kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kesho atapatikana Rais kutoka kundi hili

    Look, kabila gani? Kesho kuna rais wa nchi hapa hapa!
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mali na madaraka isikufanye upoteze , udhulumu haki ya mwingine . Kesho una la kujibu mbele ya Allah .

    Mali na madaraka ni vitu vya kupita, tamaa ya mali na madaraka isikufanye udhulumu , ushiriki au kushadadia haki ya mwingine ya kuishi ikipokwa. Kila mja ni mchunga na mbele za Mwenyezi Mungu ataulizwa alichokichunga.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu alipoteza kitabu chake cha kiongozi cha mwalimu, tuliwekwa juani na kuchapwa kumbe kakisahau kwa mtoto wake

    kuna siku shuleni mwalimu wa Historia aliibiwa kitabu kile cha kiongozi cha mwalimu, kile ambacho huwa wanapewa vya kufundishia vinakuwa na majibu na baadhi ya mifano. Kilitafutwa shule nzima akawa anasema wanafunzi tumekiiba, akatuzuia shule nzima kuingia madarasani tukapigishwa magoti juani...
  4. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Watanzania! Tutapanda mti gani leo, ambao watoto wetu watakula matunda yake kesho?

    Maono ya Waraka wa masaa 120 ya mwezi September 2026 kutoka kitabu cha wenye mamlaka (Waamuzi). Tazama, siku zitakuja ambapo watu wa nchi watakusanyika katika majira ya mashaka, na nyoyo zao zitajawa na maswali kwa sababu hawatajua yaliyo mbele yao. Nao watasema, “Ni nani atakayetutangulia? Ni...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sandaland kuongea na wanahabari kesho. Ni kuhusu Makonda kuingilia mkataba halali na TFF

    Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili asubuhi. Hata hivyo kupitia taarifa yake kwa Umma, Kampuni hiyo ambayo ndiyo yenye tenda ya jezi za Timu...
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania KKKT kesho tunaombea Super-El nino!!

    Maelekezo ya kutoka juu ni kuanzia kesho tunaanza kuombea Super El-nino. Msikose
  7. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Kingai aliyejenga nyumba ya Mungu kijijini kwao kesho anakwenda kuchuma dhambi

    Amejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili Lissu anyongwe
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Naisubiria kwa hamu hio press ya lema kesho

  9. Q

    JamiiForums Tanzania Lema kuongea na vyombo vya habari kesho

    Kesho saa sita mchana nitakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Golden Tulip. Waandishi wa habari wote mnakaribishwa. Karibuni sana. Godbless Lema.
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hakuna tumaini la kesho bora wewe kijana uliewekeza katika upole na unyenyekevu maana wanaokusubiri mchezoni hawakutazami kama mstaarabu bali mnyonge

    Katika hii dunia ambayo walio top ya foodchain ni fisi tena fisi wenyewe wana hurka ya kula mnyama akiwa hai, yaani hawa kabi kwanza shingo ufe, unaanza kuliwa huku ukishuhudia. Ndoto za watu wengi zimepotea kwa kuingia katika huu mchezo wa maisha kwa style ya ustaarabu, kuna tofauti kati ya...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Siasa za ROT zimenishinda nguvu. Leo hii mtu anabizwa, kesho anatoa pongez, kesho kutwa anatoa pole, siku zijazo wanaungana, siku zifuatazo wanaachana

    Hakuna tumaini la mnyonge katika hili bara la afrika. Its a circous.
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Acha Yaliyopita, Ishi Sasa: Jenga Kesho Yako

    Wakati mwingine tunashindwa kupata amani katika maisha ya sasa kwa sababu akili zetu bado zinaishi kwenye yaliyopita. Kuendelea kurudia yaliyotokea, au kujuta hakubadilishi matokeo; kunachukua tu muda na nguvu ambazo ungeweza kuzitumia kujenga maisha yako ya leo na kesho. Kuachilia yaliyopita...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma unazinduliwa kesho Spetemba 8, 2026

  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Suala la Nchimbi kufukuzwa CCM: Vijana msijimalize, kuna kesho!

    Vijana wenzangu, Nchimbi siyo mwanasiasa mdogo, msijimalize kwa kuwa mnasaka ugali kwa sasa. Mnataka kuwafurahisha walio juu sasa hivi, kesho hawatokuwepo. Kumbukeni nyinyi bado ni machalii wadogo, kuna kesho wakuu. Zibeni ndimi zenu, usiku mwema.
  15. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Vipi kesho tukaambiwa hana nia ya kuendelea na kesi ilikuzima hili la leo

    Hili haliwezi kupita hivi hivi,kuna mjadala wa mrithi unakuja, huko kwenye chama wanasema katibu nae ana unga tela, mrithi anaweza kutoka pasipo tarajiwa, sasa ili kuzima yule mjamaa akasema hana nia na kesi si mjadala utahama ?
  16. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Life ngumu mwanangu, lakini kesho yetu ipo

    Katika haya Maisha kuna up and down nyingi saana. Unajikuta unapata Hela lakini mwisho wa siku inapotea unaanza upya Tena na kujipa Imani utatoboa Tena. Huwa simcheki bro anaekoto makopo ili aende akauze kwajili ya kupata mkate wake.Kumbuka hela haitaki mwanaume muwoga kwahiyo bro acha uwoga...
  17. John Sin

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha nyinyi ma faithfool kesho ni siku ya kutapeliwa, na mshapokea mshahara

    Picha inajieleza Taikuni la kuwastua wanaotapeliwa kiimani hasa wakristo Kubwa la Maadui
  18. Think2

    JamiiForums Tanzania Benchi la ufundi la Simba SC Kesho msituangushe

    Kwa watu wa ball you bella wochi you back once again chondechonde kwa. benchi la ufundi la wanasimba tunaomba huyu dogo asicheze kama. Kweli tuko serious na kusaka ubingwa Semfuko huyu dogo asicheze kabisa ikibidi tumtoe kwa mkopo kule pamba jiji anatuchomesha sana ile penati dhidi ya pamba...
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Leo ndio leo! Je, Tundu Lissu ana kesi ya kujibu? Niliwahi shuhudia Miraji akimkwida Kikwete!

    Nina mengi ya kuandika kabla ya saa 3 asubuh ya Leo ili andiko langu liingie kwenye rekodi. Mtoto wa raisi ana nguvu Gani kwa kesi ya Lissu? Je Lissu kuwa huru Kuna madhala Gani kwake? Mbona ridhiwani kikwete hakuwai kuwa mwiba kwa Dr slaa alivyokuwa akimtaja majukwaani live dhidi UTAWALA wa...
  20. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tumsifu YESU KRISTO jumamos ya kesho tarehe 14 tutasherekea kupalizwa mbinguni kwa mama yetu HANGAYA bikira mariam

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tumekombolewa kwa mateso makali sana ya mwana wa MUNGU YESU KRISTO ambaye alipitia katika tumbo la mama bikira isaya 7:14 na pia soma isaya 9:6 Mama huyu bikira alizaliwa katika mji wa daudi mnamo miaka 700 toka nabii isaya kuishi alizaliwa...
Back
Top Bottom