Moja kwa moja kwenye kero yangu:
Nimeona tangazo la EWURA kutangaza kuwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli imeshuka kwa sh 96 and 151 kwa mafuta yanayoshushiwa katika bandari ya Dar-es-salaam .
Bei mpya
Petroli: Sh 3,990 kwa lita
Dizeli: Sh 4,182 kwa lita
mpaka sasa sijaelewa kwanini mafuta...
Kenyans wameamka na “good news” kutoka EPRA baada ya diesel kushushwa bei kwa Ksh10.06 per litre. Lakini badala ya shangwe, wengi wanasema hii ni “too little, too late.”
Motorists Association of Kenya wamekataa reduction hiyo wakisema maisha bado iko juu sana. Nairobi motorists sasa watanunua...
Wakenya wako katika hali ya kusubiri huku Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli (EPRA) ikitarajiwa kutangaza bei mpya za mafuta, hatua inayoweza kuathiri moja kwa moja gharama ya maisha nchini.
Kila mwezi, EPRA hutangaza bei za juu za rejareja za petroli, dizeli na mafuta ya taa, ambazo...
Huu ndio mtazamo wangu na kama kuna watanzania wanaamini hivyo, basi hao ni watanzania mzigo kwa Taifa hili.
Na hata viongozi wa Bunge sitaki kuamini nao walikuwa hawana taarifa kiasi kwamba wanapanga kuitisha kikao cha Bunge kujadili swala hilo labda wabunge wengine ndio nao walikuwa hawajui.
Dar es salaam sasa mafuta ni 3820 kwa lita na mikoa mingine imefika mpaka 4060 kwa lita ya Petroli.
Tunakubali kuwa vita zimechangia mfumuko huu wa bei lakini serkali ina kodi na tozo nyingi mno kwenye mafuta, kwa nini iangushe mzigo wote kwa mlaji huku yenyewe ikiendelea kupata makusanyo.
Na...
Bei za mafuta zimetangazwa, wakisema imechangiwa na vita mashariki ya kati. Ile stock walisema ipo ya kutosha hadi July imeishia wapi?
Wazee wa kupiga dili washaingia mzigoni, yaani wanasahau kitu wamesema hata mwezi haujaisha - ghafla akiba imeyeyuka!
=====
Wapenda kandanda na tamthilia za kutafsiri kutokea king’amuzi cha Azam Tv mmejiandaaje na bei mpya za vifurushi?
Tetesi ni kuwa bei mpya zinakuja mwezi Septemba.
Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;
DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=
Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza bei za Mafuta kwa Mwezi Oktoba, 2024.
Pia, soma: Bei ya Petroli, Dizeli Oktoba sasa kitonga, sababu za kushuka zatajwa
Nimepataa dondoo kuhusu bei mpya ambazo zitakuja kutangazwa siku chache zijazo na kampuni ya AzamTv.
Kwasasa kuwaona akina Pacome au akina Debora na Fei Toto ubaoni ni Sh 28,000/=
Ndio kifurushi cha Azam Plus kimepanda kutoka 25,000 mpaka 28,000. Sawa na ongezeko la 3,000/=
Ubaya Ubwela tu
Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) huku ikitangaza kuunda kamati huru itakayofanya mapitio ya maboresho yaliyofanyika.
Bei hizo mpya zilizopangwa kuanza kutumika kuanzia Januari mosi, 2024 zimesitishwa hadi itakapotangazwa...
Habari wakuu,
Nimepata link ya jamaa wa Mtwara anadai korosho zinanunuliwa 1000 kwa wakulima na kwenda kuuzwa 1900 kwenye maghala.
Hii ni Fursa wakuu natafuta muwekezaji mmoja tu chapchap tujiridhishe na hizi details tukapige hela.
Karibuni kwenye mjadala
Cc. Sir midwabada
Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana
======
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
bandari
beibeimpyabei ya mafuta
chato
dola
duniani
ewura
kuhusu
kujadili
kupanda
lissu
mafuta
mbunge
mjadala
mpya
mwezi
tatizo
thread
tulia ackson
uvccm
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi April huku zitakazoanza kutumika Jumatano tarehe 05/04/2023.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mafuta ya Petroli yameshuka bei kwa Tsh 187/Ltr, Dizeli Tsh 284/Ltr na mafuta ya taa 169/Ltr kwa mafuta...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Machi 2023. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo:- (a Kwa Machi 2023, bei za rejareja za mafuta...
Waziri wa Kilimo, Husein Bashe ametangaza bei mpya ya chai ambayo ni Sh366 kwa kilo itakayoanza kutumika kwenye mnada wa kwanza utakaofanyika Februari 10, 2023.
Kwa zaidi ya miaka mitano, bei ya zao hilo haijawahi kupanda kutoka Sh314 jambo lililokuwa linawadidimiza wakulima. Pamoja na bei...
Taarifa iliyotolewa leo Jumanne, Septemba 5, 2022 na Mkurungenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato bei za mafuta zimeonekana kupungua baada ya kupanda mfululizo kwa miezi mitano kuanzia Aprili mwaka huu.
Hadi leo katika mkoa wa Dar es Salaam bei ya petroli inaonesha inauzwa kwa Sh3, 410 kwa lita...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema kupanda kwa Bei ya Data hakukuwa na utaratibu mzuri na pia huduma imekuwa mbovu kwa gharama kubwa zaidi, jambo ambalo linaua ndoto za wabunifu wengi wanaotumia Mtandao.
Melo amesema hayo wakati akijibu utetezi wa Bei Mpya za Vifurushi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.