udanganyifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Wamasai waliohama Ngorongoro walalamika zoezi hilo kuzungukwa na udanganyifu, wasema watarudi

    Kiongozi wa wamasai waliohamia Ngorongoro wamelalamikia Serikali kutotimiza ahadi zake huku wananchi hao wakiwa wamevunja maboma yao Ngorongoro na kuhamia Msomera. Wananchi hao 136 wamesema zoezi hilo limezungukwa na udanganyifu, wamemtaka Rais Samia kufuatilia zoezi hilo kwa kuna watendaji...
  2. N

    Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

    Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa mjini siku hizi wanaiita matunzo. Mambo yapo ivyo karibu kila nyanja zinazohusu masuala ya kijinsia...
  3. S

    Je, unajua mahali pa kuripoti ukifanyiwa uhalifu mtandaoni?

    Kuna muda serikali ilichukua hatua muhimu za kupambana na uonevu wa mtandaoni, udanganyifu, na wizi wa mtandaoni kupitia simu za mkononi. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Andrew Kundo, alitangaza hatua hizi: - Kuundwa kwa kamati ya kitaifa ya kudumu kushughulikia...
  4. BARD AI

    Mtandao wa Tigo uliongoza Kurekodi Majaribio Mengi ya Vitendo vya Udanganyifu mwaka 2023

    Ripoti ya Ribo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2023 kulikuwa na Majaribio ya Udanganyifu 21,788 katika Mikoa 29 huku Mkoa wa #Rukwa ukiongoza kwa majaribio 7,666. Aidha, Mtandao wa #Tigo umeongoza kwa kurekodi...
  5. Felix Mwakyembe

    Udanganyifu katika mitihani una historia yake

    Udanganyifu kwenye mitihani una historia yake Moja ya habari kubwa kila yanapotangazwa matokeo ya mitihani ya kitaifa huwa udanganyifu unaofanywa na watahiniwa, hii ni kwa darasa la nne na Saba, kwa elimu ya msingi, kidato cha pili, nne na sita kwa elimu ya sekondari na hata kwenye vyuo vya...
  6. N

    Udanganyifu wa mitihani nchini una historia yake

    Moja ya habari kubwa kila yanapotangazwa matokeo ya mitihani ya kitaifa huwa udanganyifu unaofanywa na watahiniwa, hii ni kwa darasa la nne na Saba, kwa elimu ya msingi, kidato cha pili, nne na sita kwa elimu ya sekondari na hata kwenye vyuo vya taaluma mbali mbali. Ni takribani siku kumi...
  7. Kiboko ya Jiwe

    Udanganyifu kwenye mitihani uhesabike miongoni mwa makosa ya uhujumu uchumi

    Pamoja na yote maishani mwangu kitu kinaitwa udanganyifu kwenye mitihani nakichukia sana. Udanganyifu kwenye mitihani ndio mwanzo wa mla rushwa na fisadi. Kama mtu haogopi kufanya cheating kwenye mitihani huyo mtu katu abadani hatoogopa kula rushwa, hatoogopa kufisadi fedha na mali za umma...
  8. Miss Zomboko

    Bukoba: Mwalimu atakiwa kurejesha Mshahara aliolipwa kwa kufanya Udanganyifu kwa Mwajiri

    Novemba 22, 2023 katika Mahakama ya Bukoba imeamriwa kesi ya Jamhuri dhidi LYDIA KOKUSHOBOKA KAOO, ambaye ni alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Kashai- Manispaa ya Bukoba. Imemtia hatiani kwa makosa mawili la kwanza matumizi ya nyaraka kumdanganya mwajiri kwa kuandika barua kwa mwajiri...
  9. Suley2019

    Uturuki: Boss wa cryptocurrency jela miaka miaka 11,196 kwa udanganyifu

    "Bosi wa sarafu ya Kidijitali (cryptocurrency) nchini Uturuki na ndugu zake wawili wamefungwa kifungo cha miaka 11,196 kila mmoja kwa udanganyifu dhidi ya wawekezaji ambao walipoteza mamilioni ya dola. Faruk Fatih Ozer, mwenye umri wa miaka 29, aliikimbia Albania mwaka 2021 na mali za...
  10. Russia is not your enemy

    Niambieni sio kweli Udanganyifu kwenye mishahara

    Kama nyongeza hakuna ...hata ongezeko la mwaka (annual increment )hamna?? Sii kweli
  11. BARD AI

