Story of Change Nitafanya nini sasa na wakati sina mtaji? Sijui nianzie wapi, wala sijui pia nikakope kwa nani?...

  Haya ndiyo mengi yanayotawala katika vichwa vya watu wengi, kutokana na kila mtu anawaza kwa namna yake. Tatizo la ajira limeifanya jamii itafute njia thabiti itakayoweza kuwakomboa watu katika janga hili la ukosefu wa ajira. Lakini swali la kujiuliza vipi litamalizika tatizo hili katika bara...
 17. Masoktz

  Kwa Mtaji wa Milioni 10-Anzisha Biashara hii

  Habari za wakati huu; Leo nimekuwa na mazungumzo na rafiki yangu mmoja aliyeko nje ya nchi na katika mazungumzo yetu aliniambia kwamba anapata shida sana kupata taarifa za kuvutia kuhusu Tanzania,hasa kuhusu utalii,mitindo ya maisha,utalii.Anasema katika ulimwengu wao wanategemea sana mtandao...
 18. CWS

  Story of Change Nilivyotengeneza kipato kwa mtaji wa Tsh 50,000 tu

  Habarini wakuu. Najua kuna wimbi kubwa sana la vijana wasio na ajira. Hata wanaothubutu kujiajiri nao bado wanapata changamoto mbalimbali na mitaji yao inapotea pasipo kufanya jambo la maana. Hebu soma kisa changu. Ilikuwa ni mwaka jana(2020) mwezi wa saba nilipoamua kutoka mjini na kuhamia...
 19. S

  Mke wangu alibadilika baada ya kumfungulia biashara. Nifanye nini kuokoa ndoa yangu?

  Habari za Jumapili wanajamvi. Niende Moja kwa Moja kwenye mada inayoniumiza kichwa mpaka nakosa amani ya moyo kwa muda wa week sasa. Mimi na mke wangu tangu tufunge ndoa huu ni mwaka wa tisa. Hatukuwahi kuwa na migogoro mikubwa ingawa mikwaruzano ile midogo ilikuwepo. Sasa katika kipindi cha...
 20. Ephraim fundi umeme

  Naomba kujuzwa mtaji unaotosha kufungua duka la vifaa vya umeme

  Habari, naitwa Ephraim nikijana mdogo nimetoka VETA miaka miwili nyuma natamani nifanye biashara ya kuuza VIFAA VYA umeme Maana ndio taaluma niliyosoma kwa ngazi ya cheti Na level III. Pia Ni fundi mzuri naweza kufunga wiring ya nyumba vizuri from the scratch mpaka finishing. Changamoto...
Top Bottom