mdomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Dame Dash: Jay-Z ananuka Mdomo!

    Mwanzilishi Mwenza Wa Roc-A-Fella Records, Dame Dash Akiwa Kwenye Mahojiano Na Podcast Ya 'The Art Dialogue' Amedai Kuwa Jay-Z Alikuwa Akitoa Haruf* Mbaya Mdomoni. Huu Ni Muendelezo Wa Ugomvi Wao Wa Muda Mrefu Tangu Kuvunjika Kwa Ushirikiano Wao Wa 'Roc-A-Fella Records' Waliyoianzisha Pamoja...
  2. Red black

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkiniona nazungumzia masuala ya mpira tena kwanzia leo mnifunge mdomo na gundi

    Sitajihusisha tena na mpira kwa kipindi cha miaka 10
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?

    Mdau ......Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?
  4. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kunuka Mdomo: Ni sayansi au kichaa?

    Naenda moja kwa moja kwenye lengo kuu. Ndugu yenu BICHWA KOMWE muda wote nina hofu sana na kunuka mdomo. Licha ya usafi mkali ninaopiga mpaka koromeo linaomba poo, lakini niko makini vibaya na mdomo. Kila wakati najinusa na kujipiga mouth wash. Kuna wakati nilifukuzwa na mama mwenye nyumba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uvimbe sehemu ya pua kuja Chinese kwenye lipis ya juu katika mdomo

    Habar wakuu hapa nilmejichunguza nlikua nimebana pua Huku nimeunabana mdomo kama mtu anaetaka kujichokonoa pia,,Sasa sehemu inapanzia lipis ya juu ya mdomo Hadi kufikia pua nyama Lote la mdomo nkiminya minya ndani nalisi kama Kuna linyama nyama hivi kama liuvimbe flani ,,,maana nlisema nibane...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maji na umeme umekushinda umebaki na mdomo “ Who are You” !

    Huyu Mama na Chama cha Mafisadi hadi leo watu hawana maji mji mkubwa watu wana nunua maji na mgao wa umeme. Tusishangae hawashindi mpaka kuiba kura maana ni nani mwenye akili zake atawapigia kura watu ambao hawawezi kuleta maji na kutegemea mvua kwa miaka 60! Walisema tutauza umeme nje leo kuna...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wakati mgumu sasa kama kuna kapitisha uongozi wa huu unakufa mdomo wazi

    Kilichofikia sasa wenyekiti wa CCM na wengine kupitia ujinga wa waziri mchengerwa mnaanza kuponza watu maana wameanza kuochoma watu ili wafanikiwe kuishi kwa amani ila amani ngumu. Sasa imekuwa wakati mgumu mpaka wanaojulikana nafasi zenu na familia zao wameaanza kuwakataa au kimbia maneo...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kituko mtu anayeamini mwezi uliwahi kupasuka vipande viwili kisha ukajiunga tena kucheka muujiza wa gesi ya kupikia kujazwa kwa mdomo.

    Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu kusafiri kwenda mbinguni na farasi kwa nini ushangae mtu kujaza gesi ya kupikia kwa kupuliza na mdomo?
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kunywa maziwa na kunuka mdomo?

    Ni kwanini wakuu? Kuna mtu akinywa maziwa ni mtihani kwa kinywa
  10. Leejay49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada ukishamkataa mtu basi tulia fanya mambo yako ya msingi. Mdomo umeponza mtu leo

    Habari ya Jumatatu waungwana.. Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza mkaendelea lakini mipaka iwepo au kama ni kazi mfocus na kazi basi.. Sasa buana huyu bidada alitongozwa...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima, hukuthubutu kunyanyua mdomo, iliyokuwa awamu ya tano, tukuelewaje?

    Maneno ya Gwajima leo! ⏬ ======= "Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima "Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa...
  12. excel

    JamiiForums Tanzania Huu mstari wa Biblia Umeniacha mdomo wazi

    Je, Hii Nchi ya Tiro Bado Ipo? Kama Haipo, Je Huu ukahaba Tiro alishaufanya? ======== Isaya 23:15-18 [15]Basi, itakuwa katika siku ile, Tiro utasahauliwa miaka sabini, kadiri ya siku za mfalme mmoja; hata mwisho wa miaka sabini, Tiro utakuwa kama vile ulivyo wimbo wa kahaba. And it shall...
  13. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa Mdomo Tupu ni Sawa na Mchawi Mnafiki!

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, mchawi huogopwa kwa sababu ya hulka yake ya unafiki, mwenye uso wa tabasamu mchana, lakini usiku huwaza maangamizi kwa wengine. Ni mtu anayeishi kwa kutegemea uongo, siri, na usaliti ili kufanikisha malengo yake binafsi. Hali hii inazidi kuakisiwa kwenye taswira...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: Wakati wa Mwamba hakuna aliyenyanyua mdomo, tusiingilie maamuzi ya mama

    Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
  15. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

    Kristo ni tumaini letu, Mapendo daima. Samahani kwa yeyote yule nitamkwaza au uzi huu akaona una machukizo kwakwe basi aniwie ladhi. Wakuu wiki iliyopita katika kuzagaa huku, kule, na humo kwenye mitandao ya kijamii hasa X zamani Twiter nilikutana na clip kadhaa za mtoto wa mchungaji akifanya...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukibahatika kula kuku kwa mrija acha mdomo sana. Kuwa humble na utulie uenjoy maisha

    Unakuta una taarab nyingi utafikiri umeshafika mwisho wa safari. Ofcourse atukufundishi namna ya kuishi na hayo mafanikio yako ila kumbuka kushuka chini ni kwa kasi sana zaidi ya ulivyokuwa una panda juu.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China Wawazawadia Watoto wa Zanzibar Tabasamu Jipya Kupitia Upasuaji wa Mdomo

    Timu ya 34 ya Madaktari wa China waliopo Zanzibar hivi karibuni imekamilisha upasuaji mitano ya midomo iliyopasuka juu na upasuaji 19 ya matatizo ya kaakaa kwa watoto ndani ya siku tano tu, huku kila upasuaji ukifanywa bila shida yoyote na hatimaye kurejesha afya na kuwapatia zawadi ya tabasamu...
  18. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lebanon haitakuwa salama kwa mdomo pekee,bila kuwaachia Hzbullah na Hamas kuifanyizia Israel kama vile wanavyofanya Houth

    Lebanon imehamanika kutekeleza makubaliano ya kusitisha vita na bado kila siku inapigwa katika ya Beirut. Kama kweli wanakerwa na mashambulio hayo basi serikali ya nchi hiyo haina budi iache kuwafutata futata Hizbulllah na Hamas ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakipambana na jeshi la Israel baada...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tiba ya kutoacha mdomo wazi

    https://www.facebook.com/share/r/18LBxmXewj/
  20. Stability

    JamiiForums Tanzania Kila mdada mwenye makalio makubwa ana huyo rafiki yake mwembamba mwenye mdomo sana

    Ukimuita tu huyo mdada utakasikia kanasema "aziza ebu twende tunacheleewa"
Back
Top Bottom