latra

Latrás is a locality located in the municipality of Sabiñánigo, in Huesca province, Aragon, Spain. As of 2020, it has a population of 12.

View More On Wikipedia.org
 1. LICHADI

  TRC mpambane sana la sivyo mtakula hasara

  Cha kwanza hizo Treni mzitunze haswa hasa hayo mabehewa Kitu ambacho kinaweza kumchefua mtu na kukimbilia mabasi ni uchafu wa Treni hasa zile za Kigoma mtu akifikiria anashuka kichwa kimejaa vumbi anaona asipande basi tu full AC. Hakikisheni safari za Dodoma kwa siku zipo hata mara 5 kwa masa...
 2. S

  LATRA Arusha yaahidi kupambana na taxi itakayobeba mzungu kama haijajiunga kwenye Saccos yao

  Assalamu alleikum, Kuna habari zimesambaa hapa Mjini Arusha kuwa LATRA wameunda SACCO'S yao ya taxi wakishirikiana na Baadhi ya matajiri wenye magari lengo likiwa Ni kuhakikisha Hakuna mtu mwingine anapewa leseni ya Minvan taxi asipojiunga na hiyo Sacco's Sasa kuna maswali mengi yanaibuka...
 3. JanguKamaJangu

  LATRA yawataka Wamiliki mabasi ya Sauli na New Force kujieleza kabla ya kuchukuliwa hatua

  WAMILIKI MABASI YA SAULI NA NEW FORCE WATAKIWA KUJIELEZA KABLA YA KUCHUKULIWA HATUA ZA KIUDHIBITI Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imefanya kikao kilichohusisha Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na wamiliki wa mabasi ya Sauli na New Force yaliyosababisha ajali ya tarehe...
 4. Entim

  RTO na LATRA Dodoma na Singida: Basi la Isamilo T863 DSB limejaza abiria kuliko uwezo wake

  RTO na LATRA mikoa ya Dodoma na Singida, basi la ISAMILO T863 DSB kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, muda huu lipo Dodoma na limepakia abiria waliosimama zaidi ya 20. Cha ajabu basi limeingia standi kuu ya 88 Jijini Dodoma na hakuna Askari wa Usalama barabarani aliyeingia na kukagua ndani...
 5. Ndagullachrles

  LATRA K'njaro yawezesha SACCOS kwa Bajaj na Bodaboda

  Mamlaka ya udhibiti usafiri ardhini mkoani wa Kilimanjaro(LATRA)imekamilisha mchakato wa uanzishwaji wa Chama cha ushirika wa Akiba na mikopo(SACCOS)kwa ajili ya chama cha Madereva wa Bajaj na Bodaboda Katika mkoa wa kilimanjaro. Mpango huo inatajwa kama moja ya mwarobaini wa kutafua changamoto...
 6. TODAYS

  LATRA simamieni Utekelezaji wa Nauli za Daladala hasa za Ruti mpya, Wananchi hatuna Mtetezi tunateseka

  Mamlaka inayosimamia usafiri wa nchi kavu nchini Latra, imetangaza njia mpya katika mikoa ya Dar, Dodoma na Arusha. Kwa Dar Es Salaam njia hizo ni Bunju sokoni hadi Kivukoni na Bunju hadi gerezani, njia nyingine ni Bunju sokoni hadi Magufuri Bus Terminal, nk. Kwa Arusha kwa mromboo hadi Fire...
 7. B

  Kauli za LATRA kuhusu namba za magari, kuelekea 17 Machi zimelenga kumhujumu Mama?

  Kumekuwa na matamko tata kutokea LATRA kuhusu magari yenye namba D na E kufanywa ndiyo yaliyo magari pekee. Hali hii si ya kuvumiliwa hata kidogo. Kesho itakuwa gari kuingia Dar na labda hata kuthubutu tu kuwapo Tanzania ni F na G peke yake. Nani ajuaye? Ni kawaida kwa wanaojidhania kuwa wako...
 8. A

  DOKEZO LATRA fanyeni hivi kutatua Tatizo la bodaboda na bajaji na usafiri wa mijini kwa ujumla

  Sijui shida ni nini. Huku south Africa, botwasana, Námibia huwezi oná bodaboda. Zimejaa zile toyota hiace Kila mahali. Sisi tuliondoa hiace mjini miaka hiyo. Sasa tumesajili bodaboda na bajaji. Solution ni simple. Waache kusajili bodaboda na bajaji. Waacha kuimport. Hiz zilizopo zifanye route...
 9. S

  Mkurugenzi mkuu LATRA Habibu Suluo hizi namba zenu 0800 11 0019 na 0800 11 0020 hazina msaada, toa namba zako mwenyewe

  Mkurugenzi mkuu CPA Habibu Suluo hizo namba zenu tajwa hapo juu hazina msaada toa namba zako za mkononi, unaogopa kusumbuliwa wakati uko kutumikia watanzania? Hizo namba ukipiga kuna vijana hupokea hawana msaada zaidi ya kukuudhi zaidi. Kwa mfano wanakujibu mpigie meneja wa mkoa wako, kwanza...
 10. S

  Afisa Mfawidhi LATRA mkoa wa Arusha Michael John wananchi wa King'ori na Kikatiti wanateseka mabasi yanaishia Maji ya Chai

  Tumesema mara nyingi kuwa kuna haya mabasi yanaitwa Covid-19 yamesajiliwa na serikali kupitia LATRA kufanya safari zake kutokea maeneo ya Oldonyosambu, Ngaramtoni, Monduli, Kisongo, Morombo, Intel, Mapambazuko kupitia Stand ndogo Arusha mjini kwenda Kikatiti na King'ori. Ukweli ni kwamba hakuna...
 11. Papaa Mobimba

  LATRA imeshindwa kutuletea usafiri wa daladala njia ya Tegeta/Bunju-Kawe Ukwamani kupitia barabara ya Mwai Kibaki?

