mkutano mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maelekezo toka juu: Fungeni account za CHADEMA siku chache kabla ya mkutano mkuu, wape kesi ya utakatishaji

    Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+ Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje, Britanicca
  2. M

    JamiiForums Tanzania Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC unaendelea Makao makuu ya Baraza hilo Kurasini

    C&p Habari ndiyo hiyo. Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) [87th Plenary Assembly - Study Session] unaendelea katika ukumbi wa Amecea uliopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini DSM. Mkutano huo unaongozwa na Rais wa TEC, Mhashamu Baba...
  4. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi Endorsment za Mnyma Simba Nategemea Mwakani Mkutano Mkuu tusikie Faida siyo hasara

    Wakuu nisiwachoshe sana.
  5. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT na sarakasi la Msajili wa vyama: waitishe haraka mkutano mkuu utakaobadili kanuni za chama chao na kumteua tena Mpina kuwa mgombea wao

    Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi. Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cheyo aongoza mkutano mkuu wa UDP mgombea urais, mwenza kujulikana leo

    Mwenyekiti wa Chama cha United Democratic Party (UDP), John Cheyo leo Jumatatu Agosti 11, 2025, amehudhuria mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika katika Ukumbi wa Lulu, Sinza, jijini Dar es Salaam, licha ya changamoto za kiafya zinazomkabili kwa muda mrefu. Cheyo, maarufu Mzee Mapesa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, leo Agosti 11, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=WyoacouIms0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango anafungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 Shule ya Polisi Tanzani- Moshi. Maafisa mbalimbali wakiwasili katika Viwanja vya...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi kufanya mkutano mkuu wa mwaka Agosti 11 hadi 15 Kuweka mikakati na kuimarisha usalama nchini kuelekea uchaguzi mkuu

    Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, leo Agosti 11 atafungua mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi. Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime, amesema kuwa mkutano huo utafunguliwa Agosti 11 na utafanyika hadi Agosti 15, 2025 na...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Freeman Mbowe akubali kushiriki Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekutana naye akipima Suti

    Asilimia kubwa ya Waliokuwa Viongozi katika kipindi cha Mbowe (alipokuwa CHADEMA) wamehamia CHAUMMA. Viongozi hao wamekuwa wanamuomba Mbowe ajiunge nao. Pia zimekuwepo tetesi kwamba anatakiwa kuhamia CHAUMMA. Hata hivyo ameweza kudhami Mkutano huo Mkuu unaoendelea Dar Es Salaam. Baada ya...
  10. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania CCM Yaweka Historia Afrika: Mkutano Mkuu wa Taifa Wafanyika Kidijitali kwa Mara ya Kwanza

    Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya Mkutano Mkuu wake wa Taifa kwa njia ya mtandao, kikihusisha takriban wajumbe 2,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Taarifa kutoka ndani ya chama zinadai kuwa huu ni mkutano wa kwanza barani Afrika wa aina hiyo kufanywa kwa njia ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Wajumbe wa CCM Wilaya ya Kinondoni washiriki Mkutano Mkuu Maalum, Gwajima hajaonekana

    Wakuu, Aliyekua Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima hajaonekana kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM, au ndo kashiriki Mtandaoni?
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu maalum wa CCM Kidijitali

    Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwenye Link ya Mkutano Mkuu wa CCM unaofanyika online Leo tarehe 26.8.2025 Tafadhali!

    Ninaomba atupatie!
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania GE2025 Niwapongeze CCM kufanya Mkutano Mkuu kwa njia ya Mtanda - Historia imeandikwa

    Maendeleo ya teknolojia CCM hatujaachwa nyuma. Kazi na Utu. Tunasonga mbele. Tunatiki tu
  16. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Mkutano mkuu CCM kurejesha wagombea wote na sio watatu

    Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao. Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumekucha! CCM yaitisha mkutano mkuu wa dharura kwa njia ya mtandao

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu...
  18. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Piga picha nini Msajili wa vyama angeifanyia CHADEMA kama ingepitisha mgombea Urais kwa mwendokasi bila kutoa fursa kwa wanachama wengine?

    PIGA PICHA NINI MSAJILI ANGEIFANYIA CHADEMA KAMA INGEPITISHA MGOMBEA URAS KWA MWENDOKASI BILA KUTOA FURSA KWA WANACHAMA WENGINE?
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ndio chombo cha Juu zaidi Tanzania kinachoweza kubadili au kubatilisha matumizi ya katiba yake au hata katiba ya nchi

    Na ndio maana mkutano mkuu maalumu wa CCM pale makao makuu Dodoma mapema mwaka huu2025, uliamua, ukaridhia na kuidhinisha mabadiliko ya katiba ya CCM bila tatizo lolote na vile vile mkutano mkuu huo huo wa CCM taifa, ukajadili, ukaamua, ukaridhia mapendekezo ya wajumbe wa mkutano mkuu huo wa...
Back
Top Bottom