tls

GnuTLS (, the GNU Transport Layer Security Library) is a free software implementation of the TLS, SSL and DTLS protocols. It offers an application programming interface (API) for applications to enable secure communication over the network transport layer, as well as interfaces to access X.509, PKCS #12, OpenPGP and other structures.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Tafsiri yake sahihi ni ipi? TLS inasimamia lipi?

    Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mawili (Toyota Land Cruiser Hardtop) yatakayorahisisha utekelezaji wa majukumu ya Chama hicho. Makabidhiano hayo yamefanyika leo...
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kama mnavyolalamika TLS kutumiwa ndivyo ilivyo na kwa wenzenu wamelalamikia kuwa taasisi zote zinatumiwa na CCM ikiwemo INEC

    Kama mnavyolalamika TLS kusema inatumiwa na chadema ndo ilivyo kwa miaka yote Chadema wanadai au kulalamika kwamba taasisi zote za serikali zimekuwa zikitumiwa na CCM au kupokea maagizo kutoka CCM tena wale viongozi wa kuu wa zile taasisi ni mapandikizi ya CCM na nyie mnajiita chama dola kwa...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

    Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika. TLS iliwahi kuongozwa na...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mawakili Wahujumiana: TLS Yaziba Masikio:Nao Waamua kuwa Madalali!

    Mawakili wa Tanzania wamekuwa hawana maana tena , wanahujumiana wao kwa wao, wamekuwa hawaheshimika hata na mamlaka nyingine na wakionekna bora hata wauza pipi kuliko mawakili! SWALI NI KIPI KIMEWASIBU?- Hapa ilianza chuki , pale mwaka 2014 chaguzi za TLS walipojitokeza machawa waliopandikizwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la viongozi wa mawakili wa chapters wa TLS juu ya shauri alilofunguliwa Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Mwabukusi kwenye kamati ya maadili

    Tamko la viongozi wa mawakili wa chapters wa TLS juu ya shauri alilofunguliwa Rais wa TLS wakili Boniface Anyisile Mwabukusi kwenye kamati ya maadili ya mawakili taifa.
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tweet za Rais wa TLS ni aibu kwa Taifa hebu mwenye CV yake aweke hapa

    Ni aibu kubwa kwa mtu kuongoza taasisi kubwa halafu anakuwa ana kesha ana tweet idiotic post kwa umma. Ma advocate tulikosea sana nadhani ni hizi elimu za kukariri tunashindwa kuwa ma critical thinkers, kuchagua bila kutumia akili, bila kutafakari Historia ya mgombea, tunamshukru sana Mh. Rais...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tangu kuanzishwa kwa TLS, uongozi wa Mwabukusi ndio wa ovyo zaidi

    Kwanza watu walikuwa na matarijio makubwa sana kwamba sasa serikali ingeweza kushikishwa adabu na kufuata misingi ya kisheria. Watu walitarajia kuwa zile kesi za kikatiba alizokuwa anazifungua Marehemu Mchungaji Mtikila zingeendelezwa na kuishikisha adabu serikali dhalimu ya CCM. Lakini hata...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

    Wanabodi TAARIFA KWA WANACHAMA KUHUSU SHAURI LILILOFUNGULIWA DHIDI YA RAIS WA TLS WAKILI BONIFACE ANYISILE KAJUNJUMELE MWABUKUSI KWENYE KAMATI YA KITAIFA YA MAWAKILI (NATIONAL ADVOCATE COMMITTEE) Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa masikitiko makubwa linawajulisha...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya TLS kuhusu Ripoti ya Tume ya Jaji Chande na Kesi za Jinai zinazomkabili Tundu Lissu

    TAARIFA YA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TATHMINI YA TAARIFA YA TUME YA JAJI CHANDE KUHUSU MATUKIO YA OKTOBA 29 MWAKA 2025, ILIYOTOLEWA TAREHE 23 APRIL 2026 PAMOJA NA KESI ZA JINAI ZINAZOMKABILI TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU. 11 Mei 2026, Dar es Salaam 1.0...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania TLS Wanatoa Tamko Juu ya Tume ya Jaji Chande na Tundu Lissu

    https://www.youtube.com/watch?v=ex4HupJgtOg
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Mwabukusi: Hakuna Chama kinachopendwa Nchi hii kama CHADEMA

