yasitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mocumentary

    Serikali yasitisha ujenzi wa vituo vya mafuta

    Serikali imesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya vituo vya mafuta kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo. Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline...
  2. BARD AI

    Serikali ya Zanzibar yasitisha ujenzi wa 'Blue Amber', kibali cha mwekezaji chazuiwa

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesitisha ukodishaji wa ardhi iliyotolewa kwa kampuni ya Pennyroyal Limited ya Uingereza ya Pennyroyal Limited ya Matemwe, mwendelezaji huyo ametangaza. Ardhi inayozungumziwa ilikuwa hekta 411 ambapo mradi wa mapumziko wa Blue Amber ulikuwa unaendelea...
  3. Replica

    TASAF yasitisha mnada wa magari (Land Rover) 61

    TASAF imesitisha mnada iliYotangaza awali wa magari 61 aina ya Land Rover uliYokuwa ufanyike jana. Tangazo la TASAF halijaeleza sababu za kuahirisha mnada huo. =====
  4. Lady Whistledown

    Tanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi

    Wasiwasi mpya wa upungufu wa unga wa mahindi umeibuka nchini Kenya baada ya Tanzania ambayo ni msafirishaji mkubwa wa mahindi nchini humo kufungia vibali vya kuuza nafaka hiyo nje ya mipaka yake. Hatua hii ni katika kujilinda dhidi ya baa la njaa kwa kulinda hazina ya ndani ya akiba ya chakula...
  5. BARD AI

    Serikali ya Kenya yasitisha malipo ya Ruzuku za unga, madeni yazidi

    Wizara ya Kilimo imethibitisha uamuzi huo huku ikitaja sababu kuwa ni kuzidiwa na malimbikizo ya madeni yaliyopelekea wafanyabiashara wa kati kulipwa mamilioni ya pesa huku wauzaji reja reja wakikosa zabuni. Wasagishaji Unga wamelalamikia uamuzi huo unaoanza leo Septemba 2,2022 wakidai kuwa...
  6. BARD AI

    Kenya yasitisha malipo ya Ruzuku ya Unga

    Wakenya watalazimika kuanza kununua Unga kwa bei ya juu baada ya serikali kusimamisha Mpango wa Kitaifa wa Ruzuku ya Unga wa Mahindi kutokana na uhaba wa fedha Waziri wa Kilimo, Peter Munya kupitia taarifa yake leo amethibitisha hilo kwa maelezo kuwa Hazina ya Taifa haijatoa pesa za Ruzuku...
  7. BigTall

    Chelsea yasitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo, Kocha akataa dili

    Chelsea imesitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo baada ya kuelezwa kuwa kocha wa timu hiyo, Thomas Tuchel kumwambia mmiliki wa klabu, Todd Boehly hamuhitaji Mreno huyo. Inadaiwa Chelsea ilikuwa mbioni kumsajili mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 37 wa Manchester United lakini kwa...
  8. Lady Whistledown

    ECOWAS yasitisha vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Mali

    Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) wameondoa vikwazo vya kiuchumi na kifedha vilivyowekwa dhidi ya Mali, baada ya watawala wake wa kijeshi kupendekeza mabadiliko ya demokrasia ya miezi 24 na kuchapisha sheria mpya ya uchaguzi Umoja huo uliiwekea Mali vikwazo...
  9. JanguKamaJangu

    Serikali yasitisha matumizi ya Fomu ya 2C inayotumika kuchukua dawa maduka ya nje

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kuanzia leo Julai 1, 2022 Serikali imesitisha rasmi matumizi ya fomu ya 2C katika Hospitali zote za umma zinazotumia Bima ya Afya mara baada ya kuonekana kuna udanganyifu mkubwa unafanyika. Fomu ya 2C ni karatasi inayoandikwa dawa nakupatiwa mgonjwa...
  10. JanguKamaJangu

    Uingereza yasitisha safari za waomba hifadhi kupelekwa Rwanda

    Serikali ya Uingereza imesitisha mpango wa safari ya ndege iliyotakiwa kuwabeba waomba hifadhi kwenda Rwanda baada ya Mahakama ya Haki za Binaadamu ya Ulaya kusema mpango huo unaakisi athari zisizoweza kurekebishwa. Awali ilielezwa ndege hiyo ingeanza safari Juni 14, 2022 bila kujua idadi ya...
  11. MK254

    Benki kubwa ya Urusi yasitisha miamala ya hela ya China - hali mbaya

    China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina.... Na pia inapata tabu kutumia hela ya India ================== June 8 (Reuters) - Russian lender Sberbank...
  12. M

    Poland yasitisha kununua gesi toka Urusi: Lakini mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka Urusi sasa yataleta gesi toka urusi kupitia Ujerumani!