  Januari 2023 LATRA ilitangaza maombi ya leseni kwa wadau wenye vyombo vya usafiri kwa ajili ya kusogeza huduma ya usafiri kwa wananchi wanaotumia barabara ya Mbezi Chini inayojulikana kama Mwai Kibaki. Route hiyo ilikuwa inaanzia Bunju na Tegeta, inakuja kuingilia Afrikana Mbezi, na kwenda...
 12. Abou Shaymaa

  LATRA wapo kwa niaba ya nani?

  Wakuu nauliza hawa LATRA alieanzisha aliiweka kwa niaba ya nani? Wafanya biashara wa magari au kwaniaba ya wananchi? Mimi nina uhakika ipo kwaajili ya wafanya biashara wala si wananchi, kwasababu; mafuta yakipanda tu wafanyabiashara wanapiga kelele nauli ipande nao (LATRA) wanapandisha nauli...
 13. S

  CPA Habibu Suluo LATRA Mkoa wa Arusha wako juu yako? Daladala za Kikatiti na King'ori zinageuzia Maji ya Chai

  Mkurugenzi mkuu wa LATRA unataka tutumie lugha ipi ili uelewe kuwa abiria tunaosafiri kutoka Arusha mjini kwenda Kikatiti ja King'ori tunashushwa Maji ya Chai wakati magari yana vibao vimeandikwa Kikatiti na mengine King'ori. Mnasubiri mpaka wananchi wajichukulie sheria mkononi? Tumechoka na huu...
 14. S

  LATRA Mkoa wa Arusha haya mateso ya usafiri wa King'ori na Kikatiti yataisha lini? Daladala zinaishia Maji ya Chai. Abiria wanateseka

  Kuna daladala zimepewa leseni za kusafirisha abiria kutokea maeneo yafuatayo; 1. Oldonyosambu, Monduli, Morombo, Intel, Kisongo kupitia stand ndogo kwenda Kiong'ori 2. Oldonyosambu, Monduli, Morombo, Intel, Kisongo kupitia stand ndogo kwenda Kikatiti Haya magari kwanza hayaanzii safari sehemu...
 15. Ricky Blair

  Serikali iruhusu soko huru lichukue matakwa yake. Iache kupanga bei

  Yaani mpk leo TZ gvt inafanya command economy ya kupanga bei za vitu au huduma baada ya kuruhusu soko huru lichukue matakwa yake? Ndo maana hata uchumi haukui na ndio maana tunapata huduma za ovyo coz hamna international service provider atakuja hapa wakati mazingira ya biashara ovyo na mambo ya...
 16. Roving Journalist

  LATRA yakamata mabasi yanayochezea mifumo ya usalama Mkoani Arusha

  Baadhi ya wahusika wa mabasi ya abiria wanaochezea mifumo ya usalama na mwendo katika mabasi wamenaswa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Arusha. Afisa Mfawidhi wa LATRA Mkoa wa Arusha, Joseph Michael ameongoza zoezi la ukaguzi katika maeneo tofauti katika maegesho ya magari...
 17. S

  LATRA Arusha ni kichefuchefu: Nauli mpya za daladala wananchi tunapigwa sn.

  Suluo mkurungenzi mkuu binafsi nakuamini, pale Arusha kuna mabasi yameandikwa Oldonyosambu-King'ori via stand ndogo, Intel-Kikatiti-via stand ndogo na kadhalikq maana vituo viko viko vingi. Mh. Suluo ukweli ni kwamba hakuna anayeshimu hiyo ratiba. Hakuna basi linaanzia huko yote yanaanzia stand...
 18. Ndagullachrles

  LATRA yaokoa jahazi abiria wa Rombo

  Kama mnavyojua ndugu zetu wachaga wanavyosifika kurudi makwao mwishoni mwa Mwaka au "kwenda kuhesabiwa"kama inavyojulikana na wengi,basi idadi ya mabasi ya kuwasafrisha huwa inazidi namba ya abiria. Kutokana na Hilo,Maofisa wa Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa ardhini(LATRA)katika mkoa wa...
 19. V

  Nauli za daladala Dar zinabadilishwa badilishwa makusudi, LATRA tusaidieni

  Ni wiki kadhaa tangia mamlaka zitangaze ongezeko la nauli( kulingana na kilometers). Lakini kuna mchezo mchafu unaendelea unaofanywa na makonda na madereva wa daladala ambapo wanapandisha nauli zaidi ya viwango tajwa. Wananchi wanashindwa kutetea kutokana na kuwa na ufahamu tofauti, unakuta...
Back
Top Bottom