    Maana ya Vitendo vya Rushwa, Ubadhirifu na Udanganyifu

    Kwa mujibu wa “Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa na Mpango wa Utekelezaji wa Awamu ya Tatu 2017-2022 (NASCAP III)”, vitendo vya rushwa vinatafsiriwa kuwa ni kutoa, kupokea au kushawishi moja kwa moja kutolewa au kupokelewa kwa kitu chochote cha thamani kwa maslahi au matumizi binafsi, ili...
  12. OLS

    Serikali imepoteza Tsh. bilioni 1,494.75 kutokana na rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu

    Kupoteza mamilioni ya shilingi katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato ni janga la kitaifa. Inaonekana kuwa Serikali yetu imepoteza shilingi bilioni 1,494.75 kutokana na vitendo vya rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu. Hii ni idadi kubwa sana ya pesa ambayo ingeweza kutumiwa kuboresha huduma za...
  13. benzemah

    Udanganyifu NHIF, Ndugu Waoana Wapate Kadi ya Bima

    MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umebaini kuwapo udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wanachama na viongozi wa dini kwa kufungisha ndoa batili ndugu wa familia moja ili wakidhi vigezo vya kuwamwanachama wa Mfuko huo kama mke na mume. Hayo yalibainishwa jana katika mkutano wa wadau wa mfuko...
  14. SAYVILLE

    Kwa msimu wa 2022/23 Yanga imepata hasara ya zaidi ya Tsh. Bilioni 4

    Kama mnavyojua weekend iliyopita klabu ya Yanga ilifanya mkutano mkuu wa wanachama wake na moja ya ajenda ya mkutano ilikuwa kutoa ripoti ya mapato na matumizi ya mwaka 2022-2023. Kumezuka mjadala mkubwa ambao nadhani na mimi nimechangia sana kuuleta wa kuhoji taarifa zilizokuwa zinasambaa kuwa...
  15. SAYVILLE

    Je, technology ya V.A.R inaweza kutumika kwenye udanganyifu?

    Nimefuatilia kwa karibu matumizi ya V.A.R katika mashindano ya CAF na kusema ukweli huwa sina imani na jinsi zinavyotumika hasa pale timu mojawapo ni ya Afrika Kaskazini. Kwa mfano najiulizaga kwa nini siyo kila replay ya V.A.R huwa inaonyeshwa? Nimeona matukio mengi ambayo mpira unasimama ili...
  16. Hamduni

    468 wafutiwa uanachama wa NHIF kwa udanganyifu

    468 WAFUTIWA UANACHAMA WA NHIF KWA UDANGANYIFU Na Mwandishi Wetu Katika kupambana na udanganyifu unaofanywa na wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wasio waaminifu jumla ya wanachama 468 wa mikoa mbalimbali wamefungiwa uanachama wao kutokana na kubainika na matumizi mabaya ya kadi zao...
  17. B

    Chaguzi za serikali za mitaa ni udanganyifu na uwizi

    Naanza kwa samahani siyo mwandishi mzuri. Cha msingi, ujumbe ufike moja kwa moja kwenye hoja. Nilitaka kushiriki chaguzi za mitaa zilizopita, nikanyimwa kupiga kura kisa sina kadi ya chama. Hivi kila Mtanzania ana chama, hili suala ni lazima. Mbona chaguzi za mbunge, Rais na diwani hazina...
  18. Roving Journalist

    Prof. Mkenda: Shule nne zilizofanya Udanganyifu Mtihani kidato cha nne 2022 zichunguzwe na hatua zichukuliwe

    Na WyEST MWANZA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa Shule nne zilizobainika kufanya udanganyifu mkubwa katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2022. Prof. Mkenda amesema hayo alipokutana na Wazazi na walezi...
  19. JanguKamaJangu

    Waziri wa Elimu: Udanganyifu wa Mitihani ni sawa na uhujumu uchumi, Watumishi watakaobainika watafukuzwa kazi

    Prof. Adolf Mkenda akiwa katika mkutano na waandishi wa habari Dodoma, leo Februari 8, 2023, amesema: “Gharama za kuendesha mitihani ya kitaifa ni kubwa, kufanya udanganyifu ni sawa na uhujumu uchumi hivyo watumishi wa umma watakaobainika kushiriki katika udanganyifu wa mitihani hiyo...
  20. comte

    Baraza la Mitihani acheni kuua wawekezaji binafsi kwenye elimu kwa kisingizio cha udanganyifu katika mitihani

    Baraza la mitihani limekubuhu kwa tabia ya kufuta na kufungia shule kwa kisingizio cha udanganyifu katika mitihani. Hii inafanyika kwa namna ya kuonyesha kuwa udanganyifu huo unafanyika kwenye shule binafsi tu. Bahati mbaya hakuna uwazi wa namna wanavyofikia maamuzi yao. Kwa kawaida udangayifu...
Back
Top Bottom