    Poland imesitisha mkataba wa kununua gesi toka ujerumani. Sababu ni kwamba hawataki kulipia gesi kwa ruble!! Ila cha kushangaza ni kwamba wanasema yale mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka urusi kwa sasa yataunganishwa kwa ujerumani ili yalete gesi toka ujerumani. Inajulikana kuwa ujerumani...
  13. M

    Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria. Putin alivyosema walipe kwa ruble hakuwa anatania

    Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria baada ya nchi hizo kukaidi kulipia gesi kwa kutumia pesa ya Urusi ruble. Mara baada ya tangazo hilo kutoka, bei ya gesi ilipanda kwa asilimia 12 katika nchi za magharibi!! Gazprom halts gas supplies to Bulgaria, Poland Russia’s state-owned energy...
  14. Lady Whistledown

    Chanel yasitisha kuuza bidhaa zake kwa watu wanaozinunua na kupeleka Urusi ikiwa ni baada ya kufunga maduka yake nchini humo

    Kampuni kubwa ya kifahari ya Chanel ya Ufaransa imeacha kuuza bidhaa zake kwa watu wanaonunua na kuzipeleka Urusi, baada ya kufunga maduka yake nchini humo. Moscow na baadhi ya wateja wameishutumu kampuni hiyo kwa kupinga Urusi, na kutishia kususia chapa hiyo. Chanel inasema inazingatia tu...
  15. Miss Zomboko

    Boeing imesitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi

    URUSI: Kampuni ya kutengeneza Ndege ya Marekani ya Boeing (BA.N) imesema inasitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi ikiwa ni sehemu ya vikwazo vilivyowekwa kutokana na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine. Marekani imesema itafuata Uamuzi wa...
  16. John Haramba

    Serikali yasitisha tozo ya Tsh 100 kwa kila lita ya mafuta, yasema itapoteza Sh bilioni 30 kwa mwezi

    Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo vita ya Urusi na Ukraine, Serikali ya Tanzania imetangaza kuondoa Tozo ya Sh 100 kwa kila lita katika Dizeli, Petroli na Mafuta ya Taa kwa miezi mitatu. Wizara ya Nishati imetangaza maamuzi hayo ambapo...
  17. Miss Zomboko

    Huduma ya 5G yadaiwa kuathiri Mawasiliano ya Ndege. Mashirika makubwa yasitisha safari zake Nchini Marekani

    Mashirika makubwa ya ndege Emirates, Air India, Air Nippon na Japan Airlines yamesitisha safari zake za kwenda Marekani kutokana na huduma ya mtandao wa 5G. Jana asubuhi huduma ya mtandao wa 5G ilianza kutumika nchini Marekani kwa kuwashwa minara 4500 ya 5G. Mashirika hayo ya ndege yamesitisha...
  18. Kinuju

    Mgao wa umeme: Hospitali ya KCMC yasitisha baadhi ya huduma

    Mgao wa maji na umeme unaoendelea hapa nchini umeitikisa hospitali ya KCMC inayotegemewa na zaidi ya watu millioni 15 nchini na imelazimika kusitisha baadhi ya huduma kama vile upasuaji, uzalishaji wa mitungi ya Oxygen n.k. ======= Moshi. Makali ya uhaba wa maji na umeme usipime. Hivi ndivyo...
  19. luangalila

    Leo hii Nov 12, 2021 Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha mpango wa kuajili Manesi kutoka Kenya

    Ni takribani miezi 3 kupita baada ya Uingereza na kenya kukubaliana mpango wa kuwa ajiri wahudumu wa afya (nurses) kutoka Kenya, Leo hii Nov 12, 2021 serikali ya uingereza imetangaza kusitisha mpango huo na kisha kuhoji uhaba wa nurses ktk vituo vya afya vya kenya, ikisema Kenya inahitaji...
  20. Tripo9

    Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

    1) Eti sababu wachezaji kama nane wataitwa kwenye nchi zao kwa michezo ya kimataifa hivyo timu itameguka 2) Eti sababu kule kambi iliko joto Sana. 3) Eti tuna mechi wiki ya mwananchi na wale Wanigeria pia. My take: Waseme tu pesa imekata. kwani walipoenda au kupanga kwenda huko hayo mambo...
Back
Top Bottom