    “Hakuna Chama kinachopendwa Nchi hii kama Chadema, na ndicho chama cha kweli cha upinzani hapa Tanzania, kuthibitisha hilo Juzi mmeona furaha ya watanzania Chadema walipofunguliwa kufanya Siasa” Adv. Boniface Mwabukusi - RAIS WA TLS "Hivi vyama vingine ukikuta watu wanajiita wanachama, jua kuna...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Moshi: Mahakama yatoa ahirisho la mwisho kesi ya makosa ya mtandao ya Mchungaji Malisa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imeahirisha usikilizwaji wa mashahidi wa upande wa mashtaka katika kesi ya makosa ya mtandao inayomkabili Mchungaji Godfrey Malisa, baada ya mshtakiwa kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo akisubiri msaada wa kisheria kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi Kumeza Kidonge Kichungu cha Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi kwa Viongozi Wabwatukaji wa Mambo ya October 29!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti za Mwananchi la leo. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/hongera-dk-nchimbi-kwa-kumeza-kidonge-kichungu-cha-tls-5354880 Hii ni makala ya pongezi kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Neno Mh Rais alilotumia Jaji Mkuu ni kumhusu Rais wa TLS Mwabukusi na si vinginevyo

    Salaam! Mh Jaji Mkuu hakukosea, na hakuteleza alliotamka neno Mh Rais. Mh Rais aliyetajwa hapo ni Mh Rais wa TLS ndugu Mwabukusi . Sasa wenye data za kuungaunga waangaliapo video,tafadhali msipotoshe umma kwa makusudi. Mh Mwabukusi ni Rais halali kabisa na alishinda kihalali kabisa. Nj hayo tu.
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais wa TLS: Kila anayatakiwa kuwajibika awajibike kwa maslahi mapana ya Taifa letu, viongozi msizungumze kutonesha mioyo ya wananchi

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS Boniface Mwambukusi: Wametuumiza, Wakaua ndugu zetu na sasa Wanatugombeza na kulazimisha Maridhiano Waliyoyakataa Kabla ya Uharibifu wao!

    Wameteka, wamepoteza, wamejeruhi wameua na hawataki kukiri makosa yao waliyoyafanya kwa uwazi na mchana kweupe kwa kuwa walishatuona sisi sote ni kama mbuzi wao wa kafara.. Na sasa eti wanataka kulazimisha waongoze maridhiano ili tuongezeke na watengeneze mazingira ya kuja kuua wengine...
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Aliewahi kumuona Mwambukusi wa TLS akiwa frontline kwa jambo lolote lile anijuze, Tofauti na kule Facebook na X

    Kuna siku nilimuuliza akanipiha Block, Mwambukusi ana bweka tu kwenye socia media ila hutakaa umuone Mahakamani au kokote kule, Maraisi wemgine wa TLS walio tangulia tulikiwa tunawaona Mahakani pia, ila MWambukusi ni tofauti anaongea sana mnoa ila mulete kwemye vitendo. Wakili kama Kibatala ni...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Naomba TLS wafungue kesi ya kikatiba dhidi ya serikali kuifungia Jamii forums bila makosa

    Adhabu walioitoa TCRA ilikuwa inaisha tarehe 9 disemba. Sasa kwa nini wanawanyima Watanzania uhuru wa kujadili na kupeana habari juu ya mustakabali wa taifa lao? Kwa nini TCRA wanakiuka na kuikanyaga ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Naomba msaada wa Tls ili...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 TLS kuwasaidia kisheria bila malipo watuhumiwa waliokamatwa au kufunguliwa mashtaka kuhusiana na matukio ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na mashirika ya haki za binadamu nchini, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kinapenda kuutangazia umma kuwa kitatoa msaada wa kisheria bure kwa watuhumiwa wote...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Uharamia Mkubwa Uliofanywa na Dola Dhidi ya Wananchi, TLS Iandae Mkutano wa Wadau Mbalimbali Juu ya Hatua Za Kuchukua Dhidi ya Wauaji

    Kwa uharamia na ushetani mkunwa uliofanywa na watawala dhidi ya wananchi, ni lazima wadau wote, wapigania haki wote, wazalendo wote, tuungane kwaajili ya kutafua njia sahihi za kuwawajibisha wauaji na wadhulumaji wote wa haki za wananchi: 1. Sote tunajua kuwa watawala wamedhulumu haki za...
Back
Top Bottom