pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Fundi Pikipiki Dar es salaam Kunduchi

    Natafuta Fundi Pikipiki mwenye uzoefu, mwaminifu na mweledi wa kazi yake, ambaye yuko tayari kufanya kazi nasi. 📍 Eneo: Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam Mtu mwenye sifa hizo na ambaye yuko tayari kufanya kazi, tafadhali wasiliana nami kupitia: 📞 0657 736 223 📧 wilsonbernard255@gmail.com Kwa...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wadada/mama mnaoendesha pikipiki Tafadharini sana zingatieni Sheria za barabarani.

    Kuna wimbi kubwa sana la wadada na wamama kuendesha pikipiki hizi za kuchaji kati kati ya miji. Kwangu Mimi naona ni jambo jema lakini wengi wenu hamzingatii kabisa Sheria za barabarani na Nina uhakika hamzijui kabisa. Nimeshuhudia tukio Moja la dada mmoja kugongwa na gari akikatiza pasina...
  3. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari

    Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari, Amewahi kufanya kazi tofauti tofauti kama ilivyo kwa vijana wengine, Na moja ya kazi niliowahi kuifanya ni kazi ya bodaboda, Ambayo mwisho wa siku...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Zichukua Hatua Dhidi ya Vijana Wanaobadilisha Exhaust za Pikipiki na Kusababisha Kelele Kubwa

    KERO YA BAADHI YA WAENDESHA BODABODA Tunaiomba mamlaka husika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya baadhi ya vijana wanaotumia pikipiki zilizofanyiwa marekebisho, hususan kwenye mfumo wa exhaust, hali inayosababisha pikipiki hizo kutoa kelele kubwa kupita kiasi tena vijana hao walivyo na sifa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu ilipo ofisi ya Kampuni ya mabasi ya Mozaico jijini Dodoma na Mawasiliano yao.

    Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Gari la kusafisha pikipiki kutoka Dodoma Hadi Ngara Kagera.

    Nahitaji usafiri wa gar kwa ajili ya kusafirisha pikipiki kutoka Dodoma kwenda Ngara - Kagera.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya Vonte tank 1 and 2 ni nzuri kwa matumizi ya kawaida?

    Habari wana Jf,kuna pikipiki naziona mtandaoni na zimenishawishi kutaka kuzinunua maana zinavutia,jee nahitaji kufahamu kwa wale wenye uzowefu nazo hizo pikipiki zinaitwa Vont tank 1 &2 zina cc 150 ila top speed yake mi 140 zinafanana na Honda ADV tatizo la Honda bei ni kubwa sana. Wazoefu...
  8. Jay_wa_tz

    JamiiForums Tanzania PIKIPIKI YA SIMORAY 250 ADV

    Wadau naomba kujua hivi ni kwanini pikipiki ya sinoray 250 ADV watu wananunua sana na kuuza sana maana namba F zinazouzwa used ni nyingi sana.... Zinashida gani hasa?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye GEREJI YA PIKIPIKI nataka kuweka DUKA LA SPEA za pikipiki pembeni yake

    Habari wataftaji wenzangu. Natafuta fremu niweke spea za pikipiki hivyo kama unajua sehemu kuna gereji ya pikipiki kwa dar ila hamna duka la spea nijuze. Pia kama wewe ni fundi mzuri tushirikiane wewe uweke gereji yako pembeni na mimi niweke duka tusaidiane wateja. Nawasilisha.
  10. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa pikipiki

    Campuni gani ya pikipiki yenye muundo wa kisasa cc 125 yenye mfumo wa push rod kwenye injini yake badala ya timing chain
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhalifu unaofanywa na baadhi ya waendesha pikipiki mtaa wa Kibamba Luguruni

    Naomba mamlaka husika zichukue hatua dhidi ya baadhi ya waendesha BODABODA wanaoweka vijiwe visivotambulika katika mtaa wa KIBAMBA LUGURUNI ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu na kuwatishia usalama wakazi. Kumekuwa na matukio ya uporaji,wizi na unyang’anyi yanayohusishwa na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo maalumu kwa watumishi wa umma wa bajaji pikipiki na GUTA bila KIANZIO wala mdhamana.

