mawakili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    Binti atoa penzi siku 3 bila ridhaa yake, na kesi kashindwa

    Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu Jamaa aliyekaa pembeni yake aitwaye MAPINDUZI NGALLA, lakini anapiga Simu Shangazi hapatikani...
  2. R

    Kwanini Mawakili wengi binafsi wanashangilia na kukimbilia kusimamia kesi za wanaodaiwa kutukana au kuikosoa Serikali?

    Leo tumeona Polisi wamedai kumkamata mmiliki wa akaunti ya X inayotambulika kwa JINA la Sukunuku; mara tu polisi walipotaka hayo mawakili binafsi wengi wameonyesha nia ya kusimamia kesi hiyo huku baadhi wakiweka wazi kwamba watashinda kesi husika mapema kabisa. Mmoja wa mawakili ndugu Madeleka...
  3. chiembe

    Wakili Madeleka kuhenyeshwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Kamati ya Maadili ya Mawakili, ni kesi mpya ya mwaka 2024

    Bila shaka tasnia ya sheria sasa itakaa kwenye mstari, Mwanasheria Mkuu hataki ubabaishaji. Sasa huu ndio utawala wa sheria tunaoutaka.
  4. Jaji Mfawidhi

    Maadili na mamlaka zinazosimamia nidhamu ya Mawakili wa kujitegemea, Mawakili wa Serikali, Mahakimu na Majaji (Ethical Values and Disciplinary Authori

    Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria, nao pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa Mahakamani kama mtu mwingine yeyote. Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili (nidhamu) tu na sio kuwashtaki...
  5. BARD AI

    Serikali yaanza kuwapiga Msasa Mawakili kujiandaa na Uchaguzi Mkuu

    Serikali ya Tanzania imeanza kuwajengea uwezo mawakili wake ili kuzikabili kesi zitakazojitokeza baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Mafunzo kwa mawakili hao yanatokana na kile kilichoelezwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk Eliezer Feleshi...
  6. Jaji Mfawidhi

    Wingi wa matangazo ya kugonga mihuri ya Mawakili Ofisi ya Uhamiaji Kurasini

    Naomba mniweke sawa juu ya hali nliyoona pale uhamiaji Kurasini. Kila kibanda cha photocopy kuna maandishi huduma za kisheria na mhuri wa wakili zinapatikana hapa. Inadhalilisha taaluma yetu kabisa na pia vishoka wanabakia humo kwa kutunzwa na hao mawakili wenye mihuri yao humo stationeries...
  7. B

    Mahakama Kuu yasitisha Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS)

    15 December 2023 Mahakama Kuu ya Tanzania imeagiza kusitishwa kwa mkutano mkuu wa dharura wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS uliopangwa kufanyika kesho jumamosi tarehe 16 December 2023. Amri hiyo imeyolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Dar es Salaam kwenye maombi madogo no...
  8. Chachu Ombara

    Wakili Mpole Mpoki kufungua kesi 8 kupinga kusimamishwa Uwakili

    Wakili Mpole Mpoki aliyefutiwa uwakili kwa miezi sita, anakusudia kufungua kesi nane ikiwemo ya kikatiba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kupinga kusimamishwa kufanya kazi hiyo. Mpoki amesimamishwa uwakili Novemba 20, 2023 na Mwenyekiti wa Kamati ya...
  9. chiembe

    Humphrey Polepole: Jaji Ntemi alitufuata CCM akatuomba tumpelekee orodha ya Mawakili tunaotaka wafungiwe

    Mbombo ngafu, Kwanini awafuate CCM? Sio TLP au Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu, au wakuu wa mikoa? Humphrey Polepole Machi 6 2021, aliwahi kusema kuwa Jaji Ntemi aliwatafuta CCM akafungua milango kama kuna mawakili wanawasumbua watanzania basi wao(CCM) wapokee taarifa za Mawakili hao na...
  10. S

    Mawakili tumieni taaluma yenu kuzuia unyanyasaji huu wa Serikali ya CCM dhidi yenu. Enough is enough!

    Naona sasa ishakuwa tabia kwa kila wakili anayejaribu kuikosoa serikali ya CCM anakutqna na rungu la kuvuliwa uwakili. Fatma Karume alivuliwa uwakili kimizengwe, Mawakili Jebra Kambore na Edson Kilato walishitakiwa na kamati maadili baada ya kuonekana ni wakosoaji wakubwa wa Serikali na sasa...
  11. James Hadley Chase

    Mawakili na Wanasheria wafika gerezani kuzungumza na aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kukutwa na nyama ya swala

    Chama Cha Mapinduzi wa Iringa kwa kushirikiana na Mawakili wa TLS pamoja na Wanasheria toka Jumuiya ya Wanawake Taifa kufuatia Tamko la Mwenyekiti Merry Chatanda kuhusu kesi ya mama Maria Ngonda aliyehukumiwa miaka 22 kisa nyama ya swala jopo hilo lilifika gerezani na kuzungumza na mama huyo ili...
  12. Ndagullachrles

    Sabaya katika mchuano mkali na mawakili wa Serikali

    Mawakili wanaomwakilisha aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Jana walichuana vikali na mawakili wa upande wa Jamhuri wakati wa usikilizwaji wa rufaa ya kupinga Sabaya kuachiliwa huru iliyokatwa na upande wa Jamhuri. Sabaya na wenzake walihukumiwa kifungo Cha miaka 30 jela na...
  13. Maan

    Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika. Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii. Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya...
  14. Jaji Mfawidhi

    Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

    Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria. Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo. Kanda ya Ziwa...
  15. S

    Mawakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua kesi kuwashitaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya na OCS wa Central Polisi Mbeya

    Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria. --- Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP...
  16. Erythrocyte

    Mbeya: Zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kuwatetea Dkt Slaa na Wenzake

    Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili. Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo . --- Zaidi ya mawakili 100 kutoka...
  17. BARD AI

    Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

    Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai. Nape ameandika kupitia Twitter -- MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
  18. MIXOLOGIST

    IGA siyo kwa mawakili wanaogonga mikataba ya boda boda

    Wakuu, ili suala la IGA ni technical Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability. IGA is not for every advocate or lawyer, its...
Back
Top Bottom