benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim Yapanua Ufadhili wa Malori ya Biashara Kusaidia Ukuaji wa Biashara

    Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na Wa Kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Andrew Lyimo (wa pili kushoto), akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Group la Six Continental Trading Company Limited, Bw. Benson Mahenya (wa pili kulia), baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano yanayolenga...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi

    Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote, kisha hujikuta akikata pesa bila taarifa ya kutosha. Nilifungua akaunti CRDB miaka kadhaa iliyopita...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazifunga akaunti za benki za CHADEMA hadi Renatus Nzemo alipwe stahiki zake za utumishi

    Inaelezwa kuwa Akaunti za benki za Chadema zimefungiwa hadi wamlipe Renatus Nzemo madai yake ya stahiki zake za Utumishi. Who's Renatus Nzemo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Eti wadada wa benki wangekuwa hawakai nyuma ya vioo wangepokea kichapo

    Wahudumuwa benki wanaongea kama hawataki wakati wanatoa huduma, mdada hapo anawaonya la sivyo tableti ya kichwa itawahusu
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania HERVÉ FALCIANI: MTU ALIYEVUNJA UKIMYA NA KUVUJISHA KWA DUNIA MAJINA YA MAFISADI WANAOFICHA PESA ZAO BENKI YA USWISI

    Usiku wa Desemba 22, 2008, Geneva ilikuwa katika hali yake ya kawaida ya majira ya baridi. Baridi ilikuwa imetanda. Krismasi ilikuwa karibu. Mji ulikuwa ukijiandaa kwa sikukuu, huku katika majengo ya kifahari ya benki za Uswisi, fedha za matajiri wa dunia zikiwa salama nyuma ya milango...
  6. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Wakuu kun benki inaweza nikopesha kwa kutumia kiwanja cha 45m x 65m kama collateral?

    Karibuni Nina biashara ,ila nataka kuongeza bidhaa, benki ipi ina sera za kuwapatia wateja mikopo kwa kutumia hata kiwanja?
  7. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania NMB BENKI wanakunyima huduma hata kuangalia salio wanakataa

    NMB imekua na ujinga mwingi umeweka pesa kwenye akaunti unafanya manunuzi unataka kulipa kupitia NMB BENKI wanakunyima huduma hata kuangalia salio wanakataa yaani mabenk ya Serikali yameambukizana ujinga.
  8. bless on

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Benki Hutumia Pesa Zako

    Ukiweka Shilingi Milioni 10 benki leo, unaamini kuwa pesa hizo ziko ndani ya chumba cha siri cha benki zikikusubiri wewe ukazichukue siku yoyote, sivyo? Ukweli ni kwamba: Pesa hizo hazipo hapo! Siku hiyo hiyo uliyoondoka, benki inachukua takriban Shilingi Milioni 8.5 hadi 9 na kuwakopesha watu...
  9. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Kamati ya Bunge ilitaja Benki ya Mkombozi, iliyo chini ya Kanisa, kuwa ni taasisi ya utakatishaji fedha, ilikanushwa?

    Friends and Our Enemies, Katika pita pita yangu leo nimemkumbuka marehem Deo Filikunjombe pale alipokawa anahitimisha kuwasilisha ripoti yake kuhusu yale majizi ya fedha za wizi za escrow ambapo ilitaja watu wengi wakiwemo na maaskofu wa kanisa katoliki na vijana wao kama Anna Tibaijuka katika...
  10. Tanganian

    JamiiForums Tanzania KERO CRDB wanaendelea kunikata deni ambapo nilishamaliza kulilipa, nifanyeje?

