biashara kichaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ku-topup simu ni Biashara kichaa

    Wateja wanaotaka simu latest mfano iPhone 17 kwakua hawana cash wanapeleka simu yao za zamani mfano iPhone 16 kisha wanaongezea hela naona kabisa hawako sawa kichwani Yaani nikupe simu na nikuongezee Mil 1.6 kwahiyo simu yangu (mfano iPhone 16 Pro) inathamani gani? Laki 5 au? Maana huwezi...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusimamia wasanii ni biashara kichaa usithubutu kuwekeza pesa zako huko

    Miongoni mwa biashara pasua kichwa ni hii biashara ya kumsimamia msanii haswa msanii wa muziki . Awali ya yote, wengi hawajui kuna utofauti kati ya sponsor na manager. Manager kiuhalisia inabidi yeye ndiye awe analipwa na msanii ili amsimamie kazi zake lakini kibongo bongo ni tofauti. Kibongo...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Biashara kichaa ya CCM na System yadoda: Mabilioni yapotea, Wameanza kuropoka ovyo huko

    Kila siku tunasema CCM na system uchwara hawawezi kupambana na wakati! Sasa kila kitu kipo wazi! wanaaibika waziwazi, mipango yao yote inawekwa wazi, wananchi wanayajua yote wafanyayo gizani, mabilioni ya pesa zao walizowekeza kuiua Chadema yanaliwa alafu matokeo sifuri🤣🤣🤣 Baada ya CCM na...
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

    Aisee, huku mtaani kuna jamaa alinunua bajaji juzi, akampa dereva ili ampelekee hesabu kila siku. Leo asubuhi bajaji imepata ajali mbaya sana—haitamaniki kabisa. Imeharibika vibaya kiasi kwamba sasa ni ya kuuza kama chuma chakavu tu. Milioni kumi zimepotea kizembe sana. Yule jamaa...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kama umenunua Bajaji ya Milioni 20 ili upewe 20k kwa siku basi unafanya biashara kichaa

    Yaani Kuna watu bwana Hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha Hii ni akili gani? Yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe? Kwanini usichukue hiyo hela ukaenda...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Is the risk worth it ? kununua pikipiki mpya, uitoe kwa mkataba wa faida ya “elf 3 kwa siku”,kisha uigawe bure baada ya miezi 13 ikiwa bado mpya

    Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000 Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja) Hesabu ya siku – elf 10 Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000 Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000 Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Biashara ya usafirishaji wa anga ni biashara kichaa, sijui nani alimshauri Hayati Magufuli

    Hii biashara ya usafirishaji wa ndege ni ngumu sana ndio usishangae taifa kubwa kama USA kupitia serikali yake kutojiusisha na biashara hii. Pesa tulizopoteza kununua madege kwa nchi changa kama hii zingeweza kuboresha viwanja vya ndege kwenye mikoa iliyo na kuitaji huduma na kuita wawekazaji...
Back
Top Bottom