bilioni 20

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanga Regional Energy Hub: Mradi wa Bilioni 20 USD

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, leo wameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) wa mradi wa Tanga Regional Energy Hub, unaojumuisha ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi (refinery) chenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 20 (zaidi ya...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mpango wa FIFA wa kuanzisha kampuni ya kibiashara ya dola bilioni 20 wapingwa vikali, UEFA miongoni mwa wanaopinga

    Mpango wa FIFA wa kuuza sehemu ya umiliki katika kampuni mpya ya kibiashara yenye thamani ya dola bilioni 20 umezua mjadala mkubwa kuhusu uendeshaji na uwajibikaji katika soka duniani. Pendekezo hilo linaeleza kuwa FIFA itaunda kampuni mpya itakayokuwa ikisimamia Kombe la Dunia na mashindano...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Moo kapewa 49 ya hisa za simba kwa bilioni 20, hii ni dharau na utapeli

    Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Rais Samia amesema pesa ilizochangiwa CCM zitatumika bilioni 20 zingine zitatumika kufanya sherehe baada ya kushinda uchaguzi

  5. Bibianna

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tanzania hupoteza shilingi bilioni 20 kwa kuagiza Tani milioni 10 za mchuzi wa zabibu kila mwaka | Sasa kiwanda kikubwa kujengwa.

    Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango akisimika mche wa mzabibu kama ishara ya Kuwepo kwa Kiwanda Kipya cha kusindika zabibu Mkoani Dodoma. Cghini ya Rais Samia, Kiwanda cha kusindika zabibu kilichopo Chinangali II, Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kimejengwa kwa gharama ya Shilingi bilioni 2.1...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nini kimewafanya Simba kukubali mkataba wa Bilioni 20 wakati wadhamini waliopita walikuwa wanatoa Bilioni 26?

    Je M-beti na Simba walitudanganya? Inakuwaje Simba wakubali pesa ndogo (bilioni 20) wakati mkataba ulioisha ulikuwa bilioni 26? Je club hiyo inaporomoka thamani? Kwanini wasingekomaa wapate angalau Bilioni 30? Au hata bilioni 27?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
  8. G

    JamiiForums Tanzania MO alishatia Bilioni 20 kitambo na bado anaendelea kugharamika kwa mapenzi ya timu, ni wajinga pekee wanahoji nami nawaelimisha kuwatoa ujinga

    mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ? Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al ahly zinaiheshimu Simba, Simba ni klabu ya 7 kwenye ranking za Afrika, wachezaji wa simba wana soko...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kihasibu hatuna cha kumdai Mo Dewji, Kanunua timu kwa bilioni 20 na bado anaendelea kuigharamia, tutake nini zaidi wanasimba ?

    Kihasibu Mo Dewji hana anachodaiwa Simba, Ana kila haki ya kuifanya Simba iwe mali yake, Hata kumpa 49 % bado ni ndogo ukilinganisha na jinsi alivyoisaidia Simba. Licha ya kutumia kiasi cha bilioni 20 kununua umiliki wa timu timu kwa 49 %, bado anaendelea kujitoa mno, anatumia pesa zake...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji nakuuliza nivujishe Siri ya Bilioni 20 ulikoiweka na sasa unajipatia Hela za bure bila wana Simba SC kujua au niuchune tuendele kuwa Mazuzu?

    Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mnaosema kuwa Mo hajaweka bilioni 20 Simba, hizo Bilioni 20 za kitu Gani?

    Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki. Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba. Kwani...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Adobe yasitisha manunuzi ya Figma kwa dola bilioni 20

    Kutokana na sheria za ushindani ambazo zimekuwa mwiba kwa kuweka vikwazo kwa makampuni makubwa kuyanunua makampuni madogo hasa startups, Adobe imeghairi mpango wake wa kuinunua Figma. Sheria hizi zinazuia kampuni kuwa monopoly. Mimi ni mpenzi wa Figma nadhani kuiacha ijitegemee ni uamuzi sahihi
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shakira akubali kulipa Faini ya Tsh. Bilioni 20 ili kukwepa kifungo cha Miaka 8 Jela

    Nyota wa Muziki wa Pop raia wa Colombia, Shakira amefikia makubaliano na Waendesha Mashtaka wa Uhispania kutatua kesi ya kukwepa Kodi kwa kulipa Euro Milioni 7.5 (Tsh. Bilioni 20.4) muda mfupi kabla ya kesi yake ilipokaribia kuanza. Awali Shakira alikataa kulipa Faini hiyo alipoambiwa achague...
  14. Jimbi

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya wavuvi Bil. 20 tulizoambiwa na Bwana Waziri zimepotelea wapi?

    Wakuu, kwa muda mrefu kulijitokeza GENGE hapa likijinasibu na kusifu kwamba Rais Samia ametoa bilioni 20 kwaajili ya kuwakopesha vikundi vya Wavuvi. Baada ya kuwafuatilia vijana wetu ambao wanajishughulisha na kazi za uvuvi katika maeneo mbali mbali, tumebaini HAKUNA KIKUNDI CHOCHOTE...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apeleka bil 20 kukuza uvuvi ziwa Victoria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuwezesha na kukuza shughuli za ufugaji wa Samaki kwa njia ya vizimba miongoni mwa vijana ili wanufaike na uchumi wa buluu uliopo kwenye ukanda wa Ziwa Viktoria. Naibu Waziri wa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

    Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani. Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba SC anadhamini Products zake bure kwa Mgongo wa Simba SC na kaamua pia kumvuta Dada yake karibu na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mo anunua nyumba kuukuu Kariakoo kwa bilioni 20, aikarabati na kupangisha kwa mabilioni hii ndio biashara

    Tukubali tu Mo anajua biashara na ndio maana ni tajiri, wewe huna hata genge wala tuta la mchicha hapo kwako unataka kubishana nae jitafakari. Wakati Simba inawekwa sokoni ilikuwa ni timu kubwa kwa Tanzania ila sio Africa, timu iliwategemea akina Ndemla, Kichuya, Galas, Singano eti muifunge Al...
  18. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Serikali hutumia bilioni 20 kila Mwaka kwa ajili ya kuagiza Mchuzi.

    Tanzania hutumia TZS bilioni 20 kwa mwaka kuagiza lita milioni 10 za mchuzi wa zabibu ili kutosheleza soko la ndani linalohitaji lita milioni 15. Serikali imeweka mkakati wa kuongeza uzalishaji & kuongeza thamani ya zao hilo hapa nchini ili liwanufaishe wakulima. #MamaYukoKazini
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi wanasimba tunakuwa wajinga kiasi hiki. Dewji alitakiwa kisheria kulipa bilioni 20 cash lakini anatuzungusha kwa mikutano?

    Kwa kifupi tu, sie wanasimba kwa nini tunakuwa wajinga kiasi hiki? Huyu Mohamed Dewji alinunua hisa 49%kwa bilioni 20 shilingi za kitanzania. Hadi leo hakuzilipa.Kinachoendelea ni kuchagua wanachama 800 kuwaweka ukumbi wa kisasa wa mikutano wa Jakaya Kikwete,na vibaraka wake kuanza kutoa maneno...
Back
Top Bottom