ratiba

Ratiba Hefny (Arabic: رتيبة الحفني‎; 2 December 1931 – 16 September 2013) was an Egyptian and an international Opera singer (Soprano) who has performed in more than 500 opera performances. She was the dean of the Higher Institute of Arabic Music in Cairo. She became the director of the Cairo Opera House in 1988.
She grew up in a musical family, her father Mohamed Ahmed El-Hefny has written more than 45 books on music, and her grandmother to her mother was of a German origin, who also was a German opera singer. Ratiba started playing the piano at the age of five.
She also gave her singing voice to Snow White in Snow White and the Seven Dwarfs.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TRC: Mnatafutwa Jf kujibu tuhuma au hii Kero za SGR kubadili ratiba ni faida ya wamiliki wa Mabasi au serikali! Kukaa kimya sio mnamuaibisha Rais

    Sikilizeni ukweli wa hali halisi!
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC: Tumepokea maoni ya Afande Sele kuhusu ratiba ya Treni ya SGR kutoka Morogoro

    Baada ya Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Selemani Msindi "Afande Sele" kutoa maoni yake kuhusu ratiba ya treni ya SGR kutokea Mkoano Morogoro kuelekea Dar es Salaam. ufafanuzi umetolewa na Shirika la Reli Tanzania (SGR). Alichokisema Afande Sele kipo hapa ~ Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mnaosoma UDSM vipi ratiba ya masomo itaendelea vile vile licha ya uwepo wa El Nino? Kuna mtu anataka kulipa ada nataka nimshauri kabla hajafanya maamu

    Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes zinaanza October mwishoni. She was about to pay her fee ila amesikia kuhusu El Nino na mabadiliko ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali imebadili ratiba ya mitihani kisa El-Nino. Vipi kuhusu wanafunzi wanatakiwa kwenda pre form one Mwezi huu wa tisa na wa kumi mwanzoni?

    Nimeona taarifa kuwa serkali imebadili ratiba za mitihani kwa wanafunzi wote waliotakiwa kufanya mitihani ya kitaifa na ratiba kurudishwa nyuma. El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa Kuna shule ambazo za watu binafsi ili mtoto apate nafasi ya kusoma kwenye shule hizo ni lazima aende pre...
  5. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania ZIJUE SABABU ZA KUWA NA RATIBA YA VIPODOZI VYOTE VYA ASILI

    Baadhi ya viambato hai vya skincare (active ingredients) hufanya kazi pamoja kusaidia kuongeza unyevunyevu, kuondoa seli zilizokufa za ngozi, na kurekebisha kinga ya ngozi (skin barrier). Kuchagua viambato sahihi kunaweza kuleta tofauti kubwa katika jinsi ngozi inavyokuwa laini na yenye...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane taarifa, Kesi ya Lissu tarehe 10 Agosti ipo kama ratiba inavyosema?

    Nakumbuka kama vile ilipangwa kusikilizwa mfululizo kuanzia tarehe 10.8.2026. Ratiba bado iko hivyo au kuna mabadiriko?
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mkiwa mnatafuta ndoa hakuna ratiba ya kupeana ila mkishafikia ndoa mnaanza kuitunza amani kuliko haki

    Nchi yetu na dunia sasa inalazimisha amani ila sio haki. Ndoa nyingi ukichunguza ni neno haki yake kwa sababu umempangia. Sasa hii haki imefikia mpaka maoni ya ndoa .
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Kata ya Kerege Kutembelea Miradi ya Maendeleo

    Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Kata ya Kerege Kutembelea Miradi ya Maendeleo.
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya maandamano 2026

    Ya sabasaba yamepita bila watu wengi kuandamana kutokana na nguvu kubwa ya ulinzi iliyotumika kudhibiti maandamano Siku ya 7/7 ilitawaliwa na ukimya wa kutisha Barabara zilikuwa tupu Biashara asilimia 99 zilikuwa zimefungwa Watanganyika kwa asilimia 90 hawakutoka majumbani, kitu ambacho si...
  10. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Ratiba rasmi ya ziara ya karibu mwenyewe CCM kihogosi kuanzia tar 01 Hadi 03 July mkoa wa pwani

    Ziara hii ya siku tatu ya mkoa wa pwani ni kwaajili Yao pekee na sio vyama vingine. CCM ni zaidi ya shetani
  11. TIB RASILIMALI

