Bunge la Tanzania lina zaidi ya wabunge 100 wa viti maalumu. Hawa watu mchango wao ni upi kwa Taifa? Nikweli nchi yenye uchumi wa chini kama Tanzania tunahitaji kurundika watu wote hao bungeni?
Ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima, idadi hiyo ipunguzwe hadi idadi ya wabunge wa viti maalumu...
Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe.
Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
huyu
kipindi
mambo
mambo ya
mambo ya ndani
mzigo
naomba
ndani
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
sio
suluhu
tatizo
waziri
Awamu zote hiii awamu kiboko Ina viongozi mzigo kuanzia kitongoji mpka huko juu kwenye mihimili wana uwezo mdogo sana IQ na EQ zao kwakweli zinatia mashaka makubwa sana.
Jamani hata kama mlijichagua bila kuchanguliwa na wananchi ndo...
Uongozi Alsaedy High Class tatueni kero za abiria wenu, mtapoteza wateja.
Mimi ni abiria ambaye napenda kutumia usafiri wa bus la Alsaedy high class kwa safari zangu za Dar-Iringa, Iringa-Dar. Mnamo tarehe 9/6/2026 nilisafiri na familia yangu kutoka Dar es salaam na bus la Alsaedy linalotoka...
Bila uwekezaji wa DP World hii volume ingekuwa ndoto maana target ilikuwa kuhudumia Tani mil.30 by 2030 lakini target imefikiwa miaka 4 kabla .
Kwa sasa Bandari ya Dar ni Kimbilio sio njia mbadala Mombasa ikifeli.
Haya Sasa ndio maamuzi ya Tija Kwa Nchi, Serikali ingesikiliza zile kelele za...
Bus za shabiby zimepoteza na zimeharibu mzigo wangu nimefuatilia kwenye uongozi nimeambiwa ni shida ya Kondakta na ni mwezi umepita sasa tangu mzigo wangu kuharibika na mwingine kupotea hamna anayewajibika hata kidogo.
Kwa wakati huu ambao usafirishaji wa mizigo kati ya Dom na Dar umeongezeka...
Kuna kitu watu wengi huwa hatukikubali. Ukimweka mtu moyoni kwa chuki, hasira au maumivu aliyokutendea, mara nyingi si yeye anayeteseka bali ni wewe mwenyewe.
Fikiria mtu anayetaka kupanda mlima huku amebeba magunia mazito mgongoni. Atafika juu kweli, lakini kwa shida sana. Ndivyo ilivyo kwa...
Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana
1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea
2. Utekaji wa kitoto
3. Mauaji
4. Machawa
5. Undugu
6. Unzanzibari na Ubara
7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi
Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
Wasalaam
Hii ni story ya kweli ambayo imetokea kwenye maisha yangu napenda nishare nanyi kisa hiki kifupi ili tujifunze na tuburudike.
Mnamo mwaka 2019 nilimaliza elimu ya digrii katika chuo maarufu hapa daslam. Kutokana na hurka yangu ya kupenda kujumuika na watoto kwenye mambo mbalimbali...
Kwanini daladala za Mbeya wanachukua nauli shs 1000 badala ya nauli halali ya shs 700-800.
na wakati umbali hauzidi hata km 10 ??
Mfano kutoka Uyole hadi Kabwe au Mwanjelwa ni Km 7 lakin tunalipa 1000, lakini pia hata ukiwa unashuka vituo vya njiani wanatoza 1000
pia kituo hadi kituo nauli...
Pius Msekwa alipata kusema kumvumilia kiongozi mbovu kwa miaka mitano ni bahati mbaya sana kwa Taifa na huenda taifa hilo likazama shimoni milele lisiinuke tena.
Pale ambapo taifa limepata ajali ya kuongozwa na kiongozi asiye na karama/karisma maafa ya kila mara na yanayoacha kumbukumbu mbaya...
Nilifurahi kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya kuwa Kinara wa Dhana ya Urekebishaji wa Wafungwa Magerezani kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Patrobas Paschal Katambi kwenye hafla ya hafla ya kuhitimisha...
Rais Samia amesema;
"Waheshimiwa viongozi na Watanzania wenzangu, wakati nikielekea kuhitimisha nataka nikiri kwamba mimi binafsi sikutaraajia kadhia hii ingetokea kwenye nchi yetu kipindi hiki nikiwa kiongozi mkuu wa nchi. Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu. Lakini nataka...
Kenya iko kwa dilemma kubwa sana kwa sector ya education. MPs sasa wanauliza swali direct—is education still free or ni slogan tu? Hii inakuja baada ya Basic Education PS Julius Bitok kufichua kuwa kuna underfunding ya karibu Ksh77 billion kwa secondary schools.
Kwa ground, reality ni tofauti...
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly, akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27, amelitaka Bunge kukataa bajeti ya zaidi ya shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali mpya ya Muhimbili akishauri...
watu hurogana kwa aina nyingi za uchawi ila kuna huu uchawi mwengine ambao wengi hamjawahi kuusikia
KUPEPERUSHWA - Ni uchawi wa kumsahaulisha mtu asifuatilie mali zake
Baadhi ywa watu wanapojenga nyumba zao huwa wanaweka watu wengine kuwa walinzi wa nyumba zao , lakini ujenzi ukikamilika...
Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma tunakabiliwa na uhaba mkubwaa wa Watumishi wa afya inayosababisha kufanya kazi kuliko inavyotakiwa, mfano tunakosa hata muda wa kuwa na jamii, hali hiyo inatufanya tuchukie kazi na lawama zote zinakuja kwa Watumishi wakati tunafanya kazi kwa mazingira magumu na...
Anonymous
Thread
afya
kazi
mzigo
ruvuma
tuna
tunduru
uhaba
watumishi
watumishi wa afya
wilaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.