Zamani kidogo, kulikuwa na fundi ujenzi mzee aliyekuwa na ujuzi mkubwa na nidhamu ya hali ya juu. Kwa miaka zaidi ya 30, alijenga nyumba nyingi nzuri na za kifahari kwa moyo wake wote. Siku moja, akiwa amechoka na umri umekwenda, alimfuata bosi wake na kumwambia: "Bosi, umri umenitupa mkono...