    Hello Naomba kuwasilisha tangazo maalumu kwa watumishi wa umma wote ambao wanahitaji kujiongezea kipato au kuwa na kazi nyinginevya ziarah ambayo itawasaidia kupunguza gharama za maisha. Tangazo hilir linahusiana na mikopo ya bajaji pikipiki na GUTA. Mkopo Hui hauhusishi mdhama wowote au...
  13. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ipi ni bora zaidi?

    Wakuu nataka ninunue pikipiki kwa ajili ya matumizi binafsi, yaani usafiri binafsi nk. Nataka ninunue pikipiki ambayo itakuwa nzuri hasa katika mazingira ninayoishi ambapo kuna barabara nyingi za vumbi na vilima/miinuko kwa wingi. Naomba ushauri kwa wataalamu na wenye uzoefu wa pikipiki ili...
  14. Mdudubitehunter

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha Umiliki wa Pikipiki niliyonunua

    Wakuu Wasalam, Nimenunua Pikipiki kwa mtu hapa Morogoro Mjini. Nahitaji kubadilisha Umiliki ili nyaraka zisome majina yangu, Naomba wenye uelewa wa process ninazotakiwa nipitie na gharama za kukamilisha mchakato huo. Natanguliza Shukran 🙏
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Pikipiki mpya za Umeme Verge TS, zina range hadi ya kilometa 600 kwa full charge. Bei yake hadi Tsh. Mil 130 tu!

    Verge Motorcycles, kutoka Finland maarufu kwa kutengeneza pikipiki za umeme zisio za hubs (kwahiyo haina nyororo wala belts, na motor iko connected na tyre ya nyuma direct) wamekuja na pikipiki tatu za Verge TS. Verge TS: Hii ndio base model, ina 107 hp, 0-100 kwa 4 sec, top speed 180 km/h...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ni tishio sasa, bora wangezingatia mara ya kwanza kuzibiti sheria (leseni). Kwa sasa imechukuliwa kama baiskeli kwa kila mtu

    Mabadiliko ya usafiri kwenye swala la pikipiki yamepokelewa na watu wengi hususani wale wenye vipato vya kati na chini. Lakini limekuwa tishio kwa sasa.Uwelewa wa matumizi ya barabara asilimia kubwa wanaotumia vifaa hivi wengi sio waelewa na wala matumizi ya barabara hawatahamu. Jambo...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ada ya usajili wa pikipiki kuongezeka kutoka Shilingi 95,000 hadi Shilingi 150,000

    Serikali inapendekeza marekebisho ya Kodi na Ada za Pikipiki (Bodaboda) 2026/2027. Serikali imeamua kutowaingiza wafanyabiashara wa pikipiki (bodaboda) kwenye mfumo wa kodi ya makadirio (presumptive tax), kutokana na ugumu wa utekelezaji wake kwenye sekta hiyo. Badala ya kodi hiyo, Serikali...
  18. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Shida ni Pikipiki au Udereva?

    Wasalaam. Pikipiki ni usafiri wa haraka na pia imetoa ajira kwa vijana na faida kibao. Haipiti mwezi bila kusikia kifo kilichosababishwa na piki piki. Shida ni nini?je ni asili ya piki piki au udereva au miundombinu?
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Mashindano ya Pikipiki, mnaangaliaga “Isle of Man TT”? Mashindano ya vyombo vya moto ya Hatari zaidi Duniani!

    Ikija kwenye mashindano ya vyombo vya moto, hii Isle Man TT ndio deadliest motorsport event. Toka ianzishwe 1911 ishaondoka na maisha ya riders zaidi ya 260. Ni event ya mashindano ya superbikes inayofanyika mara moja kwa mwaka, mwezi wa tano au wa sita (huu mwaka imefanyika wa sita), katika...
  20. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Kwanini pikipiki hizi used zinauzwa kwa wingi?

    Mitandaoni na hata mitaani pikipiki zilizotumika (used) za aina ya Boxer zinaongoza sana kuuzwa. Nimekuwa nikitafakari na kujiuliza kwa nini Pikipiki za Boxer used zinauzwa kwa wingi? Sababu ni nini hasa ukilinganisha na pikipiki nyingine ..
Back
Top Bottom