    Habari ndugu, CRDB kupitia mfumo wao wa SimBanking wamenibambikia deni la mtumishi ambalo nilishamaliza kulipa. Nimewafuata mara kadhaa, lakini wamekataa kunipa barua ya kuondoka kwenye mkopo, ambao kwa kawaida salio lake ni sifuri (0.04). Naomba ushauri, kwa sababu hata salary slip yangu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Chake Chake avamia danguro ambalo lipo eneo la Chanjamjawiri, atoa onyo kali kwa wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo

    Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Zuhura Mgeni Othman, amefanya uvamizi katika nyumba inayodaiwa kutumika kama danguro katika eneo la Chanjamjawiri, Kisiwani Pemba. Katika tukio hilo, DC Zuhura amebaini kuwepo kwa kondomu...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na demu shabiki wa Simba mwambie Pesa ziko Benki

    Akikuomba hela mwambie pesaziko benki. Akupe kwa mkopo.
  13. Mbabani

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwenu wafanyakazi wa benki, mnapozikataa hizi noti za elfu moja na elfu mbili mnategemea tuzipeleke wapi?

    Kuna hii tabia inakuja kasi sana wafanyakazi wa BENKI hamtaki kuchukua (elfu moja moja & Mbili) yani noti za buku buku na buku mbili. Mnataka noti za 5,000 na 10,000 tu. Hamzitaki hela, tuambiane pa kuzipeleka au kama hazitambuliki mzifute tujue noti ni 5,000 na 10,000 tu.
  14. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa benki avunjwa mkono na mtumishi ndani ya benki wilayani Kilindi

    Ofisa mmoja wa benki inayoanzia na herufi A avunjwa mkono wa kulia na mtumishi wa kada ya ualimu.Tukio hilo limetokea jana asubuhi wilayani Kilindi ndani ya ofisi ya benki hiyo jina linahifadhiwa. Vurugu hiyo ilitokana na mwalimu huyo kuwalalamikia benki hiyo kushindwa kuondoa makato ya mkopo...
  15. didy muhenga

    JamiiForums Tanzania Kitengo gani cha benki kina maslahi mazuri

    Je ni watu wa IT, Credit, content creators, human resource, corporate, risk, au ni kitengo gani wanazengo chenye maokoto mengi?? Benki gani bongo zina maslahi mazuri kwa wafanyakaz wake?
  16. K

    JamiiForums Tanzania Stori zingine bwana, eti mwanamke hatakiwi ajue kama una hela benki, au umewekeza pahali fulani sababu anaweza kukuua au kuomba taraka mgawane mali

    1. Nimezikuta hizi stori mahali fulani, yaani mwanamke hatakiwi kujua chochote kuhusu mali zako 2 .Ukizeeka atakuacha hapo nyumbani aende kuishi Kwa watoto wake 3. Ukifikisha miaka hamsini usijihangaishe kujenga kama ulishajenga Nyumba Moja yatosha. Hifadhi fedha yako benki harafu uwe...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ateta na Rais wa benki ya AfDB

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Sidi Ould Tah kando ya Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unaofanyika leo Jumanne Mei 26, 2026 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kintele...
  18. contask

    JamiiForums Tanzania Kwanini bado unajaza mamilioni benki wakati kuna USDT na other stable coins?

    Wakuu salama. Kuna mada naona inabidi tuichambue kwa jicho la kisomi kidogo, hasa kuhusu jinsi tunavyouza jasho letu wenyewe kwa kuziachia benki za kiasili zishikilie akiba zetu za muda mrefu. Ukiweka akiba ya Shilingi benki leo, kiuchumi unakutana na vitu viwili vinavyokula mtaji wako kimya...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kati ya Benki 5 kubwa duniani 4 ni za China? Benki za Marekani zikifuata nyuma ya China

    The top 5 largest banks world largest banks by assets: 1. Industrial and Commercial Bank of China (ICBC) | China Assets: $7.30 trillion 2. Agricultural Bank of China | China Assets: $6.80 trillion 3. China Construction Bank | China Assets: $6.20trillion 4. Bank of China | China...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hiki wanachofanya benki ya CRDB ni unyanga'nyi wa peza za watu

    Takriban mwezi mmoja umepita nilinunua umeme wa Shiling 50,000 kwa kutuia APP ya simbanking. Nilisubiri kutumiwa token zangu za Luku akini sikuzipata. Kesho yake niliwapigia sim Tanesco nikidhani tatizo lipo upande wao lakini wakanihakkishia kwamba crdb hawaja 'generate' token. Nikachukua...
Back
Top Bottom