Hongera sana Mheshimwa Lissu kwa kuipasulia ukweli mahakama kuhusu kusikiliza kesi za kupikwa. Mheshimiwa Lissu kaiambia mahakama ya kwamba kitu ambacho kilitakiwa kiamuliwe ndani ya wiki Moja, imechukua mwaka na nusu kuamua. Lissu ameyasema hayo katika Hali ya kuonesha masikitiko yake kwa...
Hii ni mifano jinsi gani mahakama kuu za kiislam zilivyokaa na kuamua kesi
1. Myahudi akapata haki mbele ya Umar رضي الله عنه
Imepokelewa kwamba mtu Myahudi alikuwa na mgogoro na Muislamu mbele ya Umar ibn al-Khattab رضي الله عنه. Baada ya kusikiliza suala hilo, Umar alimhukumia Myahudi huyo...
Leo Tarehe 17 September 2026 mahakama kuu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Masjala Ndogo ya Tabora, ilioitishwa kwa ajili ya kutajwa kwa shauri la Kikatiba Na. 000023438 la mwaka 2026 linalopinga uamuzi uliotolewa tarehe 12 Agosti 2026. kuhusu zuio kwa mawakili kuzungumza na vyombo vya...
Mahakama Kuu ya Jimbo la Lagos nchini Nigeria imetoa amri ya muda inayomzuia muigizaji wa Nollywood, Liz Anjorin, kuchapisha au kusambaza picha na maudhui yoyote yanayomhusu mtoto wa Priscilla Ojo na msanii Juma Jux, aitwaye Rakim, kwenye mitandao ya kijamii .
Amri hiyo iliyotolewa kufuatia...
Madeleka ana bahati sana hajapotezwa.
Baada ya Presha ya Mitandaoni Polisi wakiri kumshikilia.
====
TAARIFA KWA UMMA
POLISI DAR ES SALAAM INAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA KUDHARAU AMRI YA MAHAKAMA KUU
Mnamo tarehe 14 Agosti, 2026 saa 09.30 alasiri eneo la Mikocheni B...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema kuwa tarehe 14 Agosti 2026, saa 9:30 alasiri, eneo la Mikocheni B, Kinondoni, limemkamata na linamhoji Peter Madeleka kwa tuhuma za kudharau amri za Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, maarufu kama “Mahakama ya...
Seneti ya Kenya pamoja na Spika wa Seneti wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliobaini kuwa haki ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ya kusikilizwa kwa haki ilikiukwa wakati wa mchakato wa kumng’atua mamlakani.
Uamuzi huo ulitolewa Juni 8, 2026, na majaji E.O. Ogola, Dkt. F...
Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto.
Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
Mahakama Kuu imemuachilia huru dereva wa mbio za magari, Maxine Wahome, katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake wa zamani, Assad Khan, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake bila shaka yoyote.
Katika uamuzi uliotolewa Jumanne, Julai 28, 2026, mahakama ilisema...
Habari,
Hili limekuwa tatizo kubwa hasa kwa mikoa ya pembezoni kwa madalali wa mahakama kuu kutokuwa ma ofisi na maghara ya kuhifadhia mali wanazokamata.
Hii ni changamoto kubwa kwani mahakimu wafawidhi wa mikoa wanapitisha watu wao wanaowapenda wao kwa maslahi yao kitu kinachopelekea madalali...
Anonymous (ee77)
Thread
kuu
madalali
mahakamamahakamakuu
nyaraka
ofisi
wengi
TAARIFA KWA UMMA
Kesho tarehe 1/6/2026 Mahakama Kuu Masijala ya Kigoma mbele ya Jaji Rwinzile itasikiliza maombi ya Marejeo (Judicial Review) yaliyofunguliwa na
1. Buberwa Ephraimu Kaiza
2. Joseph Daudi Mabugo
Maombi hayo yanahusu uhalali wa Tume iliyoundwa na Mh. Rais ya Kuchunguza Ujinai...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Babati mkoani Manyara, imetoa zuio la muda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua zozote kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Amri ya zuio hilo la upande mmoja (ex parte temporary prohibitory) limetolewa Jumatatu Mei 25, 2026 na Jaji...
Wanabodi,
Kufuatia kelele zinazoendelea kupigwa na watu mbalimbali, kuitaka Ripoti ya Jaji Chande iwekwe hadharani, kwanza nami niunge mkono hoja ya Vox Populi is Vox Dei, (sauti za watu ni sauti ya Mungu) hoja ya leo ni swali, sisi wananchi, je tumuombe Rais Samia aiweke hiyo Ripoti...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa kesho Jumatano, tarehe 13 Mei 2026 Chama kitakuwa na mashauri mawili Mahakama kuu ya Tanzania, masijala ya Dar es salaam mbele ya Mhe Jaji Ngunyale.
Mosi, Mapema saa tatu asubuhi, maombi madogo namba 8960 /2025, Said Issa...
Washtakiwa sita jana walipatikana na hatia na mmoja kuachiwa huru katika kesi ya ugaidi inayohusishwa na tuhuma za kuwa sehemu ya mpango wa kuipindua Serikali na kuanzisha dola ya Kiislamu nchini.
Jaji Godfrey Isaya, akiongoza jopo la majaji watatu katika Divisheni ya Makosa ya Rushwa na...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, baada ya kutupilia mbali shauri lililokuwa likipinga uhalali wake.
Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa, Machi 13, 2026 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.