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Magawio DSE 2026: NMB, Twiga Cement, DSE, Swissport na Mkombozi Bank

    Unawekeza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE? Hii hapa ndiyo ratiba ya magawio yanayotarajiwa kulipwa kwa wanahisa wa kampuni zilizoorodheshwa DSE. 24 Juni 2026 • NMB Bank: TZS 610.15 kwa kila hisa 30 Juni 2026 • Twiga Cement: TZS 300 kwa kila hisa • DSE: TZS 69 kwa kila hisa, gawio la...
  12. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Wife ameanza kunipangia ratiba za unyumba

    Wiki nne sasa zimepita bilabila kila nikiomba mchezo naishia kupewa makavu Kwamba simuhudumii ukicheki ni kweli nina mwaka nguo za dukani hazijui Ila anavimbiwa fresh sijui nijieleze vipi na hela sina?
  13. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ratiba yetu ya Uefa tuijue kabisa watu wa Asernal

    The 2026 UEFA Champions League final between Paris Saint-Germain and Arsenal will take place on Saturday, May 30, 2026, at the Puskás Aréna in Budapest, Hungary. UEFA.com Kick-off is scheduled for 18:00 CEST (Central European Summer Time). UEFA.com In local time for you in Dar es Salaam...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa Barabara unaathiri ratiba ya Wanafunzi wanaoenda Shule Maghweta na Matomondo Mkoani Dodoma

    Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma njia haipitiki, ni hatari jamani warekebishe barabara basi, hata wanafunzi hapo hawawezi kwenda shule. Hali ya ubovu imeongezeka tangu mvua zilipoanza kunyesha takribani mwezi mmoja sasa, Wanafunzi wamekuwa waathirika wakubwa wanashindwa kwenda...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ligi Kuu-Bara izingatie ubora miundombinu ya viwanja vinavyotumika kuchezewa mechi usiku, vingi havina ubora

    Nimefuatilia mechi kadhaa hasa msimu huu2025/26 na msimu uliopita wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara, kumekuwa na ongezeko la mechi zinazochezwa usiku ili kuruhusu urushaji wa moja kwa moja kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na wadhamini na watangazaji. Lengo...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania SIMBA NA YANGA TURUDI TUMALIZIE RATIBA WAPENDWA ALL D BEST

    AHSANTEN KWA KUTUNYOOSHA MMEJUA KUTUNYONGOROSHAAA AZAAAWAISIII. TURUDN TUJE KUKAMILISHA RATIBAAAAA ALWAYS NXTYM NEVER GV UP
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mechi za ligi mbalimbali duniani wikiendi hii Januari 24/25

    Wikiendi hii, mashabiki wa soka wanatarajiwa kushuhudia burudani ya kiwango cha juu kutoka viwanja mbalimbali duniani, huku mechi kubwa zikipamba ratiba, ikiongozwa na Manchester Derby huko England pamoja na fainali ya AFCON 2025 inayosubiriwa kwa hamu kubwa barani Afrika. EPL & CAFCL...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TRC yatangaza ratiba mpya za SGR kutoka Dar-Dodoma

    SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza ratiba ya safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia leo, Januari 3, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya shirika hilo kusitisha kwa siku chache safari zake ili kuepusha athari ambazo zingeweza kusababishwa na mvua zinazoendelea...
  19. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Ratiba kesho ni baada ya adhana kazi ianze

    Hayawi hayawi yamekua. Udugu kesho ndio ile siku yetu. Tumesikia wakibweka siye yetu vitendo. Wanasema wao ni zirail. Siye twataka tuone kesho watavuta roho ngapi. Tutaanza baada ya swala alfajiri. Kama ilivyopangwa. Mpaka sasa hawajui nini kinaenda kutokea. Hiyo ni nusu ya ushindi. Siku kumi...
  20. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya maandamano Kimara - Posta

    Amani iwe nanyi Tutaanzia kimara wengine tutawapitia ubungo, wengine tutakutana nao Kariakoo then tutashuka mpaka Magogoni Polisi watatupa ushirikiano wa kutosha na watakuwa wanarudi nyuma wenyewe Kadiri watakavyokuwa wanarudi nyuma ndo tutakavyokowa tunasogea Mpango umesukwa ukasukika...
Back
Top Bottom