maandamano chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Walioitisha Maandamano Julai 7 wana haki, CHADEMA tukiitisha tutatangaza hadharani

    Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akihojia na kituo cha Redio cha VOS Juni 25, 2026 amesema "Walioitisha Maandamano Julai 7 wana haki, CHADEMA tukiitisha tutatangaza hadharani." Heche ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Bara amefafanua kuwa haki ya kukusanyika na kuandamana...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA siyo Chama cha Fujo, wanaotishia kuua Watu ni CCM, Polisi hawachukui hatua

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesisitiza kuwa chama chake hakiamini katika vurugu bali kinafuata njia za kidemokrasia kupata uongozi. Akizungumza Juni 17, 2026 kwenye mahojiano na East Africa Radio, Heche ameeleza kuwa CHADEMA imevumilia uonevu mkubwa, ikiwemo viongozi wao...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CHADEMA wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano wanayoratibu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia maandamano. Kauli hiyo imetolewa leo Juni 13, 2026, Jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi, Uenezi na...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tusiposikilizwa, tutaitikisa nchi kwa maandamano; Lissu aachiwe huru

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, ametoa wito mzito kwa vijana na wanaharakati nchini kuanzisha kampeni kabambe ya kudai uhuru wa Tundu Lissu. Akizungumza leo Aprili 9, 2026, kupitia baraza la kidijitali, John Heche amesisitiza kuwa muda wa kulalamika...
  5. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Watu wengine umewasikia wanasema,"Tutaandamana mpaka pale,tutarudi na Lissu

    Maandamano ya kesho sijui yatakuwa vipi. Kesho atakamatwa Lema na binti yake. Lakini hili ni jambo serious. Hakuna haki katika nchi. Wananchi tunataka kurekebisha. Kesho yanapaswa kuwepo maandamano ya amani. Maandamano lazima yawe ya amani,siyo kila mtu afanye anavyopenda. Watu wengine...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bodaboda, Bajaji na Wajasiriamali Dar wagomea maandamano CHADEMA

    Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Sasa hivi Mwenyekiti (Mbowe) anaitisha maandamano wanaenda yeye na binti yake, Watu wameenda wapi?

    Akizungumzia hali ya uungwaji mkono na Wananchi baada ya kuwasusia maandamano ambayo yamekuwa yakiitishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. "Watu wameenda wapi?, mwaka 2011 (Arusha) kulikuwa na maandamano ya CHADEMA kupinga yaliyokuwa yametokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2010, maandamano...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: CHADEMA yatangaza Maandamano kupinga Ukiukwaji wa Taratibu za Uandikishaji

    Taarifa yao waliyoisambaza kwa vyombo vya Habari hii hapa Maandamano ya amani Jimbo la Arusha mjini ya kupinga ukiukwaji wa taratibu na kanuni kwenye zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga kura la uchaguzi wa serikali za mitaa. Maandamano yataanzia Kata ya SEKEI eneo la Philips na kuishia...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro: Watanzania puuzeni migomo kwa kuwa haina mashiko

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. NDAISABA G RUHORO amewaomba watanzania kupuuza watu wachache wanaohamashisha maandamano nchini hasa wale wanaotumia mitandao kufanya vikao vya kichochezi Mbunge Ruhoro aliyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara, Kijiji cha Kumubuga, Kata ya Nyamagoma...
  10. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Jeshi la Polisi linatumia kisingizio Cha intelelejinsia kuminya haki ya kufanya siasa Kwa chama Cha CHADEMA?

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni haki ya msingi Kwa chama chochote Cha siasa kufanya maandamano ya amani Ili kufikisha ujumbe muhimu Kwa serikali inayotuongoza. Hata hivyo haki hiyo imekuwa ikiminywa na watawala Kwa kulitumia Jeshi la Polisi, Kwa kisingizio tu Cha...
  11. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Dunia ilivyojaa unafiki wanaojifanya wanamsapoti Tundu Lissu na kumdhihaki anapowaita kwenye maandamano!

    Pindi anapojitokeza lissu kutoa tamko flani utawaona watu wengi wanajitokeza kujifanya wapo pamoja nae, lakini Lissu anapowaita wamuunge mkono kwenye jambo mfano ni 23/9/2024. Kila mmoja bila haya wala soni wanamkatalia kweupe kwa kutokuitika wito kuonyesha jinsi walivyo wanafiki hakuna hata...
  12. erasto Samwel

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa polisi kuhamasisha wananchi kushiriki michezo wakati waliwakataza kutoa kilio chao juu ya utekaji na mauaji

    Leo nimepita Mahali fulani nikasikia Gari la matangazo la jeshi la polisi likihamasisha wananchi kujitokeza uwanjani kushiriki michezo na kukaa pamoja kufichua uharifu na mambo mengine. Nacho shangaa juzi tu polisi waliwatisha wananchi wasiandamane kupeleka kilio chao cha masahibu ya kutekwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muda upo upande wenu sana, hakikisheni mnaandaa maandamano tena na tena mpaka yafanyike kwa mafanikio

    Salamu kwenu wanaCHADEMA Nakupeni pole na kuwapa pole wabongo wenzangu kwa matendo ya utekwaji na mauaji ya wananchi wasio na hatia. Kwa kweli nchiyetu kwa sasa hali inatisha, ombea usiingie katika mikono ya hawa chinjachinja, wauaji ambao mikono yao imeloa damu. Niwapeni pongezi kwa jitihada...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hizi ni nyumba za jeshi la polisi

    Hii picha inayosambaa mitandaoni ikionesha nyumba za bati na kuelezwa ni za jeshi la polisi, imekaaje wadau?
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tusikubali kugawanywa kwa sababu za kisiasa

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kuwakataa wale wote wanaotaka kuligawa Taifa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Ameyasema hayo katika kilele cha Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

    Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi. Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza...
  17. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya CHADEMA kwa kivuli cha maandamano

    Rais Samia Januari 2023 wakati akizungumza na viongozi wa vyama vya kisiasa, katika kikao kilichofanyika katika Ikulu ya Dar es Salaam, Rais Samia Suluhu Hassan alitoa tamko la kuruhusu shughuli za nje za kisiasa, ikiwemo mikutano ya hadhara. Wengi waliamini ndio mwanzo mpya wa uhuru wa kisiasa...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanahitaji watu, watu hawajajitokeza Upinzani hamna!

    Wanaukumbi. Maandamano yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza. Swali: 1. Ni uwoga au CHADEMA haivutii Watanzania? 2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini? 3. Bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO? 4. Mbowe...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tanganyika Law Society (TLS): Jeshi La Polisi limekosea katika kuzuia maandamano

    🅻🅸🆅🅴 MWABUKUSI RAIS WA TLS ANAZUNGUMZA MUDA HUU. Rais wa TLS mwanasheria Boniface Mwabukusi akiongoea na waandishi wa habari kuhusu hatua walizochikua kuzuia maandamano ya jana tarehe 23 September 2024 walikosea https://m.youtube.com/watch?v=azUKcQAt0jc Rais wa TLS akiongea na jopo la...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna haki bila wajibu! Haki sio hisani ni stahiki inayopaswa kutolewa. Haki ya kufanya mikutano na maandamano ni haki kakini pia watimize wajibu

    Wanabodi, Kama kawa, Ukiangalia nguvu iliyotumika jana kuzuia maandamano ya Chadema, nguvu hiyo ingetumika kuyalinda maandamano hayo badala ya kuyazuia! Mada ya leo ni kuhusu haki, hakuna haki bila wajibu!, haki sio hisani ni stahiki inayopaswa kutolewa bila kuombwa. Haki ya kufanya mikutano...
Back
Top Bottom