Mseven AKA M7. Ameamua kuitolea uvivu Marekani na kusema kwamba hawatishiki na vitisho vyao, bali sheria yao ipo palepale. Mwamba anasema kama watapewa vikwazo watafanya biashara na mataifa...
Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ.
Ukweli ni kuwa unapokuwa rais wa...
President Museveni has linked the apparent appeal of his son, Gen Muhoozi Kainerugaba, to younger Ugandans to their “frustration” with weaknesses within the ruling National Resistance Movement...
Picha: Rais wa Uganda Yoweri Museveni
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekaidi wito wa Mataifa ya magharibi wanaotaka sheria kali dhidi ya ushoga ifutwe ikiwa ni moja ya sheria kali zaidi duniani...
Kweli nimeamini Uganda hawana utani kabisa, kampeni takatifu ya kuwafyeka mashoga imeanza kwa kasi ya 5G
Wenye nyumba wameanza kuwatimua mashoga kwenye nyumba zao kwasababu sheria iko wazi kabisa...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameyataka Mashirika Yanayosimamia sekta ya umeme kushusha bei kutoka Senti 8.5 Hadi Senti 5 za Dola Ili Kuchochea Sekta ya Viwanda..
Nanukiu'Hatuwesi kujadili...
My Take: Vikwazo vikiwekwa watakaoumia ni nyasi wala sio kina Museveni, so watu wawe tayari kwa matokeo.
--
President Museveni has signed the anti-gay bill into law following improvements...
Mliosema Museveni hatosaini sheria ya Ushoga mna hali gani?Mashoga wengi hufa mapema.
Humu kuna watu walikua wanambeza Museveni kuwa hawezi kusaini ile sheria ya Ushoga finally he did
Wengine...
Pamoja na kutia saini sheria kali ya kuwaadhibu mashoga ikiwepo kuwanyonga,juzi NGO Moja imekwenda mahakamani kwenda kupinga sheria hiyo ya Bunge la Uganda ambapo museveni alitia saini.Wajuzi na...
Wabunge wa upinzani wameandamana kupinga bajeti ya Tsh. Milioni 220.6, sawa na Ush. Milioni 350 iliyopendekezwa kwa ajili ya Nguo, Vitanda, na Viatu vya Rais Yoweri Museveni, kwa Mwaka wa Fedha...
Marekani umechukua uamuzi huo dhidi ya Anita Among huku Mbunge Asuman Basalirwa akisema yeye pia anaweza kuwa mwathirika wa kuwekewa vikwazo baada ya Uganda kuhalalisha Sheria dhidi ya LGBTQ...
Hakika Rais Museveni hatanii kabisa na GENTAMYCINE nampongeza kwa Kuisaini na namwomba Rais Samia ( wa Tanzania ) nae asaini kama imeshaandaliwa ili Mashoga ( Wapenzi wa Jinsia ) moja Wakamatwe na...
1 + 1 = 2, watanzania wengi tume focuss kwenye 2 kwamba Idd Amin alivamia Kagera na ndio chanzo, tunasahau kwamba Kuna 1 + 1 zilizosababisha ikawa hio 2 na hata ukienda Wikipedia nao hawajui...
Baadhi ya Wabunge Nchini Uganda wamehoji na kupinga Bajeti ya Tsh. Bilioni 159.49 iliyotengwa kwaajili ya Matumizi ya Ofisi ya Rais Yoweri Museveni ambayo inajumuisha Tsh. Milioni 221.7 za kununua...
Wizara ya Afya imevunja ukimya kuhusu wimbi la sasa la mafua na kikohozi miongoni mwa wananchi.
Wanachama kadhaa wa umma wameripoti visa vya hivi karibuni vya kikohozi na mafua na wengine...
Kwa nini Waganda siyo wengi JamiiForums au hawafahamu kuwa kuna JF inayozungumzia maswala ya Afrika Mashariki, tatizo nini maana hapa EA news hata Kingereza kinatumika?
Mtoto mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa atastaafu kutoka jeshi mwaka huu, baada ya karibu miongo mitatu ya kuhudumu ndani ya Jeshi.
Muhoozi Kainerugaba, jenerali wa jeshi...
Waziri wa Nchi, Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya Mei 2, 2023 na mlinzi wake akiwa nyumbani kwake Kyanja